Mapishi ya donuts za kuku |Chicken doughnuts COLLABORATION 2019

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • ✔Shrimp bites/Vitafunwa vya kamba from Aroma Of Zanzibar
    Kiswahili: • VITAFUNIO VYA KAMBA ( ...
    English: • SHRIMP BITES ( RAMADHA...
    ✔Potatoes bajia/Badia za viazi from Farhat Yummy
    Kiswahili: • Jinsi Ya Kupika Bajia ...
    English: • How To Make Quick And ...
    ___________________________
    ✔ingredients
    1/2 kg minced chicken
    1 large onion
    mixed papers
    1 tbsp curry powder
    1-2 tbsp cumin powder
    1 tbsp black pepper powder + coriander seeds
    1 egg yolk
    1 tbsp garlic and ginger paste
    1/2 cup coriander leaves
    1/4 cup all purpose flour (plus more when needed)
    1 tbsp corn flour
    chilli powder
    salt to taste
    For coating we need
    1 cup breadcrumbs
    2 eggs for
    oil for frying
    _______________
    ✔Mahitaji
    nyama ya kuku alosagwa nusu kg
    kitunguu maji 1
    pilipili hoho kiasi
    curry powder kjk 1
    bizari nyembamba kjk 1 mpaka 2
    pilipili manga na giligilani ya unga kjk 1
    kitunguu saum tangawizi kjk 1
    kiini cha yai 1
    majani ya coriander nusu kikombe
    unga wa ngano robo kikombe (na zaidi ukihitajika)
    corn flour (unga wa mahindi mwepesi sana) kjk 1
    pilipili ya kuwasha ukipenda
    chumvi kiasi
    Pia tutahitaji
    chenga za mkate kikombe 1
    mayai 2
    mafuta ya kuchomea
    _____________________________
    ✔Shuna's Kitchen
    __________________________
    For more updates please join my social media family ❤
    ✔instagram: @jifunze_mapishi 👉 / jifunze_mapishi
    ✔Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
    __________________________________________
    ✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com
    __________________________________________
    ✔More videos to watch - Shuna's Kitchen
    katlesi za nyama/Mince potato chop: • Katlesi za nyama - Min...
    katlesi za samaki/Potatoe and tuna kebab: • Katlesi za nyama - Min...
    kachori/Potato balls: • Kachori za viazi - Pot...
    Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia sambusa/Homemade samosa wrapper: • Jinsi ya kutengeneza m...
    Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia spring rolls/Homemade spring rolls wrapper: • Jinsi ya kutengeneza m...
    Jinsi ya kutengeneza sambusa za viazi/Vegetables samosas: • Sambusa za viazi kwa k...
    Jinsi ya kutengeneza mikate ya mofa/Muufo bread: • Mikate ya mofa - Muufo...
    Jinsi ya kupika mikate ya ufuta/Sesame bread: • Mikate ya ufuta - Sesa...
    Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka bila kukanda unga sana/No knead soft chapatis: • Jinsi ya kupika chapat...
    Vipopoo vya nazi/Mini sweet dumplings in coconut cream: • Vipopoo/Vitobwesha - M...
    Jinsi ya kuandaa shawarma ya kuku/Chicken shawarma: • Jinsi ya kuandaa shawa...
    Jinsi ya kupika maandazi ya iliki malaini/Cardamom fried bread: • Jinsi ya kupika maanda...
    Rolls za chapati na kuku/Chicken Chapati rolls: • Chicken Chapati Rolls ...
    Jinsi ya kupika fish sticks/Fish stick kebabs : • Fish sticks - Tuna sti...
    Jinsi ya kutengeneza masala ya chai/Tea masala powder: • Jinsi ya kutengeneza m...
    Banzi za samaki na cheese/Tuna and cheese buns: • Jinsi ya kupika banzi ...
    Mchuzi wa nazi wa kuku/Chicken breast in coconut milk: • Mchuzi wa nazi wa kuku...
    Kuku wa sekela/ Sekela grilled chicken: • Kuku wa Sekela - Sekel...
    Maandazi ha ufuta/Sesame fried bread: • Maandazi/Mahamri ya uf...
    Mapishi ya vitumbua kwa kutumia unga wa mchele/ Rice flour mini cakes: • Mapishi ya vitumbua kw...
    Jinsi ya kupika jicho la mke mwenza/Egg tuna kebab: • Mapishi ya vitumbua kw...
    Viazi karai/Spicy fried potatoes: • Viazi karai - Spicy fr...
    Muhogo wa nazi na samaki/Cassava in coconut cream: • Muhogo wa nazi - Cassa...
    Uji wa shurba/Shourba/Oats and meat soup: • Uji wa shurba - Oats a...
    Maharage ya nazi/Red kidneys beans in coconut milk: • Jinsi ya kupika mahara...
    Uji wa ngano nzima:Whole wheat porridge: • Uji wa ngano - Whole w...
    Mishkaki ya nyama/lamb skewers: • Video
    Vibibi vya tui juu/Pancakes with coconut sauce: • Vibibi vya tui juu / r...
    Jinsi ya kupika pilipili ya kukaanga/Hot chilli paste : • Jinsi ya kupika pilipi...
    Chicken pockets: • Chicken pockets - Pock...
    Jinsi ya kupika mikate ya bwana/Baked sesame bread: • Mikate ya bwana
    #chickendoughnuts donasizakuku #shunaskitchen

