Mtangazaji huna kazi 😂😂😂 Chechei sasa unataka amwite Mama hayo mambo ya kishamba… Mtangazaji usiyafanye makubwa sasa hivi Mababa wa Ki Tanzania wanalala na watoto wao walowazaa na kuleta watoto na mengi tuu. Basi uyatangaze hayo kwanza. Wao ni wazungu lazima wamwite Auntie siyo Mama. Watoto wamezaliwa bila ya mama Yao kuolewa basi hicho ni kitu cha kawaida kumuona baba yao anafanya hayo. Mtangazaji. Tangaza cha muhimu wacha kulia.
Mnaendana Na Nyota Zenu Zimefana❤🎉
Watamuitaje mama wakati wanamjua mama yao ni nani?