Enzi hizo nakumbuka saida karoli alikuwa anakuja shinyanga ukumbi wa nssf Sasa gari ya matangazo ilikuwa inapita yaani walikuwa wanapiga PA sasa niliifata gari ilipokuwa inaenda na matokeo yake nikarud usiki nyumbani,,, picha likaanzia hapo kumbe walikuwa wamenitafuta sana ko nilipigwa na sitasahau jad leo
AFANDE MWINGINE ATUMA GENGE LA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE th-cam.com/video/TfoMGMw13zU/w-d-xo.html WAKATI AFANDE ALIYETUMA VIJANA 4 KUMBAKA BINT BINT WA YOMBO AKIFIKISHWA MAHAKAMANI. AFANDE MWINGINE HUYU HAPA ATUMA WAHUNI KUMAWITI KIJANA ALIYEDHANI ANATEMBEA NA MCHEPUKO WAKE. KWA BAHATI MBAYA KIJANA MWENYEWE NI MTOTO WAKE WA KUMZAA, TAYARI WAHUNI WALISHAMPAKA MAFUTA SEHEMU ZAKE ILI WAANZE KUMFANYIA UNYAMA.. BAGAMOYO. Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
Ninkwenda mno saida notuwa eraha omukama akwebembele bamnyitire karungi omwana nambaza yatematema nkebilibwa wapeee raha wahaya wooote from bukoba Tanzania god have a power and alot bless
nilikuwa Standard One miaka hiyo,,, home ni Karagwe, na Saida ni jirani yangu wa hapo Bukoba, na Saida ndiye msanii wa kikabila wa Karne hii kwa Kagera na Tanzania kwa ujumla, hata East Africa, kama unabisha njoo na point konk, kama unasapoti, gonga like hapo chini,,, much love Mama Saida,,, nukuu maneno yangu, leo Tarehe 16.12.2020, merry x-mass
i remember this songs way back when i was a young kid playing these grass roots football tournaments,the organisers would play such kind of songs when the game gets on its peek.Wau...!!!!!it was owesome
Kitamboo sana aiseeh. Hizi Nyimbo ndo zilitishaga enzi hizo Kila sherehe lazima zipigwe, namkumbuka mamangu akicheza huu wimbo jaman Hadi raha Yan duh. Saida Ubarikiwe
Bt she was treated well when she visited Hoima and masindi,, even though she turned up akigumba masindi taxi. Her profiling didn't match well with what ppl expected from her, bt you have us hit after hit. Iwas fckn young bt you had big audience in western Uganda and Rwanda.
Naisi ilikua mwaka 2002 mimi niko la lwanza kama sikoseii kipindi hicho chamilion kutoma uganda japo nilikuaga najua ni mta zania mana alivumaga sana hapa tanzania na ule wimbo wake wa jamila analia alafu akawepo mista nice nae na wimno wake wa kikulacho tulikua lunazizikilizaga hizo na za kikongo ndo zililikua zinatamba sana mimi nilikua ninamiaka 9 niko tunduma mpalani na sumbawanga atariiii
Who is still enjoying this in 2024❤
Mie
Here, I rocked this back in 2001, in Uganda.
2024 bado natazama hizi ngoma
Enzi hizo nakumbuka saida karoli alikuwa anakuja shinyanga ukumbi wa nssf Sasa gari ya matangazo ilikuwa inapita yaani walikuwa wanapiga PA sasa niliifata gari ilipokuwa inaenda na matokeo yake nikarud usiki nyumbani,,, picha likaanzia hapo kumbe walikuwa wamenitafuta sana ko nilipigwa na sitasahau jad leo
😂😂
Pole yako
AFANDE MWINGINE ATUMA GENGE LA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE
th-cam.com/video/TfoMGMw13zU/w-d-xo.html
WAKATI AFANDE ALIYETUMA VIJANA 4 KUMBAKA BINT BINT WA YOMBO AKIFIKISHWA MAHAKAMANI.
AFANDE MWINGINE HUYU HAPA ATUMA WAHUNI KUMAWITI KIJANA ALIYEDHANI ANATEMBEA NA MCHEPUKO WAKE.
KWA BAHATI MBAYA KIJANA MWENYEWE NI MTOTO WAKE WA KUMZAA, TAYARI WAHUNI WALISHAMPAKA MAFUTA SEHEMU ZAKE ILI WAANZE KUMFANYIA UNYAMA..
BAGAMOYO.
Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa.
Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST.
Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili.
Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
😂😂😂😂
Pole sana 😅
😮😅
Ninkwenda mno saida notuwa eraha omukama akwebembele bamnyitire karungi omwana nambaza yatematema nkebilibwa wapeee raha wahaya wooote from bukoba Tanzania god have a power and alot bless
I remember my mum came back from her vacation in Zanzibar and bought this album and I loved this song. Lovely memories😊💃🏾
Naipenda kabila yngu
Saida huu wimbo ULIUA moj Kwa moja
Saida really killed it in this album
2023 still naskliza hii kitu
I don't understand the language but it's still a hit in my ears,2022
I'm a mutooro by tribe from Uganda.. we love Tanzania
I was hearing this song wen I was a little kid with my parents but I didn't know it's sweet this way... Big up saidi karole ❤️❤️
Nilichezaga hiii ngoma watu ndowakanijua kua m mhaya😁😁😁mwanzo hawakunijua
Legend Saida Karoli , am watching from kenya
nilikuwa Standard One miaka hiyo,,, home ni Karagwe, na Saida ni jirani yangu wa hapo Bukoba, na Saida ndiye msanii wa kikabila wa Karne hii kwa Kagera na Tanzania kwa ujumla, hata East Africa, kama unabisha njoo na point konk, kama unasapoti, gonga like hapo chini,,, much love Mama Saida,,, nukuu maneno yangu, leo Tarehe 16.12.2020, merry x-mass
Mama Saida ni muzima mpaka leo? Iyi nyimbo inanikumbusha usujaa wangu.
Otatubaiya Karagwe na Bukoba wapi na wapi?😃😃😃
These songs where part of my childhood even though didn't understand a thing love from Uganda
This song take me back in my primary level haha long leave saida
Nataka nipajue kwa saida masikani Nina tunu yake,,,,anaepajua tafadhali nijuze ama pia unielekeze😊,,,,
Wow I was told this song taught me to speak because I would keep singing ndombolo Everytime
I remember enjoying this song in my 90s now I am 20 but still enjoying
i remember this songs way back when i was a young kid playing these grass roots football tournaments,the organisers would play such kind of songs when the game gets on its peek.Wau...!!!!!it was owesome
Kitamboo sana aiseeh. Hizi Nyimbo ndo zilitishaga enzi hizo Kila sherehe lazima zipigwe, namkumbuka mamangu akicheza huu wimbo jaman Hadi raha Yan duh. Saida Ubarikiwe
This is so fantastic and I have a big smile on my face ...ann
thank u, ann
Saida ulitishaga Sana enzi izo kwenye kumbi za video tunatoa tsh50
Hat Mimi nakumbuka mbali sana
Enzi izo saida wanikumbusha mbali love you
I love this so much❤ I will always listen to this until I die😊
Daah nmemkumbka my dady Sanaa aliupenda huu wimbo sanaa R. I. P dady
Pole mwaya😢
Asante kipenz @@aikamassawe6073
Wimbo unaishii ndani yangu 🔥🔥🔥🔥
Ni kweli na tunakumbuka ndugu zetu tuliowapenda
Takes me back in existence of black & white generation TVS
I remember Listening to this song 14 years ago and thought of it today in 2023 on 27th july.Old is still laka wow legends nelt it lol
Dah!hot song! Mama aliupenda Sana huu wimbo! R.I.P Mama
For real we need a new hit cause you're sound is so sweet
My mom,I learnt these songs when I was 10 and anytime I go home I play all her past favourites because I love how she lives then
Much love karole from me and Uganda at large ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Napenda kusikiliza nyimbo za home every time
memories to remember when i was from south
africa back to uganda in 2024
Life moves so fast ❤
Wow i was young star growing up!! This song made me work extra hard in kabwe...2024 Still a Hit!!
Mwaka 2005 niliingiaga ukumbin kwa senti 5 ya ki Tanzania, duu
Ndombolo ya solo🔥🔥🔥🔥🔥
This song still hits me differently when I hear it, thanks saida karoli 2023.
I think I first heard this song in 1999, please correct me if I'm wrong but I was in primary 4 and I remember dancing to it cz I loved it right away.
This song was recorded around the year 2003
We need more hit from you saidi karoli in 2020
She died
@@Doolferatu still alive and healthy
Aiseeee jamanii Saida ananikumbusha 2002 nyie acheni tu jamaaaaniii🎺🎺🎺🎺🎺🍾🍾🍾🎉🎂🎂🥂🥂🎶🎶🎶
my dad liked/likes this song i listened to it back 2003 like u saida
I remember we even nicknamed one of our sister wankyekekya though else still don’t know the meaning 😂😂😂😂. Where did this kind of music go? 🥹
We liked u in Uganda but our promoters dint make u happy I was young but I remember
Bt she was treated well when she visited Hoima and masindi,, even though she turned up akigumba masindi taxi. Her profiling didn't match well with what ppl expected from her, bt you have us hit after hit. Iwas fckn young bt you had big audience in western Uganda and Rwanda.
Akatanda ndakala makadogo akaramba ndajunga 😁😁😁
Naisi ilikua mwaka 2002 mimi niko la lwanza kama sikoseii kipindi hicho chamilion kutoma uganda japo nilikuaga najua ni mta zania mana alivumaga sana hapa tanzania na ule wimbo wake wa jamila analia alafu akawepo mista nice nae na wimno wake wa kikulacho tulikua lunazizikilizaga hizo na za kikongo ndo zililikua zinatamba sana mimi nilikua ninamiaka 9 niko tunduma mpalani na sumbawanga atariiii
Zamani nikiwa mdogo sijielewi sana ila nlikuwa namkubari saida karoli ....long lives mom saida ilov u
Memories back in time
I Know good ole days!! wish i could go back :(
@@danieln.9135 me too wish
ndyanabo....most the words,we have in Runyankole...
nkebitakuri😂
2024 we dey here😍🔥 #EastLegend
Make me miss my mom saida
❤❤❤❤ata na mini na taza izo music
Live from Uganda on 18th June 2020
my favorite song since 2008
Congo music inspiration
Napenda kabila langu
13/11/2024,still enjoying this song😍😎
Nakimbuka mbaliii
❤❤❤❤❤❤ zilizo pendwa along years ago
When music was music
I like Saida music
Bamuyutile kalungi, omwana nambanda❤❤❤
Who is here after the viral wedding video 😹😹
I like this song
me too darry
kazi nzuli sana kabisa
Missing you in Uganda
African Music is so sweet
Much love 2023😘✅
Music.. 💕❤️
Sasa mi nashindwa kuelewa hawa wanokoment kiingereza wanelewa kilichoongelewa?
Iyi nyimbo ilikua kaali
Pumzika kwa amani ta Rutalala
Ninyeta rwebangila🤣🤣🤣🤣buhaya root
The language is so close to Runyankole
bom son tou ligado apartir d pemba moçambique
❤❤❤❤❤❤❤❤ song
Wakora dada
This song reminds me of the late Marvin
Who is here 2021 Feb 😂💃❤
Am hea👆
@@oliviaangellah8740 am here
J a dor😍😍😍
who is here in 2021?
Tukumbushane
Like kama bado unazikubali hizi ngoma
very beautiful...
Memories. I got
❤❤
❤
2024❤❤❤❤❤
Habari yako brother niuzie hii account yako
🤸🤸🤸🤸
Where is Maria Salome?
Which language is she actually singing?
ndomboro ya soro :-)
Morning Tanzania
Ambandizo naulila mbolo ya solo anga amatu gange gafile
Still. Enjoying
Any one who can tell me the meaning of this song
Hanano pamoja