Wewe ni Mwalimu haswa Mzee wa small small details. Na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tunashinda 2 bila dhidi ya MC Alger Azizi Ki atafunga magoli yote kwa Mashuti ya mbali. Gonga like hapa kama unakubaliana na mimi ❤
UFAFANUZI: NI POINTI 24+15 = 39 Kuna watu pamewachanganya pale walipoona 15 ikiongezwa na kuwa 39. Ni kwamba Yanga imeingia na pointi 24, hivyo ikiingia Robo Fainali unaongeza 15 inakuwa 39. Ile pointi 34 ya sasa inatokana na Yanga hivi sasa kuwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao ambapo inapata pointi 10, ukiongeza na 24 iluzoingia nazo ndipo inakuwa 34.
UFAFANUZI Morocco pia ina klabu 2 ndani ya Top 10 ambazo ni Wydad na RS Berkane. Hivyo Yanga ikishinda Jumamosi dhidi ya MC Alger, mataifa yatakayokuwa na klabu 2 ndani ya Top 10 Leagues ni Misri, Morocco, Algeria na Tanzania. By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
Mbwaduke ulitakiwa kuwa Lecturer wa University maana vitu unavipanga na kuvielezea kwa mtiririko mzuri kama kuna mtu haelewi atakuwa ni kilaza sana au anyooshe mkono juu tumuone 😂 bila kusahau YANGA BINGWA 💚💛
POINTI ZINAVYOPATIKANA Kama umesahau au hufahamu pointi zinavyopatikana, fungua hapa kwenye link hii: th-cam.com/video/bd2-pht2Qng/w-d-xo.htmlsi=X1wRgg3F9WeUOkzx
Hatua kwa hatua tutafika tu kule tunakotamani timu yetu ifike, kufika 10 bora ni jambo jema lakini malengo yetu ni kutwaa ubingwa wa CL wakati ukifika hayo ndiyo mafanikio halisi, ila kufika hatua za robo na nusu hata fainali uko ni kupiga hatua ambazo mashabiki wengi nchini wao hayo wanayahita mafanikio.
@@jumaiddy441Bro. Kama utafanikiwa kusikiliza vizuri, utasikia Mzee wa Data amefafanua: kuwa hizo pointi 34 ni ya sasa Yanga ikiwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao la A. Ikiingia Robo hiyo 34 haihusiki bali unachukua iliyoingia nayo msimu huu 2024/2025 ambayo ni pointi 24 kisha unaongeza 15 points. Msisitizo, SIKILIZA vizuri Mkuu!
Naona baadhi ya wana YANGA wenzangu wamepagawa na hesabu za Mwaduke, kwa nilivyo elewa, tulikua na points 24, kama hatuta wafunga mc Alger alafu tukashika nafasi ya 3 ina maana tutapata points 2 ambazo unazidisha na 5 ambao ni mwaka husika wa kimahesabu 2x5=10, hizi 10 unajumlisha na 24 unapata 34 lakini kama tutawafunga Mc Alger na kutinga hatua ya robo fainali zile point 10 za kushika nafasi ya 3 zinakufa automatically na hesabu zinakuwa mpya, ukiingia robo ni points 3, unazidisha na 5 mwaka wa mahesabu 3x5=15, 15+24=39.nafikiri hapa nitakua nimewasaidia wengi ambao walikua hawajaelewa
Yanga ilianza msimu na pointi 24, imeshajihakikishia nafasi ya tatu kwenye kundi hivyo imeshavuna pointi 2x5=10. Ukijumlisha na 24 ilizoanza nazo kwenye msimu inakiwa 34.
Mkubwa nakupa maua yako. Uko vizuri sana kwenye takwimu za soka. Natamani mamlaka za michezo ziweke zawadi kwa wachambuzi bora japo hata kwa kuweka kaushindani fulani hii itasaidia kupata wachambuzi bora na sio bora wachambuzi.
Mzeee wa data sio porojo unachambua kwa data kbs hta sie wabishi ambao n mashabiki inafk sehem tunaelimika na kuwa wana soka hta matokeo tunakuw tunayapokea kimchezo
Siku zote makundi, wa 1 na wa 2 pointi ni sawa. Hivyo Simba na Constantine tayari hapo zimejumlishwa pointi zao baada ya kuwa na uhakika nafasi mbili za juu.
