Kwenye mahusiano dhuruma zinaonekana sana sababu mahusiano yameteka sana dunia ya leo Ila dhuruma saiz zimetapakaaaa kila sehemu. Mungu atunusuruhu. ALLAH ATUEPUSHEEE IN SHA ALLAH
😂😂😂😂 duuuh kweli kabisa SHEIKHE umesema yote kweli ALLAH atusamehe sisi Wana wale walahi, ila mm NAOMBA NIJALIWE MUME NTAKAE MDHAMINI INSH-ALLAH AMEEN 🤲
Mi niolewa na miyaka 14 nikiwa katika doa nikuwa nafanya biashara mda mume hana kitu mimi natoa nilpo timiza miyaka 18 tukaachana na kanicha na mtoto anaumri wa 3 tujaliwa kupata vijimali kidogo lakini ata ndoo yamaji kaninyima je iyo sio zulma
Wanaume wanangalia upande wao tuu hawangaliii kama na sis wanawake wanatuzulumu na kutunyima haki zetu Kwa kutofuata misingi na Sheria za ndoa wanajiangalia wao tu matanio yao hata sis tunapendabkufanyiwa mazuri
Mwalimu Dimoso hii issue ya kusomesha mke au mke mtarajiwa Kisha akakuwacha inatokana sana na msingi wa mahusiano yenu, yaani namaanisha wanaume wengi huwang'ang'ania wanawake warembo wasio wapenda.
Sisi wanaume ndiyo wabaya . Na sema hivyo Kwa sababu wengi wetu tunataka wanawake warembo Sana hata kama hao wanawake hawajavutiwa nasi, tunajilazimisha tu. Matokeo yake tunaishii na wanawake ambao hawatutii.
Shahid Ni mtu aliwekwa kwa lengo la kutoa ukweli pindi baada ya kutolewa hiyo talaka ili asije kukataa alitoa na aliopewa, kwa hiyo shahidi hasababishi talaka kutokusihi, Ina maana inaswihi bila shahidi
Allah Awalaani Laana Tullah...wajinga wanawake na Ndio maana...wengi wamotoni,Allah atawachoma ssna kwa sababu hta wakipewa mawaidha ya vipi hwa hawaambiliki..Laana wajinga wapumbavu sanaaaaa😢
Umma unakoelekea na masheikh wa aina hii wanazidi kuupoteza. Tumuombeni Allah atuepushe na fitna iliojificha na ilidhihirika. Allah atujaalie viongozi wa dini wenye nasaha zenye mafundisho na muongozo katika kipindi hiki ambacho wanafki niwengi.
mm nadhan dini ni uwanja mpana sana kuna mtu anaweza akawa anaweza zaid fiqh lakini sira akawa hayupo vzur,,, kwa iyo ukiwa na shida ya mahusiano kuna watu utaenda kuwasikiliza, ukitaka visa nenda kwa othman maalim, soo sioni kama ikawa kama kuna ubaya ye akaona aspecialize katika sehem flan katika dini katika kuzijenga ndoa ili mradi atembee kwny mstari wa dini yetu asije akachupa mipaka
Je mimi mke tangu niolewe natamani mafanikio ila hamna sijasomeshwa sina kibarua wala biashara na wazazi walinisomesha hadi kidato cha nne ila mume wangu hanisaidii je hii si dhulma
Yamenikuta ila subra na swala zimetia nguvu ktk kuyamaliza kwa wema. Allah ndie Mwenyezi Mungu mwenye uwezo
E mwenyezimung tfanyie weps ktk ndoa zet ya rabbi🎉
Anayoyasema sheikhe yamenikuta Mimi subhanallah
Pore mungu atakuripa.Allah
Allah akupe make wa kheri na ww
Pole sana
Nampenda Sana Uyu Sheikh na Mawaitha yake
Kwenye mahusiano dhuruma zinaonekana sana sababu mahusiano yameteka sana dunia ya leo Ila dhuruma saiz zimetapakaaaa kila sehemu. Mungu atunusuruhu. ALLAH ATUEPUSHEEE IN SHA ALLAH
yaan we acha tuuuu allah atujazee iman ktk mioyoo yetuuu
Twayyib. Ustaadh sahih kabisa.
