Mama wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu akithibitisha aliyosema Beatrice, adai tatizo ni Joan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 3 วันที่ผ่านมา +19

    Tunawakosea sana mama zetu lkn Wana upendo wa kwel na cc Allah awape afya njema mama zetu pia atupe rizki tuwatuze mama zetu

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 3 วันที่ผ่านมา +37

    Joani mungu atamwadhibu ,ni jini tena jini kubwa ,wazazi wa joani chukueni kishetani chenu

  • @MaulidWakitenge
    @MaulidWakitenge 3 วันที่ผ่านมา +31

    Daaa,jaman Martha sikutegemea kama itakuwahivyo kwako kwanza nyimbo zako zilivyo na utukufu,duuu ninyakati za mwisho eemwenyezi mungu tusaidie

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo 3 วันที่ผ่านมา +2

      Hakika kabisa maana daha inasikitisha mno

  • @rehemayona2223
    @rehemayona2223 3 วันที่ผ่านมา +50

    Jamani hata mm sina pesa ila mama yangu hawezi kupauka ivi

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @lilianowti5477
    @lilianowti5477 3 วันที่ผ่านมา +13

    Ushoga huu ndiyo ya fanya kazi sasa,lakini tunalibomoa,kuharibilu,kuvunja na kung'oa nguvu za giza kwa jina la Yesu,radi ya moto la damu ya Yesu Kristo iyeyushe mipango ya Joan katika maisha ya Martha yasambaratishwe leo.

  • @aishaz1
    @aishaz1 3 วันที่ผ่านมา +14

    Pia mimi nilisema kama mama yupo yeye ndio sauti ya mwisho asante mama hadi wegine wanasema eti mama si mmoja mkowapi mliosema ivyo njooni uku sasa na mlikuwa mkisema saidia mama yako wacha kumuonea wivu marhar vikowapi sasa huu hapa ukweli usio pigika ❤mom

  • @MOREDI2024
    @MOREDI2024 3 วันที่ผ่านมา +23

    Hongereni wemu tv mme tobolea kwenye migogoro ya familia ya martha

    • @BethuelofficialTz
      @BethuelofficialTz 2 วันที่ผ่านมา

      Eti wamesema TV changa ,,😄

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 2 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@BethuelofficialTz😂😂😂kumbe na wewe umesikia

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 วันที่ผ่านมา +8

    From 🇧🇮 ndoa ya junsia moja iyo mungu aniepushe 😢😢nauyo ushetani

    • @ahmedyissa4777
      @ahmedyissa4777 วันที่ผ่านมา

      Nikweli kabisa mwanamke akishakua na tabia ya usagaji Akili zake zinawehuka anakua mwehu kabisa kwa maneno ya mama yake ni dhahir huyo joan kuna kitu anafanya na martha

  • @saadarashid8174
    @saadarashid8174 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mzazi haui siku zote m/mungu atustiri na atuhifadhi tuwapende wazazi wetu na atuzidishie iman sis na vizazi vyetu.

  • @hallykanze6693
    @hallykanze6693 3 วันที่ผ่านมา +19

    God will expose everything 🙏

    • @DoreenTesha-kk2kw
      @DoreenTesha-kk2kw 3 วันที่ผ่านมา +2

      Amina🙏

    • @hancylee5786
      @hancylee5786 3 วันที่ผ่านมา +4

      Changamoto ni kufanya mapemz ya jinsia moja kiasi kwamba anashindwa kumuacha huyo binti coz ataweka mambo yao ya aibu adharan so sad

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 3 วันที่ผ่านมา +15

    😢😢😢😢😢😢dah,,Martha Martha Martha Nakuita mala tatu hii Dunia hakuna km mama chini ya jua,endekeza Dunia hvyohvyo na hyo mume wako Joan,maana co Bure Wenda mnasagana

