Prof Walibora I remember you wayback at Koelel High School where you did your A levels and I was in form 2 great kiswahili orator always having something to read at the notice board and we played in the best 11 football players you started at the goalie then left flank striker superbly gifted R.I.P. my friend.
Hekaya ulituaga mapema sana sisi waswahili. Hilo hatulipingi kutokana na ahadi kuu ya Mungu, kilichotoka mavumbini na mavumbini kitarudi. Juzi tukasherehekea siku kuu ya Kiswahili duniani. Naomba Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi, amina.
Ina Lilah inalah rajiun, Siku njema the only swahili book i have read more than 5 times, a book that has alot of teachings, very nice and entertaining to read. Your book shows Islamic and Christian teachings. I personally thought you were from the Coast, Mombasa but you came from up Kenya in Western, A great writer that will be very difficult to replace.
Katita Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea Bw. Ken Walibora aliakiki kuwa matanga ya Mtemi Nasaba Bora yangehudhuriwa na watu wengi mno wakiwemo wageni kutoka nchi zingine. Kinaya ni kwamba matanga ya Mtemi yalihudhuriwa tu na watu wachache wa familia. Ken hakuwa anajua ya kwamba atafariki wakati mgumu ambao wanaokufa ushikwa na watu wa karibu katika familia tu. Wakati ambao hata waandani hawaruhushiwi kuhudhuria. Mazizi yake Ken Walibora kama yale ya Mtemi Nasaba bora yatahudhuriwa tu na wachache kutoka familia. Ni sadfa iliyoje wakati mwili wa Mtemi Nasaba Bora ulipatikana ukiwa umening'inia juu ya mti baada ya kupotea kwa siku kadhaa tukilinganisha na Bw. Ken Walibora aliyepotea kwa siku kadhaa na mwili wake kupatikana katika chumba cha kuhifadhi ~~maitu.'" 😱* Buriani Mkurugenzi twakuenzi sisi wanafunzi wako 😥😥😭. I am.heartbroken after reading "kidgaa Kimemwozea" with this similarities!! Heart felt😫
Innalillahi wainna ileyhi raajiun 😭 I just came here to see n hear him after news of sudden demise looks very young.. R. I. P comrade. Siku njema the only fasihi set book ambacho nitasema nilikaa Chini kusoma from the first page to the last such an interesting story
Mwandishi Shubavu, tajika, mwalimu, Gwiji wa Fasihi katika lugha ya Kiswahili.... nakumbuka nikikutana naye Pro. uliniambia ya kwamba Kiswahili ni Lugha ya pekee ambayo hujisimamia bila kutegemea lugha zingine zote. Nakutambua katika uandishi wako wa Kidagaa Kimemwozea..........Katika riwaya yake ya kidagaa kimemwozea, Ken Walibora aliandika kuwa matanga ya mtemi nasaba bora yangehudhuriwa na watu wengi mno wakiwemo wageni kutoka nchi nyingine. Kinaya ni kwamba matanga ya mtemi yalihudhuriwa tu na watu wachache wa familia.Ken alitabiri kifo chake kwani pia mazishi yake yatahudhuriwa tu na wachache kutoka familia.Pia mtemi alipotea siku kadhaa kabla mwili wake kupatikana ukining'inia kwenye mti. Walibora pia alitoweka kwa siku kadhaa kabla mwili wake kupatikana katika chumba cha kuhifadhi maiti. Sadfa iliyoje!!......Ken Safari njema kakangu.
My Condolences to the late Ken Walibora and hi family. God of all comfort with Grant much needed strength to the entire family. His books are among many best written. May his soul rest in eternal peace .
