Kila mtu atasimama na zamu yake mahakama ya Mungu, wapendwa yesu anakujaaa haraka sana, na atakuja kuwachukua wale walio wake waliojikana nafsi zao, na kubeba msalaba wao...
Mitindo ya rasta waachie wengine acha ulimbukeni nyinyi ndo mnafanya jina la Mungu litukanwe achana na raster bana nywele zako dada mbona unapendeza tu
Unazijua rasta au unacomment kwa mihemko tu mara ngapi ww umelifanya jina la Mungu likatukanwa kabla hujakomment chochote fikilia kwanza hapo hana rasta yoyote ni nywere zake punguza hasira
sawa kazi nzuri lakini munaimba nyimbo za uku wa mungu sasa nauliza tangu umeanza ku imba wangapi wamesikia wa kampokea yesu hata kama mtaimba sawa lakini dada yangu wambie ubaya wa dhambi na ndo shahuku ya yesu
Wimbo mtamu kweli. Barikiwa
Hongera dada Kwa Kaz nzuri
Umenifanyaa nikaupokeaa bwana yesu awe mwokozii wa maishaa yangu 🧘🧘🧘🧘🧘
Amen
Alafu Kenya upate mpaka watoto wanadance ohangla tujieni mungu 👏👏👏👏
Hongera sana, mdogo wangu....
MUNGU akupe hatua zaidi
Kazi safi sana dada.
Mungu akuinue zaidi na zaidi jamila nina imani na huyu Mungu atakupeleka kanani yako❤
Hongera my dear wimbo mzur
Maumivu yalikuwa makali ila sasa nina makovu tu,,,,, Ubarikiwe sana ❤
Jamila unakipaji saana na nyota ya kupendwa unayo, Hakika utafika mbaali saana 🙏. Nabarikiwa na kila nyimbo Yako ❤
Mungu akubarik dadang
Hongera sana
Kila mtu atasimama na zamu yake mahakama ya Mungu, wapendwa yesu anakujaaa haraka sana, na atakuja kuwachukua wale walio wake waliojikana nafsi zao, na kubeba msalaba wao...
Dada ubarikiwe sn kwa utumishi tunabarikiwa na nyimbo zako
I Waited for the songs and now we can continue to enjoy them.
Ubarikiwe sanaaa 🎉❤
Hongera SANA Kipenz Jamila
Dada Jamila Mungu akubariki kwa utumishi wako mzuri
Keep it up,sauti nzuri sana
Mungu wa mbinguni aliemwinua yusuph, na wengine basi akuinue na wewe uzidi kumtumikia yeye🙏
Mapito ndiyo hujenga Imani, Mungu aendelee kuleta matunda ya mapito ❤
Wow! Well done Jamila, God is with you
Barikiwa sana natamani ata siku moja uje katika kanisa la s,d.a mbezi beach mpenda Mungu akubaliki sana
❤ asnte kwa wema ni wew umetenda hay
Jamila mshukur Mungu ww ni mwema kwako hajakuacha
Unazidi kunifanya nione magumu kwangu si lolote si chochote kipenzi barikiwaaa❤❤❤
Kuwa makini Dadaa,na nakuombea sana juu shetani Yuko mbiyoni kutumia wainjilist vibaya,
Wow ubarikiwe dada kazi nzuri mungu akupe maisha marefu siku zote zidi kusifu mungu milele ❤❤❤ na kupenda bure mamaaa wimbo mzuri sana
Great music Jamila. God bless!
Good job my dear
Love u jamila Mungu akuinue viwango vingine hakuna kurudi nyuma
Amina sister,wimbo mzuriii
Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri❤
Hongera sana Kwa Kaz nzuriiiiiii
MUNGU Akubariki💃💐💐💐
Kazi nzur dear🥰🔥
Kazi nzuri sana ♥️♥️
Jamani mniombee mimi nina vidonda si makovu nimesha muomba mungu baba sana ila ajibu😢😢😢
Pole. Unaendeleaje ndugu?
Nitakuombea!
Ikikupendeza Roho wa Mungu akikuongoza tuwasiliane nami,kwa ushauri zaidi!
Mungu wa mbinguni akutembelee katika dhiki yako Muamini yeye pekee atafanya njia🙏
Atakujibu usimkatie tamaa yeye ndo muweza yote kuna wakati wako utafka atakujbu naww hutoamn Mungu ni mwema siku zote za maisha yetu
Mungu atakujib kwa wakati ndungu so usikatetama juu unayoyapitia anayajua yote na yeye ndio suluhisho lako,,Amani atatenda 🙏🙏
Hongera sana dear
Barikiwa kipenz
Hongera Sana nyimbo zako zabariki
Mungu atagufikisha mbali sana nagupend❤
Nakupenda my young
Wimbo mzuri sana
Hongera . Feeling blessed
Nice ❤❤ keep it up
Huyu dada nilimpitisha tangia mwanzo, sioni haya kukiri nampenda sana na naweza gharamika kwa chochote ili nimuoe.
Makubwa😂😂
Keep going brother, you will make it
@@LillianAmina-w3o😂😂😂😂
Haya si makubwa jameni!
Kwishaa mahari upitishe kwangu nijue kama kweli unampenda 😂😂😂
Baraka tele🙏🙏
ongela sana
Waaau nice song
Uyo imeenda
Mm ni muislam ila nasklza sana nymbo zako kpnz
Mungu akutunze
Barikiwa
Mitindo ya rasta waachie wengine acha ulimbukeni nyinyi ndo mnafanya jina la Mungu litukanwe achana na raster bana nywele zako dada mbona unapendeza tu
Unazijua rasta au unacomment kwa mihemko tu mara ngapi ww umelifanya jina la Mungu likatukanwa kabla hujakomment chochote fikilia kwanza hapo hana rasta yoyote ni nywere zake punguza hasira
Nice 👍
Kuja kenya nikuoe😊
God bless you beautiful
unanibariki sana
❤❤ waoh.
Aminaaaa 🙏
amesha ingiliwa aliye okoka hana muonekano huo,ila kwa nimbo ziko vizur
Be blessing 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nice song
Hallelujah 🙏
Blessings
Ameen
Good 👍
sawa kazi nzuri lakini munaimba nyimbo za uku wa mungu sasa nauliza tangu umeanza ku imba wangapi wamesikia wa kampokea yesu hata kama mtaimba sawa lakini dada yangu wambie ubaya wa dhambi na ndo shahuku ya yesu
Barikiwa Jamila Dotto
Amen
GREAT
Create playlist on your songs
Test ya kuimba ni ile ile ya zabroni
❤
Amina
🙏🙏🙏
❤❤❤
Asante
Amen
nyimbo tamu
Uzidi kuwa WA viwango vya mataifa
th-cam.com/video/au1fUXMQCx4/w-d-xo.htmlsi=toI8bRxbyrZ6G61n
Nice song
❤❤❤
Amen
❤❤