Hii ni chanel bora kwangu kwa mwaka huu kwa kweli najikuta natazama video kila mara na kuzirudia sana maana mafundisho ni mazuri sana. Kaka Mungu akubariki sana
Ila hapo mamii kachemsha. Mtamba wa Mwaka mmoja huwezi pandisha.angalau angesema amefikisha mwaka na nusu au mwaka na miezi nane.ndio angeanza kumpandisha.
Asante kwa channel hiyo nzuri.mama hongera sana.
Karibu sana segerea Madiba nami nionge nawewe
Tunashukuru kwa pongezi ndugu Restituta, na asante kwa ukaribisho siku moja tutafika Segerea
Hii ni chanel bora kwangu kwa mwaka huu kwa kweli najikuta natazama video kila mara na kuzirudia sana maana mafundisho ni mazuri sana. Kaka Mungu akubariki sana
Asante sana kwa kuwa nasisi na kwa pongezi zako🙏🏻🙏🏻
Jamaa unanifurahisha sana kwa kweli na unakumudu hiki kipindi chako yaani utahamasisha watu wengi kufuga kaka
Asante sana ndugu Afri kwa kuwa nasi
Kiongozi hesabu za biashara unapigaje hvyo buana lazima utoe gharama za uzalishaji kwenye hyo laki 5 hapo huenda faida laki 2
Kaka kazi yako inabairiki sana watu wengi na umekuwa msaada mkubwa kwa wafugaji.
Wow! Asante sana ndugu na kaka yangu kwa namna umetukubari🎉
Ila hapo mamii kachemsha. Mtamba wa Mwaka mmoja huwezi pandisha.angalau angesema amefikisha mwaka na nusu au mwaka na miezi nane.ndio angeanza kumpandisha.
Mkuu natamani siku upite na kwangu mi nanguluwe wengi kidog naweza nikakutumia watsap
ooh! asante sana mrp. Manguruwe. iko siku tutakufikia kaka.