"Mamangu zeynabu makhame kalala usingizi usiojua wakati wa kuamka na baba,baba ni kitendo kilichowekwa kwenye kamusi kwa makosa haina hisia zozote........" R.I.P ken walibora kitabu chako cha fasihi siku njema nimeipenda sna mpaka nko nayo kwangu hata kama nimemaliza kidato cha nne mwaka wa 99
Yamkini prof Ken Walibora alikua amebobea kwa lugha ya kiswahili. Mwanafalsafa kweli. Kiswahili nakiezi na nitakiezi milele. Hama kweli kaburi tajiri. Buriani mgwiji wa lugha
Mola akulaze mahala pema Walibora, kwa sababu hakuna kama wewe atawahi patikana.Na hata akipatikana si wewe, umeacha pengo kubwa ambalo litatusumbua kwa muda mrefu. Ila kazi ya mola haina makosa yeye hutoa pia huchukuwa.
Hapa mkufunzi wa lugha ananzumunza kwa lugha ya tamu ya kiswahili lakini kwa bahati wasiojua maana hi lugha wakimtakia buriani wakitumia lugha ya kikoloni maajabu haya
He was the swahili writer i wished to meet, Mwenyezi Mungu zidi kumpumzisha pema
Prof Walibora I remember you wayback at Koelel High School where you did your A levels and I was in form 2 great kiswahili orator always having something to read at the notice board and we played in the best 11 football players you started at the goalie then left flank striker superbly gifted R.I.P. my friend.
The best writer I have seen in my lifetime. The legacy will always remain
Asante kwa kupiga jeki Kiswahili na fasihi nchini Kenya. We will all miss you Professor Ken Walibora. Lala Salama.
Prof.your writing made me fall in love with kiswahili. Kumbe kuwa 'musyembe' si mwisho .Thank you prof.RIP.
RIP Ken at least we buried you back in our home land😭😭😭😭😭😭
my great mentor rip 😢😢😢 mkufunzi mzalendo wa lugha ya Kiswahili
He just poped in mind..............and here I'm may his soul rest in peace 🕊
Hekaya ulituaga mapema sana sisi waswahili. Hilo hatulipingi kutokana na ahadi kuu ya Mungu, kilichotoka mavumbini na mavumbini kitarudi. Juzi tukasherehekea siku kuu ya Kiswahili duniani. Naomba Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi, amina.
Kweli Hekaya na wazuri huondoka duniani mapema. Mungu, irehemu roho ya profesa Ken Walibora Waliaula. Iweke roho yake mahali pema peponi, amina.
Mungu akulaze pake pema Ken ,kweli Kiswahili ulikipenda ,natami niwe kama wew
Ina Lilah inalah rajiun, Siku njema the only swahili book i have read more than 5 times, a book that has alot of teachings, very nice and entertaining to read.
Your book shows Islamic and Christian teachings. I personally thought you were from the Coast, Mombasa but you came from up Kenya in Western, A great writer that will be very difficult to replace.
Blessed be the soils of that silent village in Cheranganyi, it shall consume the finest brain
Katita Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea Bw. Ken Walibora aliakiki kuwa matanga ya Mtemi Nasaba Bora yangehudhuriwa na watu wengi mno wakiwemo wageni kutoka nchi zingine. Kinaya ni kwamba matanga ya Mtemi yalihudhuriwa tu na watu wachache wa familia. Ken hakuwa anajua ya kwamba atafariki wakati mgumu ambao wanaokufa ushikwa na watu wa karibu katika familia tu. Wakati ambao hata waandani hawaruhushiwi kuhudhuria. Mazizi yake Ken Walibora kama yale ya Mtemi Nasaba bora yatahudhuriwa tu na wachache kutoka familia. Ni sadfa iliyoje wakati mwili wa Mtemi Nasaba Bora ulipatikana ukiwa umening'inia juu ya mti baada ya kupotea kwa siku kadhaa tukilinganisha na Bw. Ken Walibora aliyepotea kwa siku kadhaa na mwili wake kupatikana katika chumba cha kuhifadhi ~~maitu.'" 😱*
Buriani Mkurugenzi twakuenzi sisi wanafunzi wako 😥😥😭. I am.heartbroken after reading "kidgaa Kimemwozea" with this similarities!! Heart felt😫
Wow Prof.Ken Walibora alitoa mashauri mazuri sana.
