YANGA vs MCA ALGERS YAPOTEZA TENA KIMATAIFA MASHABIKI HAWAMTAKI KOCHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @michaelepictv2703
    @michaelepictv2703  18 วันที่ผ่านมา

    USITOKE BILA KUGONGA SUBSCRIBE NA ALAMA YA KENGELE, KAMA UNAENJOY MICHEZO

  • @flova7022
    @flova7022 18 วันที่ผ่านมา +1

    Sure boy

  • @SifaelMpagike-gt1gz
    @SifaelMpagike-gt1gz 16 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @Nyota_Shujaa
    @Nyota_Shujaa 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wanawaza mapenzi kuliko game azizic anataka misamba sana

    • @michaelepictv2703
      @michaelepictv2703  18 วันที่ผ่านมา

      😀😀😀😃daaah sawa hayo umesema wewe

  • @Nyota_Shujaa
    @Nyota_Shujaa 18 วันที่ผ่านมา +2

    Yanga hamna kitu sikuizi

  • @MilazoMilazo
    @MilazoMilazo 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mech ijayo msikubali mcheze 11 waombeni wawaluhusu mcheze wote kwan atakae kaa bench ni tatizo

    • @michaelepictv2703
      @michaelepictv2703  18 วันที่ผ่านมา

      😀😀😀😃😄😄haya bhana sheria za fifa haziruhusu

  • @JumaSeleman-t9c
    @JumaSeleman-t9c 18 วันที่ผ่านมา

    🎉yanga wamepoteza Tena!!! Duuu😊😊😊inauma????

    • @michaelepictv2703
      @michaelepictv2703  18 วันที่ผ่านมา

      Sijui kocha sijui wachezaji unadhan nini tatizo

  • @SaadKoga
    @SaadKoga 18 วันที่ผ่านมา

    Yanga mmekwisha wachezaji wameshuka kiwango halafu kayoko hayupo kule na Ile chupri bahasha hakuna hata mechi ya namungo ilishinda walipokea chupri bahasha

    • @michaelepictv2703
      @michaelepictv2703  18 วันที่ผ่านมา

      😀😀😀😃pole yao waboreshe timu

  • @2514SRK
    @2514SRK 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nishawaambia Kocha Huyu wa Yanga UWEZO NI MDOGO na HANA MBINU Maana Wachezaji Wanaonekana Kbsaa Wengine Mchezo Umewakata lkn KOCHA Dish la Akili Limeganda. Haaaaaaah

  • @NivardMtewele
    @NivardMtewele 18 วันที่ผ่านมา +1

    samahani mashabiki na wapenzi wa mpira,nimeulizwa maswali eti kocha wa Yanga x-mass atakuwepo na timu? niwajibu nini?

    • @michaelepictv2703
      @michaelepictv2703  18 วันที่ผ่านมา

      Hatoboi kaka anshinda mechi za mchangani za maana hashindi