  • @ElizabethMakong-en3nq
    @ElizabethMakong-en3nq 3 วันที่ผ่านมา +4

    Aki nimelia juu ya hili jambo hakuna kitu kibaya kama kutenganisha watu wa familia moja mama amelia hio machozi lazima itakua rewarded na joan imefika mwisho ya yeye kua pigo kwa hii familia latika jina la yesu Amen 🙏

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 3 วันที่ผ่านมา +41

    Haya Sasa Abishe Tena Mama Kasema Ukweli Wote

    • @bakariomari24omar21
      @bakariomari24omar21 3 วันที่ผ่านมา +5

      Anaweza akabisha sababu kama nikweli wanasagana na huyo Joan basi KAZI ya ibilisi inanguvu na ataogopa Binti baadae asijeongea ukweli wakusagana

    • @Harryking001
      @Harryking001 3 วันที่ผ่านมา

      Weee ni mbwa sana...

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani alibisha au alikaa kimya?

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@NeemaSamson-ti8pcmwambie sababu ni kama hafatilizi kinachoendelea

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@NeemaSamson-ti8pcJoan si ndiye alikuwa anaongea kwa niaba ya Martha

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 2 วันที่ผ่านมา +4

    Duuh 😢😢😢😢😢😢 Nimejikuta tu nimelia , ila yule joan chini ya Jua litamfunza ,na kama kweli wanacheza hiyo michezo yao mbona balaa 😢😢😢😢😢

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 3 วันที่ผ่านมา +12

    Hao ni mme na mke wake ndomana lazima mme ndo a control kila kitu kipi kiingie kipi kitoke je ni kingi na kama ni kingi kipunguzwe😂 lakini wamesahau kama kna mama mwenye amezaa😢😢😢

  • @ernestgumha3186
    @ernestgumha3186 3 วันที่ผ่านมา +20

    Asa Kuna watu walienda juu sana kumtukana mdogo mtu bila kujua mumeona sasa

    • @chuchudorice8531
      @chuchudorice8531 2 วันที่ผ่านมา +1

      Imagn mpaka niliona wolper 😢😢

  • @Manswabu
    @Manswabu 3 วันที่ผ่านมา +12

    Jau sna hiiii like kwa mama mungu atamtia nguvu

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 วันที่ผ่านมา +11

    😢💔 masikini karogwa na huyo binti kamfunga 😢

  • @InnohubGroup
    @InnohubGroup วันที่ผ่านมา

    SnS big up for recognizing Wemu TV

  • @emmilemalewa4257
    @emmilemalewa4257 3 วันที่ผ่านมา +70

    Nina wasi wasi uenda kuna ndoa ya jinsia moja kati ya joan na Martha maana si kwa kuchanganyikiwa hivyo kiasi cha kupangiwa kila kitu na mtoto mdogo.

    • @Iam_meck
      @Iam_meck 3 วันที่ผ่านมา +11

      Unawaza kama mimi

    • @CharifaRachidi
      @CharifaRachidi 3 วันที่ผ่านมา +8

      Mbona kama Kweli

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 3 วันที่ผ่านมา +3

      😂😂 kwa hali hino livyo....🤔

    • @Stella-l9m9p
      @Stella-l9m9p 3 วันที่ผ่านมา +7

      Ni kweli Martha ni mke Joan mume

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 3 วันที่ผ่านมา +5

      Mbna liko wazi

  • @marthakashimba2188
    @marthakashimba2188 วันที่ผ่านมา +1

    Pole Sana mama angu muombe mungu atakusaidia joan nipepokubwa jaman atawauwa wote 😢😢😢😢 nokitu kinacho umiza Sana 😅 😅😅😅😅 😱😤🙏🙏🙏🙏

  • @FaridaShangala
    @FaridaShangala 3 วันที่ผ่านมา +4

    Kunasili nzito ktk martha na joan mungu kawaumbua munguingilia kati nahuyu mama kateseka, joan aibika ktk jina layesu tuna mtamani mama sie ww unamchezea mama martha laana itakutafuna mrudi mama ktk toba aachilie nauchngu umtoeke ucje kupa mathara kwajili yahuyo pepo mtu joan alie kuteka kiuchawi co kila mtu wakumweka karibu yako wengine nimaajenti wakuzim pewa macho yarohoni martha ktk jina layesu upone uone kama batruu mayo kipofu aliona nenda miguuni kwamama mama mama martha mama nimama misina namtamani maangu pumzika kwaamani nakupenda sana na baba maana mlinipenda mungu awape raha yamilele amina.

