Ufahamu mfumo wa ulinzi wa anga wa Pantsir wa Urusi uliokamatwa na Waasi wa Syria

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 117

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 14 วันที่ผ่านมา +4

    Hii silaha serikali inahaja ya kuinunua muhimu sanaa 🎉🎉

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula 14 วันที่ผ่านมา +1

      Serikali hii hii ya kwetu au 😂😂

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 15 วันที่ผ่านมา +2

    Big Up ally Masudi kwa kutuletea hii makala

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kawaida! Kwenye Vita Mbona Mrusi aliweka Mifumo ya Natu hadi Maoneshoni

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 15 วันที่ผ่านมา +6

    Hizi vita hizi zina nizalilisha mm team Urusi 😢😢😢😢

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 15 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa, kukiri kwa Ukraine kushindwa na kukubali yaishe ni kuhizalilisha Urusi. 😂😂😂

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@lukafbbwebelof3874achana na Huyu kichaaaa

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂​@@lukafbbwebelof3874

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 15 วันที่ผ่านมา +3

    KWAIYO UWO MFUMO UKICHUKULIW NDIO URUSSI KASHINDWA VITA...!!!! ASAIV URUSSI KASHA WAUWA WAASI KALIBIA WOTE....AKISHILIKIAN NA IRAN NA IRAQ.....

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 15 วันที่ผ่านมา +10

    Hii habari SMA utaweza kumpa presha kali sana yeye hupenda positive tu kwa urusi, Ila hongera sana Masubi kwa kuwa balance wa habari na uchambuzi makini na Neutral.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 15 วันที่ผ่านมา +1

    NDIO MANA NA.RESPETING SANA CHANAL HII YETU KWA KUTUFAFANULIA MENGI🙏✊️💪

  • @JumaNdekeja
    @JumaNdekeja 15 วันที่ผ่านมา +6

    kitukuu wa Isack Newton Ally Masubi....unatoa elimu sana ya vitu km hivi tunatumia MB zetu kwa haki no basing to any side

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 15 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa mwana anatema madini balaaa

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 15 วันที่ผ่านมา

      Pamoja mzee wangu

  • @mussaisihaka2374
    @mussaisihaka2374 15 วันที่ผ่านมา +4

    Asante kwa elimu mungu akubariki kaka

    • @evansogutu4167
      @evansogutu4167 15 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu with capital M

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsante sana

  • @maulidrehani
    @maulidrehani 15 วันที่ผ่านมา +6

    Nikiwa kama mrusi mweusi sijapenda aisee😢

    • @DennisMkumbala
      @DennisMkumbala 15 วันที่ผ่านมา

      😂

    • @VictorBijura
      @VictorBijura 15 วันที่ผ่านมา

      Mrusi wa Tanzania sio!!!. Aha aha aha!,kwakweli tupo wengi kumbee. Salaamu yetu tafadhari
      Uraah!!......, ........, .........,...........

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 15 วันที่ผ่านมา +3

    Good News

  • @19ddr
    @19ddr 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hao waasi wanafadhiliwa na marekani na Israel hilo lipo wazi

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂Yani hadi wanajeshiwa urusi walitoroka wakaacha mufumohuu!!!!!!😂😂😂😂😂😂

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 15 วันที่ผ่านมา +4

    Wataunyakua hawataweza kuruhusu mifumo yao ichunguzwe na mataifa ya magharibi na Marekani

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 15 วันที่ผ่านมา

      @@braystuskibassa3842 chapu huo unapelekwa kwenye kambi ya kijeshi ya marekani

  • @Viva01Bigs-r7f
    @Viva01Bigs-r7f 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mrusi siyo Mpumbavu kiasi iko, mtego Uwo Wajichanganye kidogo waone moto wa Mr Putin Wamuulize Bi hasuri wetu Beiden

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 15 วันที่ผ่านมา +4

    Sema Warusi bhna wako vzr sana Sirya na wenyewe waji simamie pia wasi subili Urusi au Iran wawa saidie.umetisha masubi ila bado nasubilia ile story ya Kambi ya kijeshi ya Urusi iliyopo kwenye barafu.

