PATANISHO : LOISE - MUME WANGU ANANISHUKU NINA MPANGO WA KANDO AMBAYE NI POLISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 68

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 3 ปีที่แล้ว +19

    number 1 nipewe like

  • @nyarokeyo
    @nyarokeyo 3 ปีที่แล้ว +9

    Number 6 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 niwewakilisha ramadhan 😥😥😥

  • @josephineobiero4552
    @josephineobiero4552 3 ปีที่แล้ว +2

    Inshallah ramadan ni kesho all the best Muslim sote

  • @vanemomanyi6808
    @vanemomanyi6808 3 ปีที่แล้ว +5

    Wanaume wengine tho🤣hata wakipembelezwa roho ngumu
    But gidi thanks for your good job🙏

  • @princesssang4861
    @princesssang4861 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndoa za utumwa kama hizi sipendi I think hii pressure inatoka kwa wazazi wa huyu dem siwezi beg mtoto wa mtu mimi heri niwe single mwanaume mwenyewe anakaa kiburi but such things do happens whenever you're jobless and hopeless heri ukuwe na biashara yako hata kama utapata 5/=per day independent woman won't tolerate nonsense from immature men

    • @Kwa123
      @Kwa123 3 ปีที่แล้ว

      Very true

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 3 ปีที่แล้ว +2

    Watching from qatar 🇶🇦

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona aende kwa nyumba ya mtu mwingine bila ruhusa ya mme wake. Aliolewa ama alijioa. Ukiwa kwa ndoa uko chini ya mme wako huezi jifanyia vitu ama kujitokea kwa nyumba bila ruhusa ya mmeo. Napenda sana hao wazazi mke. Tungepata kama hao ndoa ma Binti zao wangetulia kwa ndoa zao

  • @shemmosoti2808
    @shemmosoti2808 3 ปีที่แล้ว +6

    No, woman has ever accepted kua na mpango wakando

  • @shiiwakush6706
    @shiiwakush6706 3 ปีที่แล้ว

    Riyadh tuned

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 3 ปีที่แล้ว +1

    Team qatar 🇶🇦 nipeni likes

  • @lelkakz8490
    @lelkakz8490 3 ปีที่แล้ว +3

    GIDI zangu ni salam tu
    Nagotea wanajambo wote

  • @lilymummy7973
    @lilymummy7973 3 ปีที่แล้ว +2

    In team 🇦🇪 happy Ramadan

    • @nyarokeyo
      @nyarokeyo 3 ปีที่แล้ว

      🇸🇦🇸🇦🇸🇦happy too💋💋

  • @denilsonmecha2370
    @denilsonmecha2370 3 ปีที่แล้ว +6

    We men we analayse first before speaking out.Am sure the lady is sleeping with police men.

  • @rackemakunda4047
    @rackemakunda4047 3 ปีที่แล้ว +5

    Na hii tabia ya number one ndio huwa nini huku naona tu kila wakati number one kwani hamnanga kazi ya kufanya ama mskize na mtoe maoni ya kusaidia mtu nyie kwendeni na huko bana

  • @africanlady9846
    @africanlady9846 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona unasema yy ndo anapendwa home kwan kuna mwingine?

  • @Thedee1335
    @Thedee1335 3 ปีที่แล้ว +1

    That is the biggest mistake of ur hubby winning the heart's of ur parent's.

  • @destinemercy3405
    @destinemercy3405 3 ปีที่แล้ว +1

    Niliwai kuwa kwa marriage kaa hii ..hakuna kitu bad kaa hubby wako ashike your parents akili utaumia ..niliumia bt watu wa home ukiwaeleza hawasikii the day niliamua it's enough n Am out this marriage na siendi kwetu with my 3kid's..hee they said it all nami nikasemama it's no ..after 3yrs walieshimu musimamo wangu ..coz am doing good . Now 7yrs .single mum of 3kid's. Tunapendana na my parents..niko in terms ya kuwasaidia coz na afford now kidogo .

    • @matrianjili4242
      @matrianjili4242 3 ปีที่แล้ว

      Acha kusema Mambo single 🤣🤣wewe

    • @ramak.9587
      @ramak.9587 3 ปีที่แล้ว

      Danganya tu wenzako

    • @destinemercy3405
      @destinemercy3405 3 ปีที่แล้ว

      @@ramak.9587 so wewe ndio unajua ukweli eleza

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 ปีที่แล้ว +3

    Gidi, salamu za Arsenal

  • @ruthbosibori1482
    @ruthbosibori1482 3 ปีที่แล้ว

    Ndani

  • @badifamwenyewe8301
    @badifamwenyewe8301 3 ปีที่แล้ว

    Imeenda sawa

  • @scholarsticahandabwa6728
    @scholarsticahandabwa6728 3 ปีที่แล้ว

    Gidi juu ya mechi ya Jana mlishinda ulilala na hiyo t-shirt na Leo ndio hii baado Arsenal fans mtatuonyesha mambo pthooo!