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 3 วันที่ผ่านมา +1

      Yes pengine Joan anasili kubwa san za Martha Ndio maana.anashindwa kuwa mkali juu ya huyo Joan 😢😢

    • @chuchudorice8531
      @chuchudorice8531 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@AnnaMelikionkweli

  • @benedictoralexander1611
    @benedictoralexander1611 3 วันที่ผ่านมา +6

    Inaonekana kashapigwa kitu huyo. Angalieni watu mnaowaleta kwenye maisha yenu. Watu wengi wanaoimba nyimbo za Mungu au kumtafuta Mungu huwa wanatafutwa na watu kupotezwa kwa nguvu za giza. Ni kazi ya shetani hii. Huyo hawezi okolewa kwa sasa kwa sababu kafungwa vibaya.

  • @youngchyna744
    @youngchyna744 3 วันที่ผ่านมา +6

    From mapenzi ya jinsia Moja hii kitu nilihisi afu Joan ni mwanaume

  • @AsiaShaban-zz4yr
    @AsiaShaban-zz4yr 3 วันที่ผ่านมา +7

    Siku za kiama hizi kila Siri zilizojificha zitafichuka huyu mama apate justice y mtoto wake jmn uchungu aujuaye mzazi hii ni Dunia jaman

  • @SulePonda
    @SulePonda 3 วันที่ผ่านมา +9

    Joan msagaji😊

    • @charlescosmas6730
      @charlescosmas6730 3 วันที่ผ่านมา

      Siyo Joan peke yake na Martha mwenyewe WOTE ni "mbwa"(KUMBUKUMBU LA TORATI 23:18; UFUNUO 22:15). NB: Mbwa wanaotajwa kwenye hayo Maandiko hapo juu SIYO dogs; ni mbwa wenye miguu MIWILI

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 3 วันที่ผ่านมา +6

    😢😢😢😢kumbe nikweri jamani naishiwa nguvu

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 3 วันที่ผ่านมา +7

    Ukute huyu mathar na anajiita mtoto wake wana pididy ana wanaishi kama mme na mke😢😢

  • @festocharles1855
    @festocharles1855 2 วันที่ผ่านมา +3

    Daaaaah katika vitu vinavyo niumaga nikuona chozi la mama

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 3 วันที่ผ่านมา +8

    Martha! Martha! Martha! Hakuna aliyekamilika! Sisi sote tumetenda dhambi, mrudie Mungu aliye hai.

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 3 วันที่ผ่านมา +1

      Tuzid kumuombea

    • @SulePonda
      @SulePonda 3 วันที่ผ่านมา +1

      Usagaji una balaa

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 3 วันที่ผ่านมา

      Huyo mume kwanini akukataa

  • @tulianyota7040
    @tulianyota7040 3 วันที่ผ่านมา +13

    Joan na Marta niwapezi wamefumaniwa Congo wakisagana

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 3 วันที่ผ่านมา

      Mh walifumaniwa.na nni

    • @FatumaJuma-f6s
      @FatumaJuma-f6s 3 วันที่ผ่านมา

      Weeeee tuambie vizur 😂

    • @MiriPeter
      @MiriPeter 2 วันที่ผ่านมา

      Duh

    • @philipomwazyunga4572
      @philipomwazyunga4572 2 วันที่ผ่านมา

      Ndio walifumaniwa wakafukuzwa..matha akajitetea wapo wengi kwenye industry ya mziki..by yule muhubii aliekuepo