ความคิดเห็น • 129

  • @aishamohamed1555
    @aishamohamed1555 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Donus kebabs nzuri

  • @ummuamira3885
    @ummuamira3885 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran JazakaAllah Ramadhan Kareem

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 ปีที่แล้ว +8

    Mwamke hodari mashallah kwa kupika napenda sana mapishi yake❤❤❤

  • @salmagulam6619
    @salmagulam6619 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana tunaomba recipe ya kalimati za cheese unamwagia kwa juu

  • @nuwayraseif9457
    @nuwayraseif9457 2 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa allah akuongezee zaidi ujuzi inshaallah

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow mashaallah shukran insha'Allah kujaribu iyo 😘♥

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mapishi mazuri nimependa sana mapishi yako Allah akubarik

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah zote nzuri, n tamuu 😋💐👏🏼🙌🏽👌🏽. Shukran

  • @FarhatYummy
    @FarhatYummy 5 ปีที่แล้ว

    This so beautiful and looks so delicious Ma Sha Allah. 🥰🥰😘😘

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Thank you so much boss lady 😍

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @yusrahazard8024
    @yusrahazard8024 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah nampenda sana huyu anty batsman namm niwe mbunifu km ww

  • @fatmamzee8632
    @fatmamzee8632 4 หลายเดือนก่อน

    Nimependa

  • @eqbalmima2044
    @eqbalmima2044 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Jessi Omaha Allah Nitajaribu tnx

  • @ilhammasoud2235
    @ilhammasoud2235 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan sana habibty nitajaribu inshaallah😙 napenda mapishi yako nikijaribu huwa sikoseii .....mashaallah😚

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Asante sana habibty

    • @ilhammasoud2235
      @ilhammasoud2235 5 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen natamani niwe nakutumia picha uone nikijaribu

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah yummmy yummmy 😋😋😋👌🏻

  • @nassorhamad8556
    @nassorhamad8556 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mamy nzuri Sana 😋👌

  • @anithamichael5645
    @anithamichael5645 5 ปีที่แล้ว +3

    Jee naweza nikatumia hata nyama ya ng'ombe??

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 2 ปีที่แล้ว

    Ukiziweka katika freezer siku yakuchoma unaziacha ziyayuke au unachoma zikiwa frozen?

  • @aishaabuuhassan2159
    @aishaabuuhassan2159 3 ปีที่แล้ว

    Mashallh nice 😍

  • @faustadonasian2777
    @faustadonasian2777 5 ปีที่แล้ว

    Hadi rahaa kwa kweliii!!

  • @neemagaffa9934
    @neemagaffa9934 5 ปีที่แล้ว

    Assalam alykum hbbty! MashaAllah, hv oregano inatumika kwnye kupika aina gan ya chakula?