  • @annaauyo1958
    @annaauyo1958 3 ปีที่แล้ว

    Gidi.uchunge Sana usipite kwa jua leo.coz that Ti-shirt. Of Arsenal.they normally melt.🤣🤣🤣🤣zikiwa kwa jua.Loise.usimbembeleze mwanaume.hivo.Beb Beb. Pooooh 😂😂😂😂 mtaniua 😂😂

  • @beatriceomino3267
    @beatriceomino3267 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume kama hawa mm siwezi hata maybe ni yy ako na mpango wa kando

  • @alicekmusic3925
    @alicekmusic3925 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaani watu hulala huku patanisho???? 😳😳😳😳

    • @thinkingkenyan9002
      @thinkingkenyan9002 3 ปีที่แล้ว +1

      Hallo Alice 😙 How are things? Have a great week.

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 ปีที่แล้ว

      @@thinkingkenyan9002 hi.. Not bad I can't complain.. You too

    • @arthuromondi9123
      @arthuromondi9123 3 ปีที่แล้ว +1

      Tena sanaaa

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 ปีที่แล้ว +1

      @@arthuromondi9123 mkue mnaniamsha

  • @lenitygakii9570
    @lenitygakii9570 3 ปีที่แล้ว

    Leo nimechelewa no 24 team hamam atuchelewi

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 3 ปีที่แล้ว

    😎😎😎😎

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanaume sijui yuko aje surely😨🇰🇪.Kwani yy hawezi shukiwa?.

  • @princesspriscaofficial4823
    @princesspriscaofficial4823 3 ปีที่แล้ว +2

    Welcome back gidi na ghost

  • @cynthiakawira1804
    @cynthiakawira1804 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa solve tu kwa nyumba as long as wako pamoja still

    • @Gatheri1
      @Gatheri1 3 ปีที่แล้ว

      Kawira uko cute sana dia. Naomba namba yako dia

  • @rhodakavindu9956
    @rhodakavindu9956 3 ปีที่แล้ว +1

    I hate this men who trust rumors ...nkt

  • @marthak973
    @marthak973 3 ปีที่แล้ว

    There is no Love hapo🤔ni kulea watoto too

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 ปีที่แล้ว

    Waaaaaa huyu mwanamke mjanja

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo jidume litakuwa na kiburi kweli😂😂

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndoa si rahisi mi nilinawa mikono

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 3 ปีที่แล้ว

    Inaitwa bembeleze mmeo muishi vizuri

  • @esthermuthoni4395
    @esthermuthoni4395 3 ปีที่แล้ว +2

    Maaajabu hiii eti nini???🤭🤭🤭

  • @gladysgladys9845
    @gladysgladys9845 3 ปีที่แล้ว

    Wilson unapendwa kwa akina bibi, usiwe kichwa ngumu 🙄.

  • @terrymwas8250
    @terrymwas8250 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani amenotice huyu gidi Arsenal akishinda lazima avae Jezi

  • @stargal906
    @stargal906 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanaume ni kichwa ngumu wachana nae, waja kubombeleza mwanaume panaaa😏😏😏

    • @alfredandalya9346
      @alfredandalya9346 3 ปีที่แล้ว

      wewe kama huwezi bembeleza kaa kando ama umpatie bwana yako kichwa rahisi

    • @wafulaalice5180
      @wafulaalice5180 3 ปีที่แล้ว

      Stella wewe umeolewa kweli,,,naona kama uko single ju kama huwezi bembeleza mume ,,ata sisi wanawake hubembelezwa ama ujui

    • @stargal906
      @stargal906 3 ปีที่แล้ว

      @@alfredandalya9346 😂😂😂😂mwanaume akibombelezwa anakuwa na ujinga mingi kwa kichwa. Atakuwa anafanya tu makosa maksudi akijua unampenda hakuna mahali utaenda😏

    • @stargal906
      @stargal906 3 ปีที่แล้ว

      @@wafulaalice5180 Eee mimi niko Miaka saba kwa Ndoa yangu.

  • @alicelakwena4502
    @alicelakwena4502 3 ปีที่แล้ว

    🇰🇪

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mama kuna kitu anaficha

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 3 ปีที่แล้ว

    Watching from qatar 🇶🇦

  • @rackemakunda4047
    @rackemakunda4047 3 ปีที่แล้ว +2

    Na hii tabia ya number one ndio huwa nini huku naona tu kila wakati number one kwani hamnanga kazi ya kufanya ama mskize na mtoe maoni ya kusaidia mtu nyie kwendeni na huko bana

  • @rackemakunda4047
    @rackemakunda4047 3 ปีที่แล้ว +3

    Na hii tabia ya number one ndio huwa nini huku naona tu kila wakati number one kwani hamnanga kazi ya kufanya ama mskize na mtoe maoni ya kusaidia mtu nyie kwendeni na huko bana