Innalillahi wainna ileyhi raajiun 😭 I just came here to see n hear him after news of sudden demise looks very young.. R. I. P comrade. Siku njema the only fasihi set book ambacho nitasema nilikaa Chini kusoma from the first page to the last such an interesting story
Nakumbuka kunakazi tungefaa kufanya nawe lakini ukaenda kabla ya wakati
Mungu akirehemu kipenzi cha watu
😄talks like Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.. RIP Sir... Always proud of you...
Legends never die their work prevail
Hongera Bwana Walibora,Mola akubariki.
A great mentor,he really inspired me.RIP legend
Mungu alitoa,Mungu ameitwa,tumshukuru Mungu.
RIP mwalimu you will be remembered for your contribution in writing set books
A legend humble man dance with Angels may your soul rest in peace
Buriani Ken Walibora. Mungu ailaze roho yake mahala pema.
He was a wise a procher,a teacher,a conceller and a humble man RIP
I can't margn ken walibora,umeendaa.rip brother.watu wazuri wanatangulia kwl . salute baba .ths the government we hv never seen exact akii
Rest in peace my bro I’m still in shock will forever remember your kind nature and the friendship we shared .RIP
Masikito; huzuni ulioje! majuto makuu! Gwiji ametutangulia mbele za haki! Safiri salama Mtoto Wa Mwalimu
he was a witty guy with a brilliant mind. RIP Prof.
Mwandishi Shubavu, tajika, mwalimu, Gwiji wa Fasihi katika lugha ya Kiswahili.... nakumbuka nikikutana naye Pro. uliniambia ya kwamba Kiswahili ni Lugha ya pekee ambayo hujisimamia bila kutegemea lugha zingine zote. Nakutambua katika uandishi wako wa Kidagaa Kimemwozea..........Katika riwaya yake ya kidagaa kimemwozea, Ken Walibora aliandika kuwa matanga ya mtemi nasaba bora yangehudhuriwa na watu wengi mno wakiwemo wageni kutoka nchi nyingine. Kinaya ni kwamba matanga ya mtemi yalihudhuriwa tu na watu wachache wa familia.Ken alitabiri kifo chake kwani pia mazishi yake yatahudhuriwa tu na wachache kutoka familia.Pia mtemi alipotea siku kadhaa kabla mwili wake kupatikana ukining'inia kwenye mti. Walibora pia alitoweka kwa siku kadhaa kabla mwili wake kupatikana katika chumba cha kuhifadhi maiti. Sadfa iliyoje!!......Ken Safari njema kakangu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema penye uzima wa milele
My Condolences to the late Ken Walibora and hi family. God of all comfort with Grant much needed strength to the entire family. His books are among many best written. May his soul rest in eternal peace .
"Mamangu zeynabu makhame kalala usingizi usiojua wakati wa kuamka na baba,baba ni kitendo kilichowekwa kwenye kamusi kwa makosa haina hisia zozote........" R.I.P ken walibora kitabu chako cha fasihi siku njema nimeipenda sna mpaka nko nayo kwangu hata kama nimemaliza kidato cha nne mwaka wa 99
so sad that this brilliant and charming son of kenya and beyond is no more. may he rest in eternal peace
Am here after he is been laid to rest. RIP with angels
Great inspiration I do remember u guy in siku njema
May your soul shine with angels professor
Chema hakidumu. RIP Prof Ken walibora.
Kwa kweli wazo lake la fasihi litabaki na vizazi baada ya vizazi. RIP legend Prof. Ken walibora.
Ulikuwa shujaa Wa kweli. Pumzika ndugu yangu.
RIP bro till we meet again
RIP Ken, we lost a Swahili Great statesman
Professor Ken Walibora, we will miss you... So sad but we cannot question God.... RIP
We have truly lost a legend!.....RIP
It's unfortunate we lost you. May your soul rest in eternal peace
Wonderful writter Pro Ken Walibora. Rest in peace Sir.
nilitamani sana kukutana na Ken walibora ..
