Ogereni vijana wa kazi mna weza Sana mungu hawa bariki kwakila jambo msani nivi tendo haho siyo wanagu ❤❤❤❤🙏🙏🙏👍👍✨️🇹🇿 nikwaniaba ya bembe capany tv online pamoja na bembe stars tuna wapenda Sana
Iyo sehemu ilo imba dogo zuuh dah imeniumiza sana, naapo kwa brother nyago inauzunisha mtoto ulo mzaa jana leo kakushikia panga, mbarikiwe sana vijana wetu twawapenda ❤️🙏
Daah hata siamini kwa Ubunifu huu
Bwanamdogo toa Ngoma Nyingine 2026
Pumzika kwanza mwaka huu na mwaka kesho tutakaa nahii kwanza👏👏👏
Ahsante sna kaka , Mimi uwa na Farijika sana Niki Hona comment yako kwenye wimbo wangu kaka Ahsante sna 🙏
Nyago Wewe unakujaga kupewa idée na mababu(wakoko)wimbo unaujumbe mzito alafu inaliza pia inasikitisha 🎉🎉
❤❤
Nani kama nyago man kwa wasini wetu wakibembe kama ayupo dondosha like apochini🎉🎉🎉🎉🎉🎉kichwa chawa wabembe kiruwiiiiiii bisoshiiiiiiii kengeeeeeeeee
Tuna semaga EBEMBE To The World 🌍🌍 like kwa PETIT Director please 🙏🙏
BISOSHIIIhH WEEE 💪💪
WE nisimba kabisa
Kazi kubwa mbuzi lakibembe 🔥🔥
❤😂🎉😅kazi njema
Beberu kweli nakukubali sana kk🎉🎉🎉 upewe mauwa Yako mkali wa kambi
Nyago wewe King of is jingle wewe kiboko bro
Seen perfect migomigo 🇺🇸
That is why I believe you Nyago Man
Babutale seen🎉🎉🎉 jama ameuwa sitaki kuamin 🙌🙌🤟🤟
Nyago man ndo wakwanza nyarugusu
Nipeni like zangu
Nyago man anajuwa sana kama muna mkubali nyago man wekeni like twende sawa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢
Nakuku balisana bro❤
Naomba kuuliza nyie ndugu zangu congo au mimi nim tz mwafanya makubwa saana 🇹🇿👍👍👍
Dah bembe boy 😢 unajua kaka
Dah ebembe to the world 🌎 BEBERO KING DELÀ MUSIQUE CAMP MY GROUPE KIRUWII BISOSHII❤❤
Producer: 13%
Director: 20%
Actors: 47%
Singers: 20%
Ila Dogo zuuh Unakiti chako Mbinguni Umejua kuikosha Roho yng keep Going my G
Congratulations 🎉🎉🎉❤
Unyama huo Mziki mpya duu 🥱 noma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 from Afrika 🌍
Congratulation BOB GM😮
Video na Audio zote kali 🔥🔥
Mpeni bebero mauwa yake🥀🌹❤
Good job bro❤❤❤❤🎉
Simba wa camp ❤️❤️❤️
🎉 NYAGo una juwa sana mpaka una kera sasa mana WEWE NI MWANA MUZIKI MZURI SANA
Ogereni vijana wa kazi mna weza Sana mungu hawa bariki kwakila jambo msani nivi tendo haho siyo wanagu ❤❤❤❤🙏🙏🙏👍👍✨️🇹🇿 nikwaniaba ya bembe capany tv online pamoja na bembe stars tuna wapenda Sana
Kusema kweli hii ni kazi kubwa
Daah kazi na dawa mmeweza saana mpewe mauA yenu ❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤
Ah hayo mambo yanaomba ujasiri nyie❤😂
Tino og ✍️
Yani ihi ngoma ni kali ni kubwa yani NYAGO man kaka umetowa wapi izi akili bro upewe mauwa yako
Napenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi kubwa .nakukubali san
Sanaaaa 💥💥💥
namuona Mwanangu #elocho 😄😄😄 nakuona pasta ✌️✌️✌️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nime penda nyago man gm