@jumaiddy441 Bro. Kama utafanikiwa kusikiliza vizuri, utasikia Mzee wa Data amefafanua: kuwa hizo pointi 34 ni za sasa Yanga ikiwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao la A. Ikiingia Robo hiyo 34 haihusiki bali unachukua ilizoingia nazo msimu huu wa 2024/2025 ambazo ni pointi 24 kisha unaongeza 15 points. Msisitizo, SIKILIZA vizuri Mkuu!

Pyramid ipo nje ya Top 10 kwa sasa na Yanga ikishinda Jumamosi yenyewe haiwezi kuwa juu ya Yanga. Bali baada ya hapo inawezekana na hasa ikiwa Yanga itakwama, Pyramids ikasonga mbele!
Wewe ni Mwalimu haswa Mzee wa small small details.
Na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tunashinda 2 bila dhidi ya MC Alger Azizi Ki atafunga magoli yote kwa Mashuti ya mbali.
Gonga like hapa kama unakubaliana na mimi ❤
UFAFANUZI: NI POINTI 24+15 = 39
Kuna watu pamewachanganya pale walipoona 15 ikiongezwa na kuwa 39. Ni kwamba Yanga imeingia na pointi 24, hivyo ikiingia Robo Fainali unaongeza 15 inakuwa 39. Ile pointi 34 ya sasa inatokana na Yanga hivi sasa kuwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao ambapo inapata pointi 10, ukiongeza na 24 iluzoingia nazo ndipo inakuwa 34.
Ahaaaa!!!!kweli bhn
Umewagusa wa2 pabaya Mzee wangu Leo, awatak ukwel ila mm nakuamnia PGA fimbo hao mpk waelewe
Kwa uwezo wa Mungu Yanga itsfuzu
@@MbwadukeStats kwa staili hiyo ikifika fainali kuifikia ndo basi tena😁
Mungu akubariki mzee wangu hakika wewe ni mchambuzi mzuri sana.
UFAFANUZI
Morocco pia ina klabu 2 ndani ya Top 10 ambazo ni Wydad na RS Berkane. Hivyo Yanga ikishinda Jumamosi dhidi ya MC Alger, mataifa yatakayokuwa na klabu 2 ndani ya Top 10 Leagues ni Misri, Morocco, Algeria na Tanzania.
By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
Wewe hesabu za wapi 34+15=39 which is very wrong rudia hesabu 34+15=49 jaman inakuwa nafasi ya tatu😂😂
Jiongeze hiyo ni 24 plus 15
Wew ndo kilaza 😂😂😂 maana usikilizi kwa makini 😂😂😂@@ruwaidamabrouk1797
Litakuwa jamb jema kwa watanzania
@@ruwaidamabrouk179724+15 iliingia na point 24.
Tunashukuru kwa uchambuzi bora sana na Mungu akujalie zaidi 🙏🙏
Brother sisi kama yanga tunapenda sana michezo hiyo sasa ngoja
Sasa ndio naelewa Kwa Nini Hadi viongozi wao wanapambana yanga asivuke hatua ya makundi 😂😂😂 asanthe mbwaduke
Mbwaduke ulitakiwa kuwa Lecturer wa University maana vitu unavipanga na kuvielezea kwa mtiririko mzuri kama kuna mtu haelewi atakuwa ni kilaza sana au anyooshe mkono juu tumuone 😂 bila kusahau YANGA BINGWA 💚💛
Big up
Mbwabuke wewe ni Mwalimu mzuri sana hongera kwa hilo, Mwandiko wako tu unasadifu, sisi wengine tunamiandiko yakutisha utadhani bata kapita
Nashukuru kwa Kinyakyu "thank you indeed for best explanation"
POINTI ZINAVYOPATIKANA
Kama umesahau au hufahamu pointi zinavyopatikana, fungua hapa kwenye link hii:
th-cam.com/video/bd2-pht2Qng/w-d-xo.htmlsi=X1wRgg3F9WeUOkzx
Gusa achia twende kwao 🔥🔥🔥🔥
Prof.Mbwaduke fungua darasa ili uache urithi kwa vijana hapo baadae maana kazi yako imetukuka haipaswi ipotee bure miaka ijayo 👏
Mrithi sahihi wa mwalimu kashasha
Kinacho niumiza mimi yanga kuipita Simba haraka 😢😢😢
😅😅😅😅ww jamàa mnafiki
😅😅😅
Tutahakikisha hamvuki makundi
Daaah Mzee wa data upo vzur sana Kaka 👏👏
🎉🎉🎉
Engineer kama Engineer mbwaduke
Yanga itakua na point 49 sio 39 mr Mbwanoke kakosea kujlisha.