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 2 วันที่ผ่านมา +2

    Baadhi ya waimbaji wa injili na manabii wapo kibiashara zaidi. Wanatumia jina la Mungu kama mtaji. Watu hawana uoga wala hofu!!! Hii dunia tunaelekea wapi! 😢

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq 3 วันที่ผ่านมา +5

    Halafu alijidai mama zao ni tofauti kila mtu anamama yake kiukweli mpambe ndo mwenye nguvu

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sns tumepata ukweli na uongo umejitenga, Mungu amsaidie Martha

  • @felistermsigala-ew5jy
    @felistermsigala-ew5jy 3 วันที่ผ่านมา

    Dadaangu Martha! Nakushauri kwa jina la Yesu shuka chini kamligie magoti mamaako umuombe msamaha ukae kwa amani,

  • @NayceMoshi
    @NayceMoshi 2 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani Nimejiskia kuumia sana. Mimi mama yangu nampenda sana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmh makubwa,

  • @kipongimathayo7027
    @kipongimathayo7027 3 วันที่ผ่านมา +2

    Inaumiza sanaa😢😢😢

  • @NelsonMaganya
    @NelsonMaganya 2 วันที่ผ่านมา

    Duuu jaman Mungu atusaidiye😭

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 วันที่ผ่านมา +2

    Uwiii 💔😭

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 3 วันที่ผ่านมา +6

    Watu wanao mlaumu betris mfunge midomo, ndio mjue iyo kesi ya familia aijaanza leo wala jana, ni lamda mrefu, ndio maana Mungu akaruhusu dunia ijue, ( akuna lolote linalofanyika pasipo mapenzi ya Mungu)

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 3 วันที่ผ่านมา +1

      Tena wengine ni mastar wa bongo movie na wakamrukia na kumtukana. Sasa wako wapi wamskie Mama. Bongo ni shida tu..

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@aaa64sa13wanachukulia umaaruf wao kuchapia mambo wasioyajua mtu mpk asema sio mama ake bdo mtu analaumu.

  • @HadzabeTribeHome
    @HadzabeTribeHome 3 วันที่ผ่านมา +3

    Uyoo watakuwa wanasagana rooh….😢

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa mustakabadhi huu ni kama anguko la martha limefika.Mungu wa mbinguni ampe second chance

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv วันที่ผ่านมา

    Joan na matha walifumwa Congo wakishiki mapenzi ya jinsia mojaa sema soo likazimwaa hii ni truee

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 3 วันที่ผ่านมา

    Watoto wananga mama anapayuka. Mnayo kuwa nawamama muwasaidiye wa mama zenu my mom rest in peace 😭😭😭😭 mko mnaimba nini sasa? Mnasimama mnatuimbiya kumbe nyinyi mashetani Huruma sana

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 3 วันที่ผ่านมา +2

    😢😢😢😢 mthn itakua kafanyia kitu sio bure

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa maneno aliyoandika Joan,inaonyesha kuwa huyu dada ni mfarakanishaji mkubwa 🙆🏾‍♂️

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 วันที่ผ่านมา +2

    Dah mtihan sana mtu unao uwezo unaachaje kumsaidia mama yako dah😢

  • @CarolinaFranciMushi
    @CarolinaFranciMushi 3 วันที่ผ่านมา +4

    Inaonekana huyó Joan ni mke wa Martha hapo kuna ndoa Za jinzia moja .

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 3 วันที่ผ่านมา

    Watoto wananga mama anapayuka. Mnayo kuwa nawamama bado muwasaidiye wa mama zenu my mom rest in peace 😭😭😭😭

  • @hopechidera
    @hopechidera 3 วันที่ผ่านมา +6

    Martha na Joan jana walitoa nyimbo mpya eti KUSHINDA LAZIMA,hapa ni swala la maombi ya deliverance kwa Martha...