Hii ngomaaa kweli akika mwamba mmeupigaaa San Yani mwaka huu umehuhazaa fresh San kweli
Mr ubunifu ndo wewe ❤️
THIS is GREATEST song and sad A Good Song To al❤. DG Zuuh Keep it up Nice VOICE ❤
DOGO zuuh 90%
nyago man🐐 95%
Ahi BOB 80%
Pruducer🔥🔥🔥✅️
Nyago na fkiri punguza kutuliza 😢
Vocal Designer seen it🎉
Seen Alaska dance ❤❤
Nyago man ndo wakwanza camp❤❤❤❤
Good job kaka ❤❤❤❤❤
wewe unajuwa sana kaka
nyago man mbuzi la mambuzi good unajuwasan kumshind nice
🎉🎉 nyago njoo uchukuwe mauwa yako uku ❤❤
imependeza sana nyago😂😂😂😂
Nice song
My favorite song❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉unajua bahna wakupee mauwa yako nilikuwa sifikirii kama una weza kubuni kumbe wewe ni captn
Sebastian pro max again, big up nyago man 🎉
Nakuamini🎁
Dha hii ngoma inanikumbusha walimwengu walivyo
Chenchi Seen It , Let's Go To Enjoy With This Combo Kiruwiih Bisoshiiii 4Life 🎉🎉🎉🎉
Kaweye combo maana yake Nini😂 1:43
@@milungaapeshijerome Abenuuu 😁😁
Good song
Bangi mbaya
Fantastic ❤❤🎉 Bob Gm Nyago Ft Zuuh❤❤❤
Umetisha sanaa
Vraiment uyu dogo nilikuwa sijafatilia kazi yake hiii ametisha Nina ushaurii fulanii ivi
Iyo sehemu ilo imba dogo zuuh dah imeniumiza sana, naapo kwa brother nyago inauzunisha mtoto ulo mzaa jana leo kakushikia panga, mbarikiwe sana vijana wetu twawapenda ❤️🙏
Respect 🙏🏽
@Bembe BoY 😮
Bob umenikosha❤❤❤❤
Asante janjangu
nyagoman nice bro ❤❤❤❤by MOPOWER
Congratulations to you guys, nimeipenda hii kazi 🎉🎉🎉
Nampenda Sana dogo zuuh
Me kijana mdogo
Bonge la ngoma mbuzi la ma mbuzi
Tena sana
Yeah sister ila twende inbox tungeneze familia ya kiruwiih fans 😂😂
director Khasi seen it
Good job
Good video
Congrats to you guys
I accept this song
Good idea
Dogo zuuh me penda weye sana ❣️❣️👈✌️
Uimbaji wako mkubwa follo, anapata hofu.❤❤🎉🎉🎉
Anapata hofu nanini kwanza
Kazi nzuri sana ndugu yangu unajuwa sana kwa sekta yako
Hiyi kali ya mwaka, piga pigo zaidi ya hapa
Kazi zuri str wa chechen🎉
Kweli ni Goat ame kill Nyago bembe congratulations leo umezibitisha kwa hakuna wakugupinga drop the sh..t maana kunao fanya kwa kuji force hawa kipaji
KAZI ziende mbele brother yangu nyagomen bebero the best club GM ❤❤❤
Nyago for life 🎉🎉🎉
Petit director apewe mauwa yake 🎉🎉🎉🎉
Favorite My Song 🎵
🐐 La 🐐 🎉🎉🎉🎉🌺🌹
Kitu changu iki 😀😀
Hacha nikupe hongere sana nyago hujuwaji mwingi hunapoza chuka mahisha wewe tobwe
Naipenda sana🙏🙏💙💚
Big idea
Kiruwiiih🐐
Message kubwa sana 🙏🙏🙏
Acha kazi iendelee 🙏
Move kali sana ❤
Nzuri Sana 🎉🎉🎉
mmmhhhh....🎶🎶🎶
Vizuri sanaaaa kaka❤
🎉🎉🎉🎉
Good job ❤❤❤
Vue par baba boys 🔥🔥 camp ni yako
From THEUSE BOY MODEL 🇺🇸
Ngoma kali saana 🔥🔥🔥🔥kichupa kikali saana ume fanya ubunifu mkubwa
Mbuzi 🙌🙌🙌 bob 🎉🙌
Daaaahh
Yani mumehuwa kinyama
Ongera zen naona leo mmefunza really life na sio maboro😅😅
😂😂😂