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 15 วันที่ผ่านมา +3

      Kusaidiwa islael fresh au vipi

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@daslamonline4665nimesema waji simamie kwanza huku waki subilia msaada

  • @MasudHamad-bb2ve
    @MasudHamad-bb2ve 12 วันที่ผ่านมา

    Kukimbia kweny eneo la vita sio hoj kumbuk ni shambulio la ghafla kumbuk hat Tanzania iliwah kuingiliw na alshabab kutokea msumbij lkn kilitokea nn?

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 14 วันที่ผ่านมา

    Alafuhapo kunawashenzi badowatasema eti urusi wanawezapigana na amerika😅😅😅😅😅😅

    • @immaomarwa5122
      @immaomarwa5122 13 วันที่ผ่านมา

      America ni nani hadi umsifie

  • @AyoubHajj
    @AyoubHajj 15 วันที่ผ่านมา

    Asant
    ilaa kaka naomba niulize
    Hii mifumo imetekwa migapi huko Syria

  • @mchopacalvin2986
    @mchopacalvin2986 15 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa nakubali kuliko wrnzake

  • @jimmykurya8554
    @jimmykurya8554 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu mrusi mnamsifia ujinga ambao hata yeye mwenyewe hana uwezo huo
    ,hizo pansir
    Ilipelekwa siria kitambo ,
    Pamoja na mfumo thabiti wa
    S_400) s-500)
    Lakini Israel inavinjari kwenye anga la siria na kufanya watakavyo,,
    Waongo nyie wote

  • @EvaristMihingo
    @EvaristMihingo 15 วันที่ผ่านมา

    Wabeba wapi kisha lisasi watato wa wap

  • @HakizimanaFiston
    @HakizimanaFiston 4 วันที่ผ่านมา

    Yani kaka mwanahabari unavyo elezeya nisawa ila
    Wewe vita nambinu zavita huzijuwi ! Ivi urusi inaweza ikaacha vifa ivyo kirahisi tuu ao hawawezi kuripuwa hivyo vifaa subir utanambiya wanacho kifanya wanakijuwa hiyo ni vita wangelitaka wangelipuwa ishu hiyo nindogo sana

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 14 วันที่ผ่านมา

    Ndio mujuwe , Urusi wanaporomokatu polepole, nabado atakiona moto.

  • @karimhamisi4627
    @karimhamisi4627 13 วันที่ผ่านมา

    Ungetufafanulia ni pantsir ipi pantsir S1 pansir S2 pansir SM

  • @josephrichard241
    @josephrichard241 15 วันที่ผ่านมา

    huo mfumo ni wa zamani sana ila ni moja kati ya mfumo hatari sana kuwahi tengenezwa nchini urusi

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 15 วันที่ผ่านมา

    Putin baba lao❤❤🌹🌹
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥💪🇰🇪🇰🇪

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c 15 วันที่ผ่านมา

    Naona nchi za magharibi zikiutafiti tu kwasababu makombora yanayotumiwa katika air defense ni tofauti katika kila mfumo

  • @HaniaAbdoul
    @HaniaAbdoul 15 วันที่ผ่านมา

    Huo ni mtego sikia kinachokuja😂

  • @dennisIvykip
    @dennisIvykip 15 วันที่ผ่านมา +2

    Allah Akbar vs Allah Akbar

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @AlyadamMazruy
      @AlyadamMazruy 15 วันที่ผ่านมา

      Laanatullah alsyhi​@@BenjaNetanyahu

  • @mustafamasudi8093
    @mustafamasudi8093 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu nae mchambuzi😅😅😅😅😅