34+15=49, jumlisha vizuri mwalimu
24+15=39
Majaliwa elewa usikariri 😂😂😂 yanga imeingia msimu wa 2023/2024 ikiwa na point 24 sasa ikishinda jmosi itapata point 3x14=15 +24=39😂😂😂😂
Hujamuelewa wewe kolo kasema 24 +15 =39 acha bange zako😅😅
Hatua kwa hatua tutafika tu kule tunakotamani timu yetu ifike, kufika 10 bora ni jambo jema lakini malengo yetu ni kutwaa ubingwa wa CL wakati ukifika hayo ndiyo mafanikio halisi, ila kufika hatua za robo na nusu hata fainali uko ni kupiga hatua ambazo mashabiki wengi nchini wao hayo wanayahita mafanikio.
Wewe ni mahiri sana sana kwa uchambuzi. Hongera sana. Azamu inatuheshimisha Tanzania
Naomba nisaidie 34+15 ni ngapi?
@@jumaiddy441Bro. Kama utafanikiwa kusikiliza vizuri, utasikia Mzee wa Data amefafanua: kuwa hizo pointi 34 ni ya sasa Yanga ikiwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao la A. Ikiingia Robo hiyo 34 haihusiki bali unachukua iliyoingia nayo msimu huu 2024/2025 ambayo ni pointi 24 kisha unaongeza 15 points. Msisitizo, SIKILIZA vizuri Mkuu!
Hizo ndo record tunazozitaka,sio zile za kulazimisha
Safi
Naona baadhi ya wana YANGA wenzangu wamepagawa na hesabu za Mwaduke, kwa nilivyo elewa, tulikua na points 24, kama hatuta wafunga mc Alger alafu tukashika nafasi ya 3 ina maana tutapata points 2 ambazo unazidisha na 5 ambao ni mwaka husika wa kimahesabu 2x5=10, hizi 10 unajumlisha na 24 unapata 34 lakini kama tutawafunga Mc Alger na kutinga hatua ya robo fainali zile point 10 za kushika nafasi ya 3 zinakufa automatically na hesabu zinakuwa mpya, ukiingia robo ni points 3, unazidisha na 5 mwaka wa mahesabu 3x5=15, 15+24=39.nafikiri hapa nitakua nimewasaidia wengi ambao walikua hawajaelewa
Excellent!!
@MbwadukeStats Thanks bro
Mwamba unajua sana
Nimegendua umu ndani ingekua ni mtihani wa necta kidato cha 4 watu wangefeli xana kwa data hii swali dogo lakni unatakiwa uwe makini xana kulijibu 🤣🤣🤣
Kama kuna kaukweli aisee😂😊😅
@@MbwadukeStats Atali xana Mzee wa data huwa nakwelewa xana🤚😂😂
Yanga kwa sasa ana point 24 NOT 34, correction kidogo.
24+15 =39
Umeeelewa mpaka Muda huu Ina pwent 34 ikiishia hapa
Yanga ilianza msimu na pointi 24, imeshajihakikishia nafasi ya tatu kwenye kundi hivyo imeshavuna pointi 2x5=10. Ukijumlisha na 24 ilizoanza nazo kwenye msimu inakiwa 34.
Huelew ana 34 hyo 24 ilikua ya mwaka Jana kabla ya kuanza michuano ww
Hapa ndio zero zinapotokeaga 😅😅😅
Hujaelewaaa😅
Fadlu tena wewwww
Duuh! Sorry Mkuu!!
Nakubar yanga mbele kwa mbele nyuma mwiko
Yanga oyeeeee gusa achia twende robo fainali
Exactly
Mimi kama raia wa bongo sioni yanga akienda robo tunzeni hii sms mtakuja kuniona nabii jioni ya jumamoc
Wataloga ili tusiingie robo fainal maana icho kichaka wanakipenda vibaya mno tutamtoa kwa petroli na moto mkali😂
MKUU unajua boli sana
Kila la kheri Yanga.
24+15 .sawa sawa na 39
Yeeeees! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Mchambuzi wangu Bora kabisa mzeee wa Data.
Mchambuzi wangu bora........
34 + 15 = ? . hii naomba uirejee Maalim. . Nadhani umepitikiwa. ... Au labda kuna hofu ya kuishusha Mamelodi..
Ni 24, siyo 34
Tp mazembe ni wa ngap?