  • @user-gc8jc1sh4z
    @user-gc8jc1sh4z 3 วันที่ผ่านมา +4

    Na ni kweli maana namwona mama anafanana na Beatrice kabisaa

  • @mwelaabedi9076
    @mwelaabedi9076 3 วันที่ผ่านมา +9

    Martha anasagana nahuyo mtoto😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 3 วันที่ผ่านมา +1

      100%

    • @bakariomari24omar21
      @bakariomari24omar21 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hilo Haina shaka maana hiyo dhambi inanguvu hutojali lolote

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kujiamini kwa katoto haka, ukiondoa uchawi, pia kuna matendo machafu wanayafanya! Joan anategeshea akimkana kwamba si mwanae aseme kwamba kanioa mimi ni mkewe! MUNGU WANGU JEHOVA!

  • @kibokutiwanatanyika1540
    @kibokutiwanatanyika1540 3 วันที่ผ่านมา +4

    Samahani Jamani,, naomba kuuliza kwani KUSAGANA NI KUFANYA JE? Please! Msinichambe jaman nauliza ili niweze kujua maana yake...

    • @Thatgurl-l8n
      @Thatgurl-l8n 3 วันที่ผ่านมา

      😂Mapenzi ya jinsia moja.

  • @CarolineThadei
    @CarolineThadei 3 วันที่ผ่านมา +2

    Martha kuwa makini mama ni Kila kitu katika maisha yako hakuna mbadala was mama fedha majumba Mali vyote vinapita mheshimu mama yako Alie kuweka tumboni miezi tisa

  • @mandelatv-e3b
    @mandelatv-e3b 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nilipo skiya ilesim ya Joanie nilijuwa kama haka kadada nikashetani mana alikuwa anajidayi sas kaulizake😢😢😢

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 3 วันที่ผ่านมา +2

    Imagine mtu ametoka huko na shida zake kuja kukotro maisha ya family uchawi upo mungu tuondoshee huyo bint ni pepo lilokuja kwa maisha ya Martha kuiipatia pesa Imagine yeye awe ndo Ana shetia humo ndani aiseer

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 3 วันที่ผ่านมา

    Aaaah jamani jamani umenimaliza 😢😢😢😢

  • @Solomonnize
    @Solomonnize 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kama sio kumtishia kutoa siri basi kanshutama kanausika😂😂😂😂

  • @Naomiwilliamu
    @Naomiwilliamu 3 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU WANGU MOYOO UMENIUMA 🙏

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 3 วันที่ผ่านมา +1

    WEH HII NI AIBU JAMANI😢😢

  • @sophiachiumbaumba9322
    @sophiachiumbaumba9322 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ha nimekerekwa Sana kwa nanna ninavompenda akiimba alaf nackia habar iz

  • @DM_15
    @DM_15 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ukiona mtu mzima analia kunamengi. Bitric alivyo ongea watu wali ona bitres analilia maliza nduguze. Jacklin wolper alimlopokea bitres kua aache kulilia mali za nduguze. But hakufikiriakua yule ameongea yanayo msibu dadayake ilituu kumrejesha kwenye himaya ya mama yao. Sitaki kuamini bitres ananjaa yakulilia mali ya dada yake

  • @MPOYOLAFILMS
    @MPOYOLAFILMS 2 วันที่ผ่านมา +2

    Wew Marth na huyo mwenzio mnashikana vis*mi mnakojoa mnajisikia rahaaaaaa wenyewe.... Dhambi kubwa sana hiyo Lahaulah tubuni na acheni mara moja...

  • @halamascat2816
    @halamascat2816 3 วันที่ผ่านมา +1

    Du niya. Inamambo mengi sana😢

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 3 วันที่ผ่านมา

    duh heeeh mungu tusaidie

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 3 วันที่ผ่านมา

    Daaaaah Mungu huyuu jmn

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 3 วันที่ผ่านมา +3

    Samahani wasomaji, Mimi namlaumu MAMA kama walikuwa na Matatizo wangeyamaliza huko ndani,Kila family ina matatizo Tena makubwa kushinda hayo Mzazi anaelalamika chapati mafunzo,Hivi Watu wote tungetaka kuanika Mambo ya familia Dunia ingesimama,