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 5 ปีที่แล้ว

    Shukran sis kwa mapishi mazuri

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว

    Huhu nimeipenda hyo 😋

  • @maimunaabubakar3370
    @maimunaabubakar3370 5 ปีที่แล้ว

    mashallah..yamyam.shukraan habbty😍😍😍

  • @sabraali3358
    @sabraali3358 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nimeipenda sana recipe ya donas za kuku

  • @feysalmohamed9629
    @feysalmohamed9629 3 ปีที่แล้ว

    woooow I like all your foods yummy😋😋😋😋

  • @samirambarouk8249
    @samirambarouk8249 4 ปีที่แล้ว

    Woow mashallah kwhy kuku haivishwi anawekwa viung moja kw moja? Kehy kwnye mafuta anaiva vzur?

  • @habibaabdallah5403
    @habibaabdallah5403 5 ปีที่แล้ว

    Mashallh mungu akubarik

  • @wardanna8289
    @wardanna8289 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mate yanatoka

  • @misslucyrjohnson9044
    @misslucyrjohnson9044 4 ปีที่แล้ว

    chenga za mkate zinauzwa supermaket??

  • @zalhasalim9363
    @zalhasalim9363 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @sabahsaleh5597
    @sabahsaleh5597 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah allah akuzdshe

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Ameen asante sana my dear Sabah :)

  • @winniegeorge7083
    @winniegeorge7083 5 ปีที่แล้ว +2

    This is a must try for me. Thank you for the recipe your videos are always on point

  • @najmasulleyman7695
    @najmasulleyman7695 5 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah pambeeee shuna’s nimependa👌😘

  • @shamsaal-habsi1485
    @shamsaal-habsi1485 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nzuri sana

  • @amalhassan627
    @amalhassan627 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah 😋 😍 u sana. May Allah bless u

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana my dear

  • @mwanaminamohd261
    @mwanaminamohd261 5 ปีที่แล้ว

    Masha allah ajaab

  • @salmatalhiyn3225
    @salmatalhiyn3225 5 ปีที่แล้ว +1

    Assalam Alaykum...Habibty Naomba Kukuuliza Kwa Nyumbani Kuku Namsaga Kwa Kifaa Gani?Shukran Kwa Mapishi Yako Mazuri Allah Azidi Kukupa Afya Na Nguvu Mamy Ili Tuzidi Kufaidika😘😘

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +2

      Kama una food processor (machine ya kusagia vitu vikavu) unaweza kusaga mwenyewe. Au mgandishe awe barafu halafu mpare na kibati cha kuparia chipsi, ile sehem ya kuparia chipsi..akiwa na barafu anaparika vizuri

  • @bahatiali143
    @bahatiali143 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah, sooo yummy!!

  • @halimamohd2849
    @halimamohd2849 ปีที่แล้ว

    kuku ukimchemsha jee af ukamtia viungo???

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 5 ปีที่แล้ว

    Mashllah recipe nzuri sana.

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah shukran

  • @bahatitemu5126
    @bahatitemu5126 5 ปีที่แล้ว

    Nice thank you

  • @yusraali4232
    @yusraali4232 3 ปีที่แล้ว

    What if u dont have a cornflour?

  • @edimohd2481
    @edimohd2481 3 ปีที่แล้ว

    Hyo kuku unasaga kwenye blenda

  • @aminaramadhani9388
    @aminaramadhani9388 5 ปีที่แล้ว

    Maaashaallh

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 5 ปีที่แล้ว

    Sooooo👌yummyyyyy😗😍😍😍

  • @masaadahmed5111
    @masaadahmed5111 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah thanks for sharing

  • @saedbare8733
    @saedbare8733 5 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana

  • @dianaalexin2151
    @dianaalexin2151 5 ปีที่แล้ว

    This is great & yummy I must try

  • @lailatyabdallah1723
    @lailatyabdallah1723 5 ปีที่แล้ว

    Kweli zinanukiaa Sana😢😢😢 swaum hii looh😂😂😂

  • @fatmabarass416
    @fatmabarass416 5 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @alihassanhaiba6937
    @alihassanhaiba6937 5 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @Layla-gp5kx
    @Layla-gp5kx 5 ปีที่แล้ว

    Amazing!!!!!
    Thanks for sharing your heart of cooking with us.