Asante mwalimu najifunza mengi nisiowajua
Mashallah Allah atupe usikivu sisi wanawake
😂😂😂😂 duuuh kweli kabisa SHEIKHE umesema yote kweli ALLAH atusamehe sisi Wana wale walahi, ila mm NAOMBA NIJALIWE MUME NTAKAE MDHAMINI INSH-ALLAH AMEEN 🤲
@@athumankhalfan7836 😂😂😂 ALHAMDULILLAH 🤲 kama upo
@@athumankhalfan7836 jamani ww😂😂😂 AMEEN AMEEN THUMA AMEEN 🤲🤲 kama kweli basi
@@athumankhalfan7836 ni nayo
Miye hapa
@@muftiahmadimahmudulemba1918 karibu
Shekhe mwenyezimngu akujalie Kila la kheri
ALLAH akulipe kheri Inshaallah
Aaamin kwa niaba ya Mwalimu
🤣🤣🤣🤣mi unavyoongea tu najikuta nafurahi mungu akuzidishie
Unasema kwer inauma hiyo Jamani sisi Wanamake dutunze waumezetu naroho moja Jamani hii inauma🤲🤲💔💔🥺🥺🙏🙏🗣️
Mashallah tabaraka llah 😅😅 Sheikh umetowa Siri zote 😂😂😂haki 😅😅😅
Mora atusamehe wanawake😢😢😢
Nakukubali Sana mwalimu dimoso mm naliaga saa nyingine kwanasaha zako allah akulipe 🙏🙏
mwalimu allah akuzidishie kwa mawaidha yako
😂😂😂😂😂 iyo kweli sheikh wangu
Maaashallah!!shekh ALLAH akulipe swadacta!!kuli haku laukana muuraaaa!!🙏👍👍👌👌
Sheikh wangu dimonso na kukumbuka sna pindi npo Tanzania ulishawai Kuja morogoro kilangali
Ni mtihani sana
Asallam maalequ Shek Maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Allamdulirai Ishaalla Allah hjelp you Ishaalla Ishaalla Alaamdulirai
Asalaam aleikum ndugu zangu Mtume Muhammad (SAW) amekemea sana inapozumzwa dini au jambo la dini kuchekesha ni mwiko.
Wacha kumzushia Mtume
Aya na hadthi kaka???
Tutibie mwalimu tunaumwa kila nyumba hakuna mwenye nafuu
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Huyu ustadha hufunza funny but on point
Maashaallah Allah anijalie moyo wa subra na wenye kushukuru na nijali utu kuliko kitu Yaraby
kwel shekhe
Allah akujaalie utuelimishe
ASANTE KWA DARSA MWALIMU DIMOSO
SubhanaAllah 😭😭😭😭 yauma sana
Duuhhhh!!!! shekh umenigusa
si wanawake na wanaume hawatoi tendo la ndoa
allahu akbaru
Shekh ni kweli unayoyasema lakini hata wanaume wapo wenye tabia hiyo. Utajitahidi kumuedhi yeye Hana mpango
Kumbe ndio mana dokta ataki kutoa talaka🤣
Subhan'Allah inauma sana😭😭😭
Suluhisho ya kusalatiwa na wanawake ni kuoa wanawake walio na mvuto wa wastani wanaokupenda na kuwachana na wanawake warembo wasiokupenda.
Kweli yamenikuta mimi
Asilimia kubwa wanaume ndio wanao umia MWANA MKE hasomeshi mwanaume
Kweli malim hata mm mlisalitiwa
Pole
nimefanya utafiti wanaumme ndio wanakufaa zaidi kuliko wanawake wanabaki wajaneee kupitia mikono yao
Daaaaah 😭😭😭 watu tumesha pigwajeeee!!!!
Kwanini mnawapa nafasi 😂😂😂kha napita tu 😅
Subhanalha
First 11 😂 shukran sheikh
Mi niolewa na miyaka 14 nikiwa katika doa nikuwa nafanya biashara mda mume hana kitu mimi natoa nilpo timiza miyaka 18 tukaachana na kanicha na mtoto anaumri wa 3 tujaliwa kupata vijimali kidogo lakini ata ndoo yamaji kaninyima je iyo sio zulma
Pole kipnz
Shakira Pole sana
Wanaume wanangalia upande wao tuu hawangaliii kama na sis wanawake wanatuzulumu na kutunyima haki zetu Kwa kutofuata misingi na Sheria za ndoa wanajiangalia wao tu matanio yao hata sis tunapendabkufanyiwa mazuri
Nayo ni dhulma uliyofanyiwa, lakini 90% ya wanaume wanawapenda wake zao lakini 50% ya wanawake waume sio chaguo lao.
Good lessons thanks
Mwalimu Dimoso hii issue ya kusomesha mke au mke mtarajiwa Kisha akakuwacha inatokana sana na msingi wa mahusiano yenu, yaani namaanisha wanaume wengi huwang'ang'ania wanawake warembo wasio wapenda.