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 15 วันที่ผ่านมา +1

      Jina linatosha 😅😅😅😅 madras wamesha waalibu watoto wetu

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 15 วันที่ผ่านมา

    Mbona ilizulimiwa yale mabillion ya hela huko benk kuu nawakakausha hyo Kwa Russia ni hella ya chai tu wamepoteza vngapi kwn

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 15 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 15 วันที่ผ่านมา

    Mimi huwa na shangaa Iranian huwa inafanya nini Middle East 😂 maana kila kitu yenyew huwa inashangaa kila kitu mpaka sirya inavamiwa yeye anashtuka

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona urusi ni inchi ambayo ina mfumo utufahuti ilikuaje wao kuchukua

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 15 วันที่ผ่านมา +1

      Vita ni akili ukizubaa unaotewatu

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 15 วันที่ผ่านมา

      Vita ni akili, jiulize kwanini marekani alikimbia Vietnam, na Vietnam hawakua na siraha za kutisha, bali walitia akili vizuri.

    • @VictorBijura
      @VictorBijura 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@BenjaNetanyahumarekani hanaga mbinu za kivita,Bali yeye uwa ni kutishia tuu watu na aliona wamemkomalia anachochea vurugu kama unavoona hapo Syria.. angalia hata pale Afghanistan palivomshinda HADI akapakimbia

  • @JustusNteghay
    @JustusNteghay 15 วันที่ผ่านมา +4

    Urusi wa kawaida sana.Kelele tu nyingi.Wenye nguvu hawana vitisho.

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 15 วันที่ผ่านมา +2

      Wakawaida sana wewe umeenda ukapigane wabongo kwa ujuaji 😂😂😂😂

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 15 วันที่ผ่านมา +4

      Hahaha mtetea mashoga utamjua tu
      Watoto wa 2000 kakojoe ulale

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 15 วันที่ผ่านมา

      Umetisha mzee,,mi niliwahi kung'atwa na umbwa asie bweka,, umbwa wasio na kelele ni wabaya sana

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 15 วันที่ผ่านมา +1

      Ona shoga jingine hil

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 15 วันที่ผ่านมา

      Israel yenyewe imechapika sana tu kwa wanamgambo wa hamas na hesibolla 😂😂😂😂Urusi mziki mwingine NATO na marekani wanamwelewa mrusi vizuri sana acha kelele kojoa ulale.​@@BenjaNetanyahu

  • @imaniinayoishi728
    @imaniinayoishi728 15 วันที่ผ่านมา

    Pantsir s1 na s2

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 15 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana waasi kwa kuuteka huu mfumo wa pantsir.

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 15 วันที่ผ่านมา +2

      Tuko pamoja boss maoni Yako nisawa na yakwangu JAAH BLESS USA JAAH BLESS ISRAILI

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 15 วันที่ผ่านมา +1

      @OnesmoEphrata poa

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@OnesmoEphrata😅😅😅😅😅

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 15 วันที่ผ่านมา

      Jiandaeni kujinyonga sasa maana kichapo kibaya kinakuja, tena safari hii kichapo kitakwenda hadi makao makuu kuwaondoa kabisa.

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 15 วันที่ผ่านมา

      ​@OnesmoEphrata
      Jiandaeni kujinyonga sasa maana kichapo kibaya kinakuja tena safari hii kichapo kitakwenda hadi makao makuu kuwaondoa kabisa

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 14 วันที่ผ่านมา +1

    Tarifa ya kupewa na mangharib, propaganda za mangaribi,juzi ukipigia debe iron dom israael umefeli.

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 15 วันที่ผ่านมา +1

    Putini dadatu kubwalao Netanyahu ,asiye waikushndwa kilasehem yy ni mshndi tu

    • @mkarawizemtasher4897
      @mkarawizemtasher4897 15 วันที่ผ่านมา +1

      Israel mzima ni Sawa na kijiji unachoishi wewe, kwahiyo Russia kuikompea na Israel ktk mambo ya kivita bado sana, toka mavumbini Kijana.

