Umezunguka sana Tricod ktk kuwasilisha. Nakubaliana na uliyoyasema but hayo ni ktk mengineyo, ila ukweli ni kwamba huyu mwamba alikuwa na nguvu za giza period
Hapo kwenye addiction nakubali, na napenda nijitahadharishe mimi pamoja na wengine, hamna addiction mbaya kama kupenda makorokorobya dunia, na hayo yanayoibuka zama hizi ni ktk matokeo madogo sana ya wanapoangukia wanaopenda fahari za dunia hii
Trico leo umefeli, fuatilia vzuri kwanza hao wanawake unaowaongelea sio tatizo, tatizo ni uyo jamaa, unaongelea habar za kuongwa iphone wakati kuna watoto mpaka wa mawazi, raisi, mkuu wa jeshi.. umezingua
Hauelewi ndo maaan unabisha...kwani we haujawahi ona mtu kamnununulie mke wake gari ila mkaka atakaye muhonga mafuta ..ndo anakuwa wadhamani kwa huyu mwanamke???
@@dunstunnchimbi7994 hakuna kingine apo zaidi ya KISASI kiichochanganyika na mvurugiko wa afya ya akili, wanawake 400+ then wote umewarekodi, kwa tricod bora ata angesema jamaa ni rituals z kwenye ulimwengu wa kiroho kama za pdidy😅
Watu humu wanabisha bisha tu hawaelewi badala wasome watafute ukweli wanabisha bisha tu wanadhani eti pesa ndo kila kitu kisa mke wa waziri wanadhani ndo wanapata kila kitu kaaeni karibu na wake zenu ..ongeeni ..kuwa rafiki wa mke wako bora hawa wametembea na boss kuna wengine wanatembea na house boy!
Wewe ndo hauelewi ndo maaana unabisha unadhani kuwa mke wa waziri ndo nini pesa si kitu unawez kuwa unapesa ila mke wako anatoka na house boy wako kaaa karibu na mke wako pesa si kitu

Ahsante sana kwa maarifa
Dedio yetupendwa🥰🥰🥰💯💯💯🥳🥳🥳🥳
Sio kweli
Kaka nimekuelewa sana
Hapo kwenye addiction nakubali, na napenda nijitahadharishe mimi pamoja na wengine, hamna addiction mbaya kama kupenda makorokorobya dunia, na hayo yanayoibuka zama hizi ni ktk matokeo madogo sana ya wanapoangukia wanaopenda fahari za dunia hii
Nimeelewa
Njia njia njia njia njia njia zungumza sasa
Wow wow
👍👊✌️.
❤❤
Unabisha sababu hauelewi
Kaka José umeshindwa na kazi ama vipi.rudisha content tunazozipenda
Unazingua bhana
Trico leo umefeli, fuatilia vzuri kwanza hao wanawake unaowaongelea sio tatizo, tatizo ni uyo jamaa, unaongelea habar za kuongwa iphone wakati kuna watoto mpaka wa mawazi, raisi, mkuu wa jeshi.. umezingua
Mimi naomba pia mtazamo wako ili tujifunze kote na sisi tutafute hitimisho. Inaonekana kuna namna unaweza kutusaidia ambao hatujui chochote.
Hauelewi ndo maaan unabisha...kwani we haujawahi ona mtu kamnununulie mke wake gari ila mkaka atakaye muhonga mafuta ..ndo anakuwa wadhamani kwa huyu mwanamke???
@@dunstunnchimbi7994 hakuna kingine apo zaidi ya KISASI kiichochanganyika na mvurugiko wa afya ya akili, wanawake 400+ then wote umewarekodi, kwa tricod bora ata angesema jamaa ni rituals z kwenye ulimwengu wa kiroho kama za pdidy😅
Mtazamo wako kabisa huu....lkn uhalisia haupo
Unabisha sababu hauelewi
Mm binafsi nakushaur rudisha content zako katika mfumo wa ww kuto kuonekana kulikuwa na ubora zaidi
Nakubali mfumo ule ulikiwa pouwaa sànaaa
Why hautaki aweke sura????
@@georgemerere3448 kwel kabisa mkuu
@@kadilamore802 kaskilize za kipindi hawek sura yake na saizi kuna utofaut utauona
Mademu wanatamaa
Hakuna ulichoongea
Nakuelewa unabisha sababu hauelewi
Watu humu wanabisha bisha tu hawaelewi badala wasome watafute ukweli wanabisha bisha tu wanadhani eti pesa ndo kila kitu kisa mke wa waziri wanadhani ndo wanapata kila kitu kaaeni karibu na wake zenu ..ongeeni ..kuwa rafiki wa mke wako bora hawa wametembea na boss kuna wengine wanatembea na house boy!
endelea kujidanganya tu
Acha kuongea Kama hujui unachoongea!! Nonsense !

Mjingatu
❤