Wangine sisi tunawaamini caf si hao wachambuzi
Sijaelewa chochote hapo kwann Hawa wavune point 10 yanga simba je yeye anavuna ngapi sasa
Mkubwa nakupa maua yako. Uko vizuri sana kwenye takwimu za soka.
Natamani mamlaka za michezo ziweke zawadi kwa wachambuzi bora japo hata kwa kuweka kaushindani fulani hii itasaidia kupata wachambuzi bora na sio bora wachambuzi.
Yan uchambuzi wa mbwaduke gafla tu wanayanga wamezidi kumpenda na makolo wamemind 😂
Duh!
Hiyo imeenda! Sisi ni wa 5.
Dah!
Tuombe Mungu jmos tushinde
Mpaka Yanga itakaposhinda J'mosi Mkuu!
asante sana unafanya kazi kubwa kujuza tusiyoyajua🙏
Broo unajua unajuaa inatakiw uwepo pale sky sport umsaidie kina owen
Ni jambo jema kwa mafanikio hayo.
Hersi kaona hii kwel
Naona Makolo wanaumia sana kuona Yanga kumpiku Makolokolo fc ndo maana mumefungiwa panya rod nyie
Pira calculator ndo litakaloamua
Fadlu Davis tena kwenye yanga
Duh😂 Kumradhi...slip of tongue!
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🔰🔰🔰🔰🔰
39 pts au 49?
Morocco pia ana wydad na RSBerkane
Hakika!
Punguza urefu wa jina la TV yako,iitwe MBWADUKE TV
Simba akivuka kwenda nusu ataongeza points ngp wakuu.....!!?
Itakuwa na pointi 43.
34+15= 49 Yanga itakuwa ya 3
Mbona Simba ilipoipiku Yanga HAMKUTUAMBIA
Yanga haijawahi kuizidi simba kwenye viwango vya CAF
😂😂😂😂😂😂
Je Morocco wdyd na rsbarekane wapo nchi gani mkuu kama ni nchi3 tu?
Ni nchi 4 Mkuu ikiwemo Morocco na ndiyo maana hapo juu tumefafanua. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
Tp mazembe umewasahau?
Hawamo Top 10
Mwalimu umekosea hesabu 34+15=49
Kwaiyo baada ya game ya mwisho je caf watapost rank za club
WEWE UJIONA AMEKOSEA HESABU CHUKUA CALUKULETA WW TUPE HEBABU YAKOOO AU HESABU YENU SIMBA
Simba hap nd tunampiga had mamelod so mchezo ....53 unyma san uo
Mungu we muweza yanga wachapwe Benjamin mkapa ata sale watowe
Duh😂
Mzeee wa data sio porojo unachambua kwa data kbs hta sie wabishi ambao n mashabiki inafk sehem tunaelimika na kuwa wana soka hta matokeo tunakuw tunayapokea kimchezo
Ikimaliza nafasi ya kwanza kwenye kundi Simba haipati point?
Siku zote makundi, wa 1 na wa 2 pointi ni sawa. Hivyo Simba na Constantine tayari hapo zimejumlishwa pointi zao baada ya kuwa na uhakika nafasi mbili za juu.
@MbwadukeStats 🙏, Shukurani sana Mbwaduke kwa Ufafanuzi, Mungu Ibariki Simba ifike fainali irudi na kikombe Mungu Ibariki Tanzania
Mbona hesabu sio
Wakati wenzenu tunatafuta calculator nyinyi mlikuwa mnapiga domo
Usitumie muda mwingi baba bando linatembea na ni lazima tukutazame mchambuzi wetu
Walitucheka sana Sasa wamkipata
Yanga kuingia robo finally Mara mbili Tatar ya tano
Mpira calculation kk
Wengine wameingia robo fainali mara sita bado ni ya nane
Vp kuhusu tp mazembe
Mbona mazembe siwaoni hapo, kwani ipo nafasi ya ngapi
Surely
Usi tusumbue na ww kamtafute MBWADUKE WA CONGO ATAKUJIBU MAMBO YA MAZEMBE
Tunamuomba Mungu hatusaidie tuwashushe hao makoro
Mtashinda njaa jumamosi, kama mnaomba Mungu mshinde ili simba ishuke hapo umefeli, utashangaa mtakavyo zibuliwa
Hahah ngoja watoke waache kamdomo
Hao makolo mbna watapata tabu sana
Kocha Fadlu je??
Yanga itakuwa na Points 49 au 39 ??????