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      You are welcome Layla. Thanks for watching :)

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 5 ปีที่แล้ว

    Yummy! A must try I luv your collaboration Keep it up gals

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Thank you Maryam :)

    • @siyumbakulwa769
      @siyumbakulwa769 5 ปีที่แล้ว

      Jee naweza tumia nyama ya ng'ombe ya kusaga aunty shuu...barikiwa

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      @@siyumbakulwa769 ndio unaweza 🙂

    • @rukiamahmoud1144
      @rukiamahmoud1144 2 ปีที่แล้ว

      Mashallah nzuri sana

  • @mohdhilal2560
    @mohdhilal2560 5 ปีที่แล้ว

    Assalam alaikum ukikosa kuku nyama inafaa au haifai

  • @a.856
    @a.856 5 ปีที่แล้ว

    Asanteni

  • @nasrahabdulatiffattass2310
    @nasrahabdulatiffattass2310 5 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum Habibty, me naomba kuliza kisha donge cha supu ni nn kwa jina lingine?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      W msalam dear kidonge cha supu ndio wanaita hivyo sana kwa jina jengine maggi cube

    • @nasrahabdulatiffattass2310
      @nasrahabdulatiffattass2310 5 ปีที่แล้ว

      Shukran Habibty. Allah akubarik.

  • @fatiib4871
    @fatiib4871 5 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana ❤️

  • @vailethanod1522
    @vailethanod1522 5 ปีที่แล้ว

    Asante sis ila nitafanyaje kama sina corn flour

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      Sio lazima kuweka corn flour

  • @Caroline.46520
    @Caroline.46520 5 ปีที่แล้ว

    Thank you for the recipe

  • @ummukulthumabdulhafidh9516
    @ummukulthumabdulhafidh9516 5 ปีที่แล้ว

    Thanks soo much all of u

  • @adamuadamu855
    @adamuadamu855 4 ปีที่แล้ว

    ila mm nauliza swal, km huna cornfour je unawza kutia unga wa ngano.t???

  • @ummsalamahrashid7920
    @ummsalamahrashid7920 5 ปีที่แล้ว

    Shukran habibty ila huwezi kutumia nyama ya kusaga??

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      Afwan dear. Unaweza ila zitakua beef doughnuts 😋

  • @ummsalamahrashid7920
    @ummsalamahrashid7920 5 ปีที่แล้ว

    Corn flour niunga wamahindi eeh?

  • @shafa3810
    @shafa3810 5 ปีที่แล้ว

    Ukitumia keema robo, kiini utatia kimoja pia?

  • @zuhuraadam.9434
    @zuhuraadam.9434 5 ปีที่แล้ว

    Salaam naweza kupika nyama kiasi kwanza ndio katika kuivyaa isiwe mbichi ndani....

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Sijawah kufanya ila unaweza kujaribu, nijulishe zitakuwaje

  • @winniegeorge7083
    @winniegeorge7083 5 ปีที่แล้ว

    Kama hauna corn flour what substitute can you use?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      add 1 or 2 tbsp of bread crumbs or you you can skip it. Thanks for watching

    • @winniegeorge7083
      @winniegeorge7083 5 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah i love u shun'us kitchen😙😙😙😙😙😙❤

  • @adamuadamu855
    @adamuadamu855 4 ปีที่แล้ว

    asnt sn

  • @mohdhilal2560
    @mohdhilal2560 5 ปีที่แล้ว

    Na kuku nisipo msaga atakuwa mapande mapande donuts zitakuja

  • @athmanbello380
    @athmanbello380 5 ปีที่แล้ว

    Nitafanya Inshll sat

  • @tumtam8825
    @tumtam8825 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha. Eti najua hampendi naivae gloves..

  • @fatmamzee8632
    @fatmamzee8632 9 หลายเดือนก่อน

    Nipendq

  • @victoriambena4870
    @victoriambena4870 5 ปีที่แล้ว

    Kama sina unga wa mkate natumia nini?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kusaga cornflakes ukapata unga wake, au tengeneza chenga za mkate kwa kutumia mikate ya boflo

  • @arafatahir5848
    @arafatahir5848 3 ปีที่แล้ว

    Ukitumia bread cramp jeee instead y kutumia unga wa ngano

  • @ukhtyrahma1131
    @ukhtyrahma1131 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @anithamichael5645
    @anithamichael5645 5 ปีที่แล้ว

    Jee naweza nikatumia hata nyama ya ng'ombe??

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @sitihassan9439
    @sitihassan9439 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah