Ahsanteni Marafiki na wadau wote wa Mziki wa injili mnaoendelea kufatilia nyimbo zetu. Tupe maoni yako, onyesha upendo pia kwa ku share na wengine wazidi kubarikiwa. IG: accendo255 FB: Accendo Tz
Naomba Habari hizi pia zienee kuwa Accendo sihami ndo nimeshafika. MBARIKIWE SANA,, Yani kwa swala la uandishi na uimbaji limetiki, imebaki tu kuimarisha promotion ili nyimbo hizi nzuri ziwabariki watu wengi zaidi. Muende Mbali Chini ya Mbawa za Malaika wa Mungu.
"Kwa Imani tu Walipona..." Kwa Imani natarajia nyimbo nyingi nzuri kama huu kutoka kwenu Accendo Tz. Mungu awabariki sana na adumishe muungano wenu milele na milele. Amin
Ahsanteni Marafiki na wadau wote wa Mziki wa injili mnaoendelea kufatilia nyimbo zetu.
Tupe maoni yako, onyesha upendo pia kwa ku share na wengine wazidi kubarikiwa.
IG: accendo255
FB: Accendo Tz
Nakubariiiii kama sisi yaaani hongereni sana @thepromised tz
Aaammeeeennn🥰🥰🥰🥰
Im blessed...
Blessings it heals
Hatari🔥🔥 👏👏
Naomba Habari hizi pia zienee kuwa Accendo sihami ndo nimeshafika. MBARIKIWE SANA,, Yani kwa swala la uandishi na uimbaji limetiki, imebaki tu kuimarisha promotion ili nyimbo hizi nzuri ziwabariki watu wengi zaidi. Muende Mbali Chini ya Mbawa za Malaika wa Mungu.
Huyo Mahona akiwa JCB anatoshea
Mbarikiwe sana wapendwa kwa huduma. Wimbo huu unatuinua kwa kuwa na imani.
Hatimaye nimeupata mbaraka huu sasa🤗😘💝💝💝💝mbarikiwe kwa juu zaidi jamaani
Barikiwa sana accendo.. 🇹🇿🔥✌🏾
Amen...accendo be blessed
*good voice ,God blessing accendo tz
Barikiweni 🙌🙌
"Kwa Imani tu Walipona..."
Kwa Imani natarajia nyimbo nyingi nzuri kama huu kutoka kwenu Accendo Tz. Mungu awabariki sana na adumishe muungano wenu milele na milele. Amin
was waiting for the blessing💕💪🏻🙏🏿🇹🇿 thank u
Ndaga fijooo
This is evolution for u guys, u sound better 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
amina sana
God bless you accendo
Love your music God bless you
Amen,Mungu awabariki Accendo.
Nimebarikiwa sana na hiii nyimbo
Amina,barikiweni wanaAccendo
Blessings ❤
Need more people so spread this video more
We are blessed
Mungu awabariki Accendo
Amina Amina
Amina hakika nabarikiwa
Mungu awabariki sana
Amen
Nice message, nice melody, nice voices. Keep on blessing us.
Be blessed in deed @ Accendo tz
haleluya
Amen 🙏
👍
Amen🙏