ILANI FEB 8: MTAA WA MIVINJENI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUJENGEWA MITARO, WAOMBA KITO CHA AFYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Mivinjeni kupitia Mwenyekiti wake Fadiga Legele unampongeza Rais Dkt Samia kwa kupeleka Maendeleo katika Mtaa huo ikiwemo Ujenzi wa Barabara, mitaro pamoja na mradi wa Maji taka.
Fadga is my Brother, and naamin ni mtu makini sana!
By Marius Alphonce
Mwenyekiti serikali ya mtaa kimanga Darajani