Mwandishi wa kupigiwa mfano Ken Walibora.
Great memories live
The regend is gone in heaven to stay with God may his soul rest in peace
how do you know he has gone to heaven? did God inform you
True God has taken him, he will be forever in the history of Kenya may his soul rest in peace
We gonna miss u guy our legend.
LEGEND
Safiri salama ndugu ken
Rip prof ken waliobora
Fare thee well legend 💪.for ever I. Our heart's
Rip ken shine on your way
May the legend go well in peace. So sad we lost Ken Walibora through goons coupled with negligent hospital staff who ignored him wither away in pain.
Heart broken 😭😭😭really painfull.. RIP bro
Inaitwa namba msiembe.nenda salama jirani
Maneno mateule.
Ken tunafahamu yakwamba umauti hauepukiki ila tuseme nini...safiri salama Kamanda! Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
Legends never die, rest in peace.
Pumzika kwa amani gwiji!! Mmoja kati ya elfu
Ni nani alimuua Profesa Walibora
Rest in perfect peace Ken!
Mola akurehemu na akulaze pema pailpo wema.
Teremi high product ,RIP ken
R.l.p Ken...nitakukumbuka daima... Gidagaa kimemwozea
Rip ken nakumbuka kidagaa kimemwozea .
Mungu aku laze mahili pema peponi
Rest in peace
When I grow up nataka niwe Kama Marehemu Ken Walibor
Ken cha muhimu Kando na uandishi wako na masomo yako nikwamba ulikuwa ndugu aliye mjua mungu wa kweli Yehova.Hivo kweli ulikuwa Shahidi wa Yehova.
You right
Pole sana Ken. Rip
Inauma kweli
Safiri salama, salimia Maulana.
Hongera profesa
Rip ken walibora gwiji ya kiswahili
Gwiji wa kiswahili(Ngeli ya A-WA).
Siku njema.
Kiswahili kizuri kwa wanaokielewa ,lo!
Wanaimba kwa lahani tahanusi... kumaanisha maneno matamu .. Lala salama Bingwa.
Nenda salama Jagina wa Kiswahili
20:25 32:10 waonyesheni mifano..malengi ya kufundisha ni nini?
Yamkini prof Ken Walibora alikua amebobea kwa lugha ya kiswahili. Mwanafalsafa kweli. Kiswahili nakiezi na nitakiezi milele. Hama kweli kaburi tajiri. Buriani mgwiji wa lugha
Rest in peace Ken
Mola akulaze mahala pema Walibora, kwa sababu hakuna kama wewe atawahi patikana.Na hata akipatikana si wewe, umeacha pengo kubwa ambalo litatusumbua kwa muda mrefu. Ila kazi ya mola haina makosa yeye hutoa pia huchukuwa.
Aliyekuwa shujaa katika uandishi na kwa matamshi sanifu ya lugha ya kiswahili.
Huzuni isiyomithilika kwa kumpoteza gwiji na mkwasi wa lugha ya Kiswahili.
R.I.p ken
May u rest in peace ken
makiwa ndugu ken walibora
RIP Mwalimu
RIP papa
RIP Professor.
Sylvia Favored VC
Good job
RIP kidagaa kimemwozea
Rip legend
Rip ken 2020
What i used to think when listening to redio that people inside the redio are dwaf
Rip Ken
Lazima niwe kama mwandishi huyu tajika ken walibora
Kwa kweli penye nia Pana njia
Hapa mkufunzi wa lugha ananzumunza kwa lugha ya tamu ya kiswahili lakini kwa bahati wasiojua maana hi lugha wakimtakia buriani wakitumia lugha ya kikoloni maajabu haya
RIP Prof.
Y cnt such nice pple live hadi they become grandies like moi surely?
Gone too soon papa wa uandishi
Ken hugetuaga,,,,inasemekanpolisi walichukua muda mwingi kabla ya kuchukuliwa pale umauti ulipokufika,,,,,
Rip professor
😭😭😭😭Rip