    • @KisagasiLuyangi
      @KisagasiLuyangi 15 วันที่ผ่านมา

      Nguvu ya neta paka ipo marekani, yule ni kama wewe tu unaemuabudu marekani

    • @DAVIDKISWAGA
      @DAVIDKISWAGA 15 วันที่ผ่านมา

      Ulaya na america wote Wana satellite sawa na hiyo nchi kama kijiji. Na kama ni kijiji basi ni hatareee sana ogopa vijiji kama hivyo ni vyawachache ni pasua kichwa aisee. Yaani kitu yahudi si mchezo wamembwa kwa kwa ajili ya mambo magumu tu na ujue hakuna taifa gumu kuliongoza kama Israel hapa duniani kama umewahi kusoma history ya biblia utagundua nisemalo na huwa hawachelewi wala hawawahi.

  • @mustafamasudi8093
    @mustafamasudi8093 15 วันที่ผ่านมา

    2:04 2:06 2:09 2:12 2:12 2:12 2:12 2:15 2:15 2:16 2:16 2:18 2:19 2:19 2:29 2:29

  • @mwenebatuetabo5515
    @mwenebatuetabo5515 15 วันที่ผ่านมา

    Uhongo mtupu

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa wamemchokoza Russia

    • @MelabiMpongo
      @MelabiMpongo 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂
      Urusiiiiii

  • @OficialKapambala-vq4xp
    @OficialKapambala-vq4xp 15 วันที่ผ่านมา

    مليشرات

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 15 วันที่ผ่านมา +1

    NATAKA NIONE MAANDAMANO YA WAISLAM WAKIPINGA MAUAJI YA SYRIA 😂😂 FREE SYRIA

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 15 วันที่ผ่านมา

      Syria kule waarabu ni kama sisi waafrica tu kwa upumbavu wa kugombanishwa,ona kongo,somalia na libya.Siria ipo hivi kule kuna waislam madhebu ya sunni,kuna washia.Nchi ya saudia Arabia asilimia kubwa waislam wake ni wasunni na Iran asilimia 95 kama si 99% ni washia.Sasa bashar Asaad anaungwa mkono na iran kwa sababu yeye ana ukaribu na ushia japo siyo mshia.Urusimshirika wake mkubwa mashariki ya kati ni siria ana kambi 2 moja ipo mji wa latakia na nyengine Tartus.Siria ni sehemu muhimu sana kwa maslahi ya urusi toka enzi za ussr.Hao wanaoitwa waasi ni wasunni wanapata msaada kutoka kwa Marekani na nchi za ulaya na wale wasunni urusi na iran.Mwisho wa yote wanapigana wenyewe kwa wenyewe wenzao wanachukua mali zao.Kama hawataamka kama sisi waafrica watakua wapumbavu mpaka dunia inaisha.

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 15 วันที่ผ่านมา

    Wataurudisha tu wenyewe. Huo

  • @rashidimatandayaabdalla4818
    @rashidimatandayaabdalla4818 15 วันที่ผ่านมา

    3

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 15 วันที่ผ่านมา

    mfumo wa kizamani old fashion just propaganda

  • @AizakiPiusi
    @AizakiPiusi 15 วันที่ผ่านมา

    B

  • @jonasmrema8550
    @jonasmrema8550 15 วันที่ผ่านมา +3

    Waarabu weusi watatokwa povu hapa

    • @modekaijames
      @modekaijames 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @felisteronesmo3091
      @felisteronesmo3091 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂. Wapumzishwe jamani

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 15 วันที่ผ่านมา

      Huo ni mfumo wa ulinzi naona unawaota waarabu huwa wanakutibua kichwa? Meza panadoli​@@modekaijames

    • @habarinamichezo6427
      @habarinamichezo6427 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂Yani hadi wanajeshiwa urusi walitoroka wakaacha mufumohuu!!!!!!😂😂😂😂😂😂