Moto wako unaopikia au Moto wa Allah na kama Moto wa Allah wewe kipi kinachokufanya ujitakase kua we wapeponi na wenzako wa motoni wewe umebashiriwa na nani pepo yako Al akhii
Masoud anajua but kwa level ya kawaida tuu leo nimeliona hilo wazi kabisa sio kama yeye mwenyewe na watu wake wanavyotaka achukuliwe hebu tembeleeni na Zanzibar huku ni hatari jaman
Allahu baarik Mashaallah masoud mwamba Allah akujaalie uzidi
Mashaallah. Masoud wee mtu khatar ssannaa
Abubakar Adam giriki
Mashaallah...m,mungu awazidishie
Dooooh....bihaki kapambana khatari sana.....masoud atabaki kuwa mwalim.....maashaallah....
Uyo ndo professor masoud m2 htr sn
Wote wamefanya kaz nzur MASHALLAH
Abuu giriki ❤
professor mashallah
Masoud Adam hakuna wakimfananisha nae east and cenral au hata dunia nzima
Kaz kubwa sana
Ajemy ❤❤❤
Dooh huy masoud mmemuelew kwel
Dooooh vitta ila mosoudi ni mwalim mwamba huyoo
Amekuja kufukia mabonde yote 🔥🔥
rahaaaaaaaaaaa
Mashallaah
Wamepambana MaashaaAllaah
Masoud ni mwalimu lakini hamkuti Muhiya
MAA SHAA ALLAH
HATARI SANA
Maa shaa Allah viittaaah 💥
Muhiy nifundi zaidi yawote apo jamani
Ah! Wewe UST MASOUD ADAM Professor wa hizi kazi
Mashaallah
Vita
Masood mwalim anatisha
Jamani hicho kibegi cha kike kinafanya nini hapo mbele kinapelekwa huku kikirudishwa huku😂😂
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wote finnar
Moto wako unaopikia au Moto wa Allah na kama Moto wa Allah wewe kipi kinachokufanya ujitakase kua we wapeponi na wenzako wa motoni wewe umebashiriwa na nani pepo yako Al akhii
Sawa mungu
Masudatabakikuwamwalimutu
Masoud anajua but kwa level ya kawaida tuu leo nimeliona hilo wazi kabisa sio kama yeye mwenyewe na watu wake wanavyotaka achukuliwe hebu tembeleeni na Zanzibar huku ni hatari jaman
ACHA HUSDAA BADO KIJANA MDOGO 😂😂😂
Mshamba uyo
Zanzibar labda kwenye taarabu lakin kwenye maqaamat fan hakuna kama masoud hapa Tanzania katika zama zake
😂😂😂@@uchidahmaster2834
Una shida kwenye kichwa