Uzur anachukua alivyo nunua yeye kwapesa yake maana kunamaisha baada yahapo mtu uanze kununua pas jko frij wakati ushanunua ayo nimatumiz mabovu yapesa
Ndo shda ya kudate na mwanasheria anajua kuwa kudate miezi 3 unakuwa ushakuwa wakwake ila ss manurse hayo mambo hatujui😂😂shda ye2 ss tunakatabia kakupimapima2 ety😅😅😅🙈🙈🙌
Mnawakutaga wangese tuh mtashtakiwa weh unajua ndoa Sheria ya ndoa inasema hili watu watambulike Kuna ndoa baina Yao nilazima wakae miaka miwili na majirani wajue so unapokuja sema ety wamekaa miezi kumi Kuna ndoa....mmmh mmezungua mtafungwa nyie jueni kama maigizo mnavamia watu mtakuja wamia watu mdate mnaweza ata itiwa wezi
Binafsi nimependa,katika siku mlizonifurahisha leo mmenifurahisha,,ye anabadisha wanawake kama chupi..yaani unaacha bila sababu nyambafuu..mko wapi niwape bia
Q mama ake heeee chezen na wanyonge vyumba vingne inatoka maiti au damu zinamwagika.yan we mtangazaji unasema mtu kaja kashtak kwak we nani polisi au mahakama unatafuta atar sana tena sio ndogo
Yani katuka siku mmenifurahisha nileo ata dada nimependa alivyo fanya inaonyesha kabisa mwanaume alikuwa na uyo mwanamke kabla ndio akaamua kumuacha uyo dada ili amlete uyo mwingine
Aaaaah hiii sijapentaaaa... 😂😂😂, mbona km gender imbalance haijatumika .. Mmemsikiliza mdada tuu peke yake wkt ilibidi kila mtu azungumze na wawepo mashaidi wa penzi lao pande zote mbili
Kubabake, yani kama ni mimi hamgusi kitu mzee tena mngejuta kuja😅😅😅 , sheria?? Sheria mnazijua lakn? Labda angekuja kistaarabu mwanamke pekeyake nikaongea nae, siyo kuniletea manyumbu kwangu😅😅.
Wamezoea unakaa na mtu miaka mungu halafu mkiachana anakufukuza bila chochote manyangau na huyo dada wa yatamkuta wanaume si watu wakuwaamini hawachelewi kubdilika
Oy mshikaji chili tu vitu vinatafutwa ila mskaji alichofanya sio fea we unajua kapitia nn mpaka kamuacha huyo demu halafu ukute vitu kanunua viwili tu halafu we tena una lazimisha achukue fliji du! ngoja nawe siku siku yakutokee ndo utajua utamuwake 😂
Sasa wao wanamiez kumi Kwan kunaubaya mtu kuichukua vitu alivyo nunua kwapesa yake Kama mapenz yamekwisha kila mtu abaki nachake alinunua akijua wataishi jaman
Wanaocheka kama mimi tujuanee😂😂😂😂wanaume wa bongo njaaaaa kali😂😂😂😂😂😂
Kwahio jaydann yy ndo hakimu kashaamua kesi na hukumu imepita 😁😁😁 kmbe kna watu wanadhurumiwa kizembe hvyo😂😂
Uzur anachukua alivyo nunua yeye kwapesa yake maana kunamaisha baada yahapo mtu uanze kununua pas jko frij wakati ushanunua ayo nimatumiz mabovu yapesa
mtangazaji pia comedian😂😂😂
😂😂😂
Dah si umedate nae zaidi ya miez 3 uyu ni km mke wako hahaha muandishi asante sn kwa kumsapot dada ❤
Ex ana njaa huyo😁😁😁
Bodyguard wa mchongo, yaan huyu bodyguard😊. Ila huyo Dada ndani ya nyumba yuko humble nimempenda❤. Uchumba una dai haki yako, lol😂😮
Aiseeee 😂😂 huy mwandishii noma san
Huyu mlinzi mbona anajiachia sana mpaka anachekeshaaaaa😂😂😂😂😂😂
Aka nako ndo maan kakaachwa ni ndimu2 yaan😏🤣🤣huoni huyo wa pili mpole2 ety😢❤❤🎉🎉😅
Cjapenda ndo babu yang mmupnyeshe🤷♀️🤣🤣je mm pia babu nikiachwa naye hana akili😂😂🙌
Aaaah bodyguard anachekeshaa😂😂😂
Waliocheka kama mimi 😮😮😮😮
Hapo kwenye kugawana hizo mali za chumba kimoja ndo pananichekeshaa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂yani nyie tz sihami 😂😂😂😂
😅😅😅Sheria ganiiiiiii
Mtangazj nimempnda 😅😅😅😅😅 alaaaaah ametok kwenye utangzj ghfra akawa anamsaidia hyo dada kubeba friji
😂😂😂😂
Kaka hongera sana Hawa wanaume unakaa nae mda mlefu mnanunua na vitu halafu anakuacha tu bila sababu
Wew ulinunua au yeye
Hahahaha friji linaondoka ,, 😂😂😂😂😂😂kila kitu kinabebwa friji linaondoka 😂😂😂😂
Hapo jamaaa kaamua kuwasitiri tu mjichanganye mje kwangu mtajua hamjui yani haaa!!!..