Mia fil mia😊,wanahonga wakidhani wanapendwa
Ndio maana Kenya jamaa wanawatandika risasi tu kmmmk
😊
Naomba mwenye namba ya huyu mwalim dimoso please
sheikh dimoso mtume aliashiria wanawake ni bendera ya motoni
Sisi wanaume ndiyo wabaya .
Na sema hivyo Kwa sababu wengi wetu tunataka wanawake warembo Sana hata kama hao wanawake hawajavutiwa nasi, tunajilazimisha tu. Matokeo yake tunaishii na wanawake ambao hawatutii.
SHEKHE unayosema niyakweli sasa wengine na mafunzo yandoa wanapata lakini nikusudi
Mashaallah
Dhulma kubwa
Asalaam aleikum sheikh wangu tazama rangi ya kanzu yako rangi siyo yetu
NI RANGI YA KINA NAN?
mm nishamuacha mtu , maana alikuwa kaja kuchuma aondoke sio kuishi na ndoa
Wanaume mnafurai dimoso anawateteya mnajisahau kama nyie njo mnatuzulumu kutwa kucha
😂Sheikh kidume mie mie yamenikuta najuta kuowa na Wala sitaki kusikia Wala kujuwa kitu kinachoitwa ndowa for rest of my life so sad
Why?
Unamkosea Allah kumbuka kila kinachokufika ni mtihani na sio kila mtihani ni mmbaya kwako mengine inakufunza
Hakuna ihssan wala huruma ndiyo maana vituko tuuuu
Naweza kutoa faida yamtu amedhurumia kuna sura unaweza kusoma na ukajibiwa na Allah kama unaitaji nikute in box
Nataka kuna mwanaume kanizurumu pesa yangu
Tupe akhii ni sura gani hiyo?
Naiomba iyo sura
uyu muongo atawatapeli
Dhuluma lkn yakujitakia kwa sbb binadamu ni mwenye kubadilika
Swadakta
Kwer kabisa uko sahih shee!
Shahid
Shahid Ni mtu aliwekwa kwa lengo la kutoa ukweli pindi baada ya kutolewa hiyo talaka ili asije kukataa alitoa na aliopewa, kwa hiyo shahidi hasababishi talaka kutokusihi, Ina maana inaswihi bila shahidi
@@allynassoro8448 pp
Nikweli kabisa shekhe 🙏🙏🙏
Wanawake tu ndio wanaodhulumu????
Akina mama msijirekebishe endeleeni tu hivyohivyo.
Allah Awalaani Laana Tullah...wajinga wanawake na Ndio maana...wengi wamotoni,Allah atawachoma ssna kwa sababu hta wakipewa mawaidha ya vipi hwa hawaambiliki..Laana wajinga wapumbavu sanaaaaa😢
Kwahy tunafanyaje Nini tufanye apo
Mwalimu dimoso nimepeme talaka na mume wangu ya sms tuu bila hata mashahidi je hii nitalaka kweli mwalimu
Pole,inaswihi
@@kalamuMedia shukran 🙏
Inaswihi kivipi bila shahidi wakati mnaoana wanakuwepo mashaihidi tufafanulie tafadhari
Talaka.inaswihi muhimu Nia Yale ililenga wapi
Mashahidi
Kwan shee alisomea wanawake tu
hata mie huwa nakuuliza naona mada zake zote ni kuhusu wanawake tuu na mapenzi.
Umma unakoelekea na masheikh wa aina hii wanazidi kuupoteza. Tumuombeni Allah atuepushe na fitna iliojificha na ilidhihirika. Allah atujaalie viongozi wa dini wenye nasaha zenye mafundisho na muongozo katika kipindi hiki ambacho wanafki niwengi.
mm nadhan dini ni uwanja mpana sana kuna mtu anaweza akawa anaweza zaid fiqh lakini sira akawa hayupo vzur,,, kwa iyo ukiwa na shida ya mahusiano kuna watu utaenda kuwasikiliza, ukitaka visa nenda kwa othman maalim, soo sioni kama ikawa kama kuna ubaya ye akaona aspecialize katika sehem flan katika dini katika kuzijenga ndoa ili mradi atembee kwny mstari wa dini yetu asije akachupa mipaka
Nashindwa
🤣🤣🤣
🤣🤣
Lakn mtu had umsomeshe kwa galama hzo lazma utakua umeawahi kudet nae
Je mimi mke tangu niolewe natamani mafanikio ila hamna sijasomeshwa sina kibarua wala biashara na wazazi walinisomesha hadi kidato cha nne ila mume wangu hanisaidii je hii si dhulma