Tunawaombea wafeli ili tubaki kuwa juu ni hiyo ndo dua yetu wanasimba
Duh😂
Dua mbaya iyoo,, kumbuka dua la kuku alimpati mwewe
Bona berkana hujaiweka ?
Ndio hiyo no. 8 RS BERKANE
Ipo No.8
Acha uongo ww
Rudia Hesabu Yänga wataishia. Nafasi ya 8
Kwa hesabu za babu yako hesabu za ki mbu mbu mbu. Mbwaduke ni mtaalam anakupa Fact kenge we acha ubishi mavi
@Kabeya410 Bange Mbaya Uto Nani Kawaroga Hahahahah
Hujui kitu wewe Dunduka kaa kimya!!
Ww una akil kilaza ww
@JumaSalum-fd9ps Wewe Mkia fc utaumia na utanuna sana....dunduka mmoja wewe!
RAMA HAWA MAKOLO UMEWASANUA WATAJARIBU KUCHEZA GAME YA WANANCHI
Duh!
Tulisema swala la muda tu
Ndo tutajua timu gani kubwa , tukutane januari 18 2025
Mbona 34+15 ni 49???
huo ni mtazamo wako Yanga ni ngumu kufunga usm ulger
Unaumia ukiwa wapi?😅😅
Ni MC Alger...siyo USM Alger.
Uko kote tunapita nafsi yetu moko tunakuja
Kuna timu umesahau hapo Agost de Luanda... Pia kanuni zimebadirika Simba haitashuka
Duh! Hizo ranks hazitakuwa za CAF Mkuu!
Kolo wwe😅😅😅😅
Sio point 15, nahisi alimaanisha point 5, 34+5=39, haziwezi zikaongezeka 15
@jumaiddy441 Bro. Kama utafanikiwa kusikiliza vizuri, utasikia Mzee wa Data amefafanua: kuwa hizo pointi 34 ni za sasa Yanga ikiwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao la A. Ikiingia Robo hiyo 34 haihusiki bali unachukua ilizoingia nazo msimu huu wa 2024/2025 ambazo ni pointi 24 kisha unaongeza 15 points. Msisitizo, SIKILIZA vizuri Mkuu!
Subili tushinde watatukoma
At 34+15 ni 39 😂😂😂😂😂 ila Jaman hisabati
@jumaiddy441 Bro. Kama utafanikiwa kusikiliza vizuri, utasikia Mzee wa Data amefafanua: kuwa hizo pointi 34 ni za sasa Yanga ikiwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao la A. Ikiingia Robo hiyo 34 haihusiki bali unachukua ilizoingia nazo msimu huu wa 2024/2025 ambazo ni pointi 24 kisha unaongeza 15 points. Msisitizo, SIKILIZA vizuri Mkuu!
Achana nae kilaza huyu @@MbwadukeStats
Huna akili
Yanga itakuwa 49 au 39????
Itakuwa na 39
Makolo hamtqamini macho yenu
Sasa nyie makolo mbona makasiriko sasa wacha mchambuzi achambuwe acheni wivu huo makolo
Jumlisha vzr itakuwa na 49
Dogo sikia vizuri. Msimu unaanza yanga Ana points 24 sio 34. Hizo 34 mpaka wanazo kwenye msimamo. So utaamua 34 ongeza 5. Au 24 ongeza 3mara 5
Sikiliza vizuri Mkuu. I hope utaelewa kuwa kwenye kujumlisa hapo hazihusiki pointi 34 bali pointi 24 ambazo Yanga iliingia nazo.
Hizo hesabu zako ndg nashaka na uchambuzi huo 34+15 = 39 na sio 49 au unachozungumza ni tofauti na maandiko.
@jumaiddy441 Bro. Kama utafanikiwa kusikiliza vizuri, utasikia Mzee wa Data amefafanua: kuwa hizo pointi 34 ni za sasa Yanga ikiwa ya 3 kwenye msimamo wa kundi lao la A. Ikiingia Robo hiyo 34 haihusiki bali unachukua ilizoingia nazo msimu huu wa 2024/2025 ambazo ni pointi 24 kisha unaongeza 15 points. Msisitizo, SIKILIZA vizuri Mkuu!
Hujui soma
Mbn humzungumzii pyramid
Pyramid ipo nje ya Top 10 kwa sasa na Yanga ikishinda Jumamosi yenyewe haiwezi kuwa juu ya Yanga. Bali baada ya hapo inawezekana na hasa ikiwa Yanga itakwama, Pyramids ikasonga mbele!