🔴LIVE: MANARA ANAFUNGUKA KUHUSU KUTOLEWA USEMAJI YANGA LIVE KUPITIA SPORTS ARENA 23/8/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera manara Kwa uungwana

  • @Jean-marieNiyonzima-f3e
    @Jean-marieNiyonzima-f3e 2 หลายเดือนก่อน +1

    hongereni sana wasaf mf kutujuza mengii🎉

  • @jacksonmwandia4452
    @jacksonmwandia4452 2 หลายเดือนก่อน +2

  • @Ayubuchonya
    @Ayubuchonya 2 หลายเดือนก่อน +2

    Apambane manala Ila mm siamini kama manala anaipenda yanga

  • @nassertemba5869
    @nassertemba5869 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa usemaji na propaganda za mpira hapa nchini hakuna kama haji

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 2 หลายเดือนก่อน

      Arudi Simba yanga tuna vijana na timu nzri

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninyi wachambuzi hamna uelewa au hamja ifanyia utafiti idara ya habari na mawasiliano inatakiwa iweje.
    Inawezekana kukawa na
    1. Mkurugenzi wa mawasiliano
    2. Msemaji wa club
    3. Mkuu wa protocol na matukio
    4. Mkuu wa ubunifu na sanaa
    N.K
    Ko hapo watu kwenye idara wanahitajika wengi ila bajeti za idara na vilabu ndio kikwazo

  • @antonykomba6631
    @antonykomba6631 2 หลายเดือนก่อน

    Kwenye maisha kumbuka chochote ambacho unakifanya yupo mwingine ambaye Mungu atamuinua na kuifanya pia

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aache uropokaj ndio maana katolewa nafas hyo

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi manara hastahili kuwa yanga mana yupo kwa masirahi ya ghalibu sio yanga huyu ni mwehu kama alitutukana Kila tusi siwezi kukunjuwa asepe kitengo Cha habari kinahitaji vijana kama kamwe sio Hawa wazee miaka 50

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y หลายเดือนก่อน

    Ajiiii anapewaaa cheooo kikubwaa sibiriniii mtaonaaaa zandaniii rakiniii

  • @kelvinfabo1314
    @kelvinfabo1314 2 หลายเดือนก่อน

    Jitahidini mmboreshee io mic 🎤 moja mbovu inadondoka ovyooo😅

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie watangazaji ni wambea tena wambea maswali yote hayo ya nini anaweza akafanya kazi yoyote acheni umbea

  • @AhmedMohamed-zj8hi
    @AhmedMohamed-zj8hi 2 หลายเดือนก่อน

    Majukumu yake itakuwa ni mbwembwe kutembelea mgongo nk...😅😅😅

  • @GueritoBilnass
    @GueritoBilnass 2 หลายเดือนก่อน

    ukweli rais WA yanga bwana hersi hakutenda haki kuongelea jambo hapo amemkosea Haji kwanza jambo hilo lingeongelewa hivo sio vizuri hata hivo asisau ipo siku itamfika sababu timu sio yake

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 2 หลายเดือนก่อน

      Yule ni raisi wa yanga lazima aseme wazi na ana haki kutowa tahatuku hivi haji alivyo waita mazuzi wajinga Kila matusi aliwatukana yanga alikuwa anawatukana chumbani sikia yanga hawana hitajio la haji huyo hji ni mfanya kazi wa gsm

  • @MwenyekitKitongojiDullahmgogoz
    @MwenyekitKitongojiDullahmgogoz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Manara tulia wwee ni simba bwana

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maulid acha umbea

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣 lakini ulikua Simba

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 2 หลายเดือนก่อน

    Siku alofanya manara press mi nilijua tu kakurupuka maana viongozi wote walikuwa sauz ye akakusanya wazee akawalisha akaita waandishi akajitangaza tafrani

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 2 หลายเดือนก่อน

    Ninasema hivi manara anamchango mkubwa sana kwa timu yanga hio basi apewe hishima yake kwa club na hasa kwa nyakati hizi yanga wanavyojisogelea mafanikio makubwa bafani Africa kumpoteza haji italeta mashaka makubwa kwa jicho la Tatu nasema hivi tuangalieni nafasi kutokana na hadhi yake alokua nayo na si makelele ya watu wasiojua uongozi na mafanikio ya club

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 2 หลายเดือนก่อน

    Sababu ya kufungiwa Haji Manara sasa iko wazi.
    Haji Manara anatisha kutokana na historia yake binafsi na historia ya wazazi wake ambao walikuwa wachezaji Maarufu kwenye klabu ya yanga.
    ukweli ni kwamba kikulacho kiko nguoni mwako.

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 2 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli Hana lamaana yanga ni yanga na haji ni Simba hakuna kikulacho sisi sio mazuzu heris yupo sahihi GSM ampeleke akatangaze vitanda sio yanga katutusi Kila aina ya matusi akwendeee

  • @KhalfanShaban-ne5vg
    @KhalfanShaban-ne5vg 2 หลายเดือนก่อน +1

    KUMBE NYINYI NI WANAFQI KWA MIAKA MIWILI ALIOFUNGIWA HAJI NDIO IONYESHE KITU ALICHONACHO HAJI ANAZIDIWA NA KAMWE?

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 หลายเดือนก่อน

    Haji mbona una nongwa 😂

  • @bakarimkumbo5077
    @bakarimkumbo5077 2 หลายเดือนก่อน

    Umri unachangia pia Kwa sababu Kuna code za maneno Huwezi kuzitumia kadiri unavyozidi kukua

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa coastal union taarifa wanatoa kwa wazee au kwa viongozi maana sielewi msemaji anaposema wazee yaani kuna taarifa inapelekwa kwa wazee na viongozi that’s shame and error katika industry ya football in Tanzania

  • @alexanderfute4559
    @alexanderfute4559 2 หลายเดือนก่อน

    Who is wazeeee

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona yeye haachi umeneja wa wachezaji?

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli ni kwamba Manara kashushwa 🤣🤣🤣🤣

  • @Zack_lamar
    @Zack_lamar 2 หลายเดือนก่อน

    Watu woote wako na Ali kamwe hakuna mtu atataka kamwe atoke hapo meaning of professionalism ni Ali Shaban Kamwe

  • @yasinnyange6233
    @yasinnyange6233 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni yenu,
    Mropokaji mnampamba mpambapamba tu
    Kwanza huyo sio Yanga
    Aende kwenye timu yake

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 2 หลายเดือนก่อน

    Fua jezi basi utakubali

  • @rashidhamad8697
    @rashidhamad8697 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haji hatumtaki