ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Shukran kwa Darsa zuri sheikh Wangu! 🙏🙏
🙏
Mimi ni mjamzito na nimemuota mama anaumwa akitokea nje na kuingia ndani naomba unisaidie tafsiri yake
Mamaangu anaumwa lakini Kila mara namuota nimembeba mgongoni huku namfuta machozi na mimi ndo namuuguza nini maana yake
Baba yng ni marehemu kitambo tu,lakini nimemuota akiwa anaumwa saana na ashakufa kitambo sana nn maana yke
Assalam alykum Mimi nilimuota mama anaumwa Sana'a mpaka anapumulia ges
nkme mwota kuna mwanaume amefungwa minyororo mama akaja mfungua na mnyororo akaondoka nao ni mimi muotaji mme wangu hivi na sema yupo kitandani hawezi hata kutemea manaake nini shekh
Kuota mama mzazi akiwa wazimu maana yake n nn?
Asalaam aleykum sheikh jee ukiota unaswali kwa umakini lakini ukabanwa ukatokwa na manii kiuhalisia yamekutok kweli manii nin maana yake
Ndoto ya mama amekufa
Hata mama mdogo
Ukiota mama wamekufa maana yake