KISA MIUNDOMBINU MIBOVU YA BARABARA, BANDARI YA KAREMA YASHINDWA KUFANYA KAZI.....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • KISA MIUNDOMBINU MIBOVU YA BARABARA, BANDARI YA KAREMA YASHINDWA KUFANYA KAZI.....
    Bandari ya Karema ilianza ujenzi wake Oktoba Mwaka 2019 kwa ghalama ya Tsh. Bilioni 47.97 hivyo kuanza kutumika kunatajwa kama mkombozi wa Wafanyabiashara kiUchumi kwani wataweza kusafirisha Bidhaa zao kutoka Tanzania kwenda Nchi jirani za Congo,Zambia na Burundi bila wasi wasi.
    Lakini hadi sasa yapata mwaka ndoto za wafanyabiashara zikiwa hazina matumaini tena kutokana na meli kushindwa kutia nanga katika bandari hiyo kutokana na changamoto za miundombinu mibovu ya Barabara licha ya mamilioni ya fesha yaliyotumika kujenga mradi huo, hili likishuhudiwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jerry Silaa, walipotembelea na kukagua utekelezaji wa mradi huo.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 5

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania ya mavi kunuka ina viongozi wa ajabu sana basi hiyo bandari hadi itabakia magofu , kama jengo la jipya la uwanja wa Ndege mwanza imekuwa kimya , na machinjio ya kisiasa vingunguti imekuwa kimya

  • @straitnews3441
    @straitnews3441 ปีที่แล้ว

    Wangeanza barabara alafu. Ndo bandari

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 ปีที่แล้ว

    Sasa Bandari inajengwaje bila balabala ? Hawa wataramu wetu mbona ni WA ajabu Sana .

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

    kujipendekeza unakuwa kama kipofu na kiziwi