    • @justussebastian4779
      @justussebastian4779 3 วันที่ผ่านมา

      afadhari umeandika chapati

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 3 วันที่ผ่านมา +3

      Mama anasema amesema ameshindwa anaomba jamii na serikali vimsaidie kumshauri Martha ,mi naomba Tumuombee Mungu ataingilia kati

    • @JackMart-l9p
      @JackMart-l9p 3 วันที่ผ่านมา +2

      Hili jambo ni rahisi likiwa halijatokea kwako. Haswa likukute na uwe ungehangaika Kwa kila mtu na kila namna na umeshindwa. Ni Bora kujaribu na hii njia ya kushirikisha jamii.

    • @MkamburiMtakai
      @MkamburiMtakai 3 วันที่ผ่านมา

      Mama amesema amejaribu lakini kulishindikana...​@@malkiarosemuhando3310

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 3 วันที่ผ่านมา +3

      Mashetani tu ndio watamlaumu Beatrice na mama yake. Yaani mama ameeleza Kila kitu na inaonesha hamchukii Martha halafu mashetani hawaelewi?

  • @NeemaElisante-zd2dt
    @NeemaElisante-zd2dt 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ndoa za jinsia moja haya ndio madhara yake matha Yesu anarudi achana na ulimwengu huu raha zinapita ulimwengu unapita jehanamu ni ya milele matha martha martha!!!

  • @veronicaromwald8311
    @veronicaromwald8311 3 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Waziri Gwajima naomba uisaidie hii familia.

  • @philipomwazyunga4572
    @philipomwazyunga4572 2 วันที่ผ่านมา +1

    Matha awezi mkana joan..sabb joan ataweka mambo wazi wanavyosagana ..itaua utumishi wa matha😆😆😆

  • @KostantineSwai
    @KostantineSwai 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu saidia watu waishi kwaaman

  • @JemmyPeters-n1q
    @JemmyPeters-n1q 3 วันที่ผ่านมา

    Dada martha, record wimbo wa vumilia, wanikubusha wimbo wako wa" nmesikia maneno lakini ya mungu tu"

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 วันที่ผ่านมา

    Sky wewe ni very professional make sure hii taharifa inaukweli uijeharibu brand yako

  • @RobsonLugomi
    @RobsonLugomi 3 วันที่ผ่านมา +9

    Kale Joani kakisikia hii sijui atajisikiaejeee shetan yule mtt anachamba kaaaa eti anabweka

  • @vincej9275
    @vincej9275 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nilijua tangu mwanzo Joan ndio mwenye mambo haya yote.
    Kwa matusi aliyo yandika juzi. She is definitely the enemy of this family.

  • @NiwaeliMsanga
    @NiwaeliMsanga 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ndoa ya jinsia moja

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc 3 วันที่ผ่านมา +6

    Wote wanaomtetea martha ni wasagaji kama joan na martha

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 Wolper.... amedandia vita sasa ashayaskia haya... au pia yeye ni msagaji😂

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 วันที่ผ่านมา

    sawa mama tumekuelewa,,,ila nyie wana habari ntutaftie na uyo anayesemekana ndo mama mzazi mpy na matha,,,tukishamsikia tu,,sisi akili tunazo majibu tutakuwa nayo tayari😊,,,(hapo kuna ukweli unafichwa)

  • @wadantz123
    @wadantz123 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan uyu joan ana nini cha zaidi mpk mnamshindwa aaah weee kikipigwa vzr kitasema kimewaekea nn wenzie

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 3 วันที่ผ่านมา

      Anajua kum...... martha ndio maana kana jeuri

  • @aishaz1
    @aishaz1 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mathar anaogopa kumuacha Joan ju atatoa siri za Mathar

  • @JujuGurugu04
    @JujuGurugu04 วันที่ผ่านมา

    Aende kwa sunbela game over 😂😂😂 yni kizizi kitafinguliwa

  • @solangesoso3100
    @solangesoso3100 3 วันที่ผ่านมา

    Jamani, Yawezekana ni mama ake maana hata sauti ni kama ya martha. Kama unaijua sauti ya martha utanielewa. Nihuzuni😢😢

