Bahati Bukuku ni mkweli na ukweli ndiyo tabia ya Mungu. Hajaficha wala kuzungusha maneno kama wale wanawake wenzake waimbaji kwa kujibu swali kwa usahihi moja kwa moja kuwa nilipewa talaka na mume wangu. Wengine hao wakiulizwa swali hili, wanazungusha maneno bila kuwaelewa huku hali halisi ikionesha vinginevyo.. Bwana Yesu Kristo akubariki Bahati Bukuku
Hahahaha,,,eti wanasema hadi kifo kiwatenganishe na jamaa amegoma kufa,,ooh no,,this is so so funny, .........eti wameenda Dar wakachemka, wakarudi makwaoo. I love you Bahati Bukuku, so real and funny
Napenda sn nyimbo zako ila.Tuombe Mungu kwa kila jambo ktk kufanya maamuzi Mungu atupe roho mtakatifu na kutufunulia mambo.Roho mtakatifu husema na watu wake.
Da Bahati Bukuku kweli umesema mambo ya ajabu. Kutengana kwa wanandoa hadi kifo kumkute umoja wao. Uzinifu wa umoja uonyesha kama mwenziwe kafariki tayari. Hiyo kweli.
Mpaka kifo kitutenganishe ni katika utakatifu si katika dhambi. Kama tunakuwa katika dhambi hata tukiishi na ndoa mpaka mwisho wa maisha ni jehanam tu. Ndoa zinaharibika kwa sababu ya uovu ktk maisha yetu, tujitakase sana wakati wote ili hilo pepo la mafarakano lisiwe na nafasi. Suala hapa siyo kuogopa kutengana bali ni kuogopa dhambi.
Bahati bukuku uko vizuri mama nakpenda sana mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukubariki kwa viwango vya juu
Mafunzo makamilifu kabisaa.. Asante sana Bahati Bukuku
Bukuku ana ujasiri mkubwa....Keep it up Mum, We love you😍, we love your homilies💖❤
We mama nyimbo zako zinanibariki sana.
Bahati Bukuku ni mkweli na ukweli ndiyo tabia ya Mungu. Hajaficha wala kuzungusha maneno kama wale wanawake wenzake waimbaji kwa kujibu swali kwa usahihi moja kwa moja kuwa nilipewa talaka na mume wangu. Wengine hao wakiulizwa swali hili, wanazungusha maneno bila kuwaelewa huku hali halisi ikionesha vinginevyo.. Bwana Yesu Kristo akubariki Bahati Bukuku
😂 😂 😂 😂
Dada bahat nakupendaga sana barikiwa sana mtumishi wa mungu
Hahaha bahati bukuku ako na story I love you so much
Bahati bukuku wewe mrembo 🥰,mcha Mungu aliyekuwa mumeo kapoteza kweli
Huwezi jua ya ndani alaf kingne usifikilie kuoa ni urembo hapana wanaume hatuangalii urembo , huo nimvuto wa macho kama rangi ikipakwa inapauka
Clever Luwole 🤔🤔🤔🤔nishakupata
Hahahaha,,,eti wanasema hadi kifo kiwatenganishe na jamaa amegoma kufa,,ooh no,,this is so so funny,
.........eti wameenda Dar wakachemka, wakarudi makwaoo. I love you Bahati Bukuku, so real and funny
Waoooooo lov you very much bahati,,Wewe ni mwanamke Shujaa
jamaa anazidi kunenepa ,unangojea kifo kitenganishe. hahaha
Hahaha dada umenifurahisha et ahsante kwa kushirik jaman dada ubarikiwe
Hongