jmn jmn akendo cjui accendo.......#hivi ndo nilivyo cjui na nyinyi ndo mlivyo? naipenda dhamb kama binadam but naomba sana Mungu anisamehe na kunipa akili mpya ya kupambana na dhamb..#the message spoke to my heart....and as always God bless u for the beautiful work 😘🙏
Mbarikiwe sana watu Wa Baba. Hapa kwenye huu wimbo kuna mambo mengi sana sana sana. Ukiacha mbali message, watu wamesolo sana humu ndani, watu wamefanya humming sana humu, bado style ya uimbaji ni tofauti sana. Niwapongeze mmepangilia maneno yameleta message nzuri pia mmedeliver vizuri. MUNGU AWASAIDIE mlete nyimbo nyingi zenye mguso kama hizi.
God is REAL.. Anajifunua kupitia watu wake.. Hakika mbarikiwe sana kwa kazi nzuri yenye kunipa tafakuri pana mno juu ya maisha ya kila siku... Vocal arrangement iko sawa sana viwango vya juu sana.. Huwa nikisikia nyimbo zenu najikia kama kulia hivi.. hakika ni heavenly melodies... Mungu awatunze
The Real #Cake_Music kwa matibabu ya mioyo....
Hii mpangilio Inaweza Fanya Usahau hata Kula.
Nice song accendo be blessed abundantly
Keep it up good people you touch many souls through this singing style.. keep it hot always
Beniii 😂😂😂👍🏼💪🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mbarikiwe Accendo kwa kazi nzuri...Mungu azidi kuwang'arizia nuru yake ili watu wapate barikiwa kila siku
Amen amen!
jmn jmn akendo cjui accendo.......#hivi ndo nilivyo cjui na nyinyi ndo mlivyo? naipenda dhamb kama binadam but naomba sana Mungu anisamehe na kunipa akili mpya ya kupambana na dhamb..#the message spoke to my heart....and as always God bless u for the beautiful work 😘🙏
Amen, Bwana ni mwaminifu, na atasikia ombi lako hakika. Thank you brother.
Mbarikiwe sana watu Wa Baba.
Hapa kwenye huu wimbo kuna mambo mengi sana sana sana. Ukiacha mbali message, watu wamesolo sana humu ndani, watu wamefanya humming sana humu, bado style ya uimbaji ni tofauti sana.
Niwapongeze mmepangilia maneno yameleta message nzuri pia mmedeliver vizuri. MUNGU AWASAIDIE mlete nyimbo nyingi zenye mguso kama hizi.
Amen 🙏
Nice item! God bless you 🙏🙏
Huu wimbo umenibariki Sana usiku wa leo
daa we acha tu
May our almighty God bless u🙏🙏
Mungu awabariki na aendelee kuwa Tia Nguvu mzidi kutubariki kwa nyimbo zenu nzuri
God is REAL.. Anajifunua kupitia watu wake.. Hakika mbarikiwe sana kwa kazi nzuri yenye kunipa tafakuri pana mno juu ya maisha ya kila siku... Vocal arrangement iko sawa sana viwango vya juu sana.. Huwa nikisikia nyimbo zenu najikia kama kulia hivi.. hakika ni heavenly melodies... Mungu awatunze
Asante sana ndugu, zidi kubarikiwa na utuombee. Amen
Mbarikiwe sana
Wimbo mzur sana mbarikiwe
MUNGU awabariki sanaaa
Kwa mziki mtamu
mbarikiwe na mfike mbali kwa neema ya BWANA WETU YESU KRISTO
Amen amen
Mungu awabariki
Amen Amen
This songs remains rent free in my head
mbalikiwe wajoli
Be blessed
Mungu awabariki kwaujumbe mzuri
Mungu awabariki🙏🏻
Nahitaji kujiunga nanyi
Be blessed ,wimbo mzuri.Nawapenda
Mbarikiwe🤗
Mungu awatumie vema
Definitely there's God.
Amen🙏🏾 , very touching message, may the Lord Bless you so much
Amen 🙏
Amina
Amen
Amen. What a song!! Blessed brethren.
Blessing🙌
Amen
Nice song.... But sometime try sing in English, nice work... Thank
Ameeeen!
Amen