    • @chuchudorice8531
      @chuchudorice8531 2 วันที่ผ่านมา +1

      Si ety inawezekana ni mamake damu

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 3 วันที่ผ่านมา

    Jamniii nampendaaaa marthaaa snaaa ni my feverate jamn nampenda mno Mungu mteteeee mtumish wako

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 วันที่ผ่านมา +1

    Joan ni mtu wa mbaya ao kwao ni mkowangani tunaze apo kwanza, maana mikowa mingine kazi sn wakisha ingia kwenye family za wengine 😢

  • @lameckmadihani4999
    @lameckmadihani4999 3 วันที่ผ่านมา +2

    ndoa jinsia moja

  • @12345678938129
    @12345678938129 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kila mtu hapa anapoongelea wazazi . Baba naye mbona aongelewi ijapokuwa amashafariki. ila wababa wanasahaulika sana

  • @chany9950
    @chany9950 3 วันที่ผ่านมา

    Duuuh inauma jmn😭

  • @qubyackim4688
    @qubyackim4688 3 วันที่ผ่านมา +3

    Rise and falls ndio zinakuaga hivi. Ukiwaweka karibu watu wenye kujali maslahi yao mambo ndio huwa hivi ni waharibifu na wavurugaji hatari.
    But all in all ubaya ni mkanda wakiuno lazima ukutane ili ufunge na ukiupanda ubaya utauvuna tujipe muda tu.

  • @AishaAisha-q7y
    @AishaAisha-q7y 3 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢

  • @Johnny-ally
    @Johnny-ally 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ndio ukweli uliopo hiyo ni ndoa ya kijinsia moja hata muongee nini hawezi kuelewa yule

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu to samehe😢😢😢😢😢

  • @MiriPeter
    @MiriPeter 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ndoa ya jinsia moja..mtu na mkewe

  • @khamisiali1334
    @khamisiali1334 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wanasagana hao

  • @mbuerecarlos1396
    @mbuerecarlos1396 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yote aliyosema ndio ya kweri kabisa . Watu wengine wanamsema Beatris eti unamuahibisha dada yake. Wote ni ziro Beatris yuko sawa wameficha kwa mda mrefu. Ngoma ikilia sana mwisho inapasuka. Mwisho mama kasema yote yamoyoni sasa atapona. Wote watapatana.Siajabu roho wa Mungu amemwambia aseme madhabauni . Wasifiche mwisho itakuwa mbaya zaidi wamesema yote watakuwa sawa. Mama kasema ni miaka sita hakuna say wala mawadiliano akipiga simu anakatiwa masikioni .Tumesikia kwa mama yake yatosha hatuna aja na wengine. Hiliyo baki ni kumaliza na kusameheana.kukata mzizi wa fitina.Wako wengi kama hao wa kusahau wazazi.Wanapumbazwa wengine wakezao Kupumbazwa wasijue wazazi wao.Mungu anawatazama mwisho wao

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa inaonekana alama ya kumpiga vita Joan ambaye huenda yupo makini na uchumi wa Martha kwasababu ni jambo la kifamilia.
    Inawezekana pia nduguze Martha wanatamani kufuja uchumi wake maana inaonesha wanasaidiwa ila hawana shukurani kwakuwa shetani anawatawala.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 3 วันที่ผ่านมา +2

    Shetani yuko kazini....
    Kama unaroho mtakatifu huwezi kuwa na roho ya kushikilia kama martha
    Martha badilika uyo ni mama ako

  • @GLORIAKAHESI
    @GLORIAKAHESI 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata mimi ni hivyo hivyo na zani hawa watakuwa niwa penzi hawa, tuta juwa tu mungu yupo kufunuwa yanayo ji ficha.

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 3 วันที่ผ่านมา

    kama mama yake kweli mmmmh hapana kwa kweli.