😅😅😅😅safi
Kaka hongera 😅😅😅kazi nzuri
Yani ww jay ningekuwa mm aisee ww jamaa ningeanza na ww then uyo mgambo ndo ungejua kuwa kuwa kitovu changu kilizikwa wap huko mara fala we
hahaha we jichanganye Au humuoni Body guard wangu
Uyu ni body mlinzi😂😂😂😂
@@starwatatubu utakula kpgo kama mavi ya wafungwa
Nimefurahi sana sana jay unafanya vizur sana
😂😂😂😂😂naona pamechangamka sasa🔥🔥🔥
Nyie amjakutana na vichwa maji ww na Bodyguard wako amtoe kit chang mm ndan kwang mmemkuta mnyonge huyo hahaahahahahahaha
Ubaya ubwela😂😂😂
Waigizaji 2 wasikuumize kichwa😂😂
usiumizwe kichwa bro hayo ni maigizo tu
Yani weee mkorofi
Kupoteza muda wa watu wa kwanza kuchukuliwa vitu unapayuka 🤐🤐
Nice work 😂😂😂
😂😂ndy maan unadumbukizwa kwenye maji
Ndo shda ya kudate na mwanasheria anajua kuwa kudate miezi 3 unakuwa ushakuwa wakwake ila ss manurse hayo mambo hatujui😂😂shda ye2 ss tunakatabia kakupimapima2 ety😅😅😅🙈🙈🙌
wew huyo n mwanasheria wa uongo mpaka kugawana vitu lazima iwe miaka miwil mfululizo😂😂 tena majirani wahakiki
@@gladnessbelonda5005 🤣🤣mi naelewa bac niuliĺize kumPV mgonjwa kumcanulate hvo😂😂🙌
Nimependaa hii
😂😂😂😂😂yaniniyi nimecheka mpaka😂😂😂
Yani mje kwangu alafu mfanye hivyo aaaah kmmke 🤣 labda mje kumi
Mnawakutaga wangese tuh mtashtakiwa weh unajua ndoa Sheria ya ndoa inasema hili watu watambulike Kuna ndoa baina Yao nilazima wakae miaka miwili na majirani wajue so unapokuja sema ety wamekaa miezi kumi Kuna ndoa....mmmh mmezungua mtafungwa nyie jueni kama maigizo mnavamia watu mtakuja wamia watu mdate mnaweza ata itiwa wezi
Ah w jamaa umezingua yan from nowhere unamuamin mwanamke unaenda kuchukua v2 uo n usnichi mzeee
Angalia usije rushed kwenye beseni la maji tena😂😅😢😂
Mbona kama move amja nishawishi kabisaaaah niamini kweli,ngoja niwaongezee viwaz na koment afu niishie apa🫡
Hongereni sana sana
Jaydan 😂 kaka endelezaaa matukioo
ʟᴜᴄʏ ᴜᴋᴏ ᴘᴇᴀᴄᴇ🎉🎉🎉🎉
Yani nyie nawatafta sana mmefanya mm na mchumba wangu tuanze kula mgahawani nawakati mwanzo tulikua tunapika😢
😅😅😅😅
Pole mwaya
Safi sana ungechukua kitanda walale chini na hilo joto la daa hakuna kukaa ndani maanina 😏😡
Inategemea kama ivyo vitu walinunua wote, kama hakununua yy bs hamuwezi kuchukua chchte
uwi had rah 😂😂😂
😂😂😂yaan nimecheka loooh
😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka nyie
Anataka mirathi😂😂😂😂😂😂
Mkija kwangu na bodyguard wako na wafira kabisa,,mtu ushaachana nae af yaani sema hajui sheria huyo bro
Binafsi nimependa,katika siku mlizonifurahisha leo mmenifurahisha,,ye anabadisha wanawake kama chupi..yaani unaacha bila sababu nyambafuu..mko wapi niwape bia
Miaka2 family zote zikijua mko pamoja dari 1 ndoinauhalali km wataishi ht miaka 10 anakuja anaondoka huyo ni hawara tu sio mke wala mme wanagurahisha
Q mama ake heeee chezen na wanyonge vyumba vingne inatoka maiti au damu zinamwagika.yan we mtangazaji unasema mtu kaja kashtak kwak we nani polisi au mahakama unatafuta atar sana tena sio ndogo
😂😂😂😂😂😂😂 bora kila mtu anachukua chake
Iyo safi ubaya ubwelaaa😂😂
Ety kamanda muachie😂😂kuna watu hawajawah kupigwa nyie😂😂amna Cha kamanda Wala wenye media wote mnakula kichapo😂😂
Washkaji ni wasenge sana... Ivyo ningekuw mimi ningemuuwa mtu umo umo ndani
Mungu awalipe wewe na kiredio kwakazi hizo kbx
Mnaingiaje Kwa mtu hakuna mjumbe Wala seeikali ya mtaa mnaanza kuonesha vitu ndani bila ruksa yake akisema nyie waizi kumamae tunauana
Bodgad mwilin mdogo anavyojitanua sasa hee Tanzania ni nchi huru
Yani katuka siku mmenifurahisha nileo ata dada nimependa alivyo fanya inaonyesha kabisa mwanaume alikuwa na uyo mwanamke kabla ndio akaamua kumuacha uyo dada ili amlete uyo mwingine
Hizo ni njaaaa 😂😂😂😂
😮ukisema mke wake unakosea kwasbb hajamuoa
Kisheria ni mke
😂😂😂kwishaa
Hata ningekuwa mm ningekaacha hako kadada kafupi 😅 maana sio kwa upole na uzuri wa mpenzi mpya wa 7
Uyu nae wa motoooo
Broo wafany kazi nzr sana nkupenda ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aaaaah hiii sijapentaaaa... 😂😂😂, mbona km gender imbalance haijatumika .. Mmemsikiliza mdada tuu peke yake wkt ilibidi kila mtu azungumze na wawepo mashaidi wa penzi lao pande zote mbili
Inachekesha😂😂😂😂
Heee kumbe miezi mitatu ni mkee😂😂
Namna hiyooo vitu vyangu uje ujimwambafy na mtu wako nitabebaa Hadi kijiko, mbona wao wanatudhalilishaga saaaana?
Watagawa a vipi wakati hawajaoana pengine uyo dada alimkuta bwana anavitu vyake weee j litakukuta jambo
Hizi vitu hata nchi za wenzetu wanafanya,ila wanazingatia privacy na taratibu zingine vinginevyo mtakuja kusababisha majanga.
Kabisa
Safii sana
Kubabake, yani kama ni mimi hamgusi kitu mzee tena mngejuta kuja😅😅😅 , sheria?? Sheria mnazijua lakn? Labda angekuja kistaarabu mwanamke pekeyake nikaongea nae, siyo kuniletea manyumbu kwangu😅😅.
Kubabekii😂😂😂 jiko linaondoka
Sauti hapo mwissho iliendanga aje😂😂
yaani baunsa anafanya kazi nzuri, mtangazaji nae haelewi somo
Hahahah😂😂😂
Hii nayo kali ya mwaka 😂😂😂 duh
Uyu dada n me kbsa uwa siachi hata kijiko 😂😂😂😂
Mm huyo body gad tuu😂😂😂 mbavu sina
Nora nae akinuna anakuwa mbaya mno
Kwani hivo vitu walinunua wote? Kama sio angemwachia tu
Wazazi wanajua unaishi hostel kumbe mke wa mtu
Sio ex wako sema ukwwli😂😂😂😂
Kwahyo hyo media imekuwa mahakama? Yaaani maamuzi hapo hapo na uyo body gadi 😊😊
😂😂😂 ety miez mitatu nyie sheria ngumu ni miaka miwili mfululizo
Kwahiyo bodgad lazima umvae miwani na utembee hivyo haha 😂 Hawa ndo huwa wanapigwa vibaya😢😅
Wamezoea unakaa na mtu miaka mungu halafu mkiachana anakufukuza bila chochote manyangau na huyo dada wa yatamkuta wanaume si watu wakuwaamini hawachelewi kubdilika
Hamasheria inayo sema ukideti namtu ata miaka kumi bila ndoa sio mke uyo acha usenge yani ingekua mimi wote ningewafanya mbayaaaa
Kumbe mausiano yako hv sasa na mm naitaji kupndua husiano wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasi Hana Tafuteni kazi we Dada c umeona mwenziyo amewachwa piya wewe chako kiko motoni upo😂
Mpaka kieleweke...muendlz please🎉🎉🎉
Wanaumeee kwahivi vipind vya hawa jamaa mtaacha umalaya nyau
😂😂😂😂
Kaz yako nzuriii mdg wang bahat mbaya sina mtu ambae nimewah shere nae kama hv na siji kuwez 😅😅
Oy mshikaji chili tu vitu vinatafutwa ila mskaji alichofanya sio fea we unajua kapitia nn mpaka kamuacha huyo demu halafu ukute vitu kanunua viwili tu halafu we tena una lazimisha achukue fliji du! ngoja nawe siku siku yakutokee ndo utajua utamuwake 😂
Sheria miezi 6 bhana acha ujinga😂😂😂
Yaan uyo anaenyang'anywa nae pc yaaan ujinga ujingan hahahaha
Sasa wao wanamiez kumi Kwan kunaubaya mtu kuichukua vitu alivyo nunua kwapesa yake Kama mapenz yamekwisha kila mtu abaki nachake alinunua akijua wataishi jaman
Huyo baunsa 😂😂😂😂😂
😂😂😂ilaaaa
We jamaa mwenye hii media kisheria umekosea this is Criminal attack Sasa ili ujifunze ngoja ninunue hii kesi
Kwani wamekuambia ya beyi
😢hata mm ningemwacha TU hahaha 😂 ndo Yuko hivyo haha 😂
😂😂 Bodigard
Jamni sjui nammi niwaite nkabebe vtu va.......😅😅😅😅😅
Mzee anasif huyo ety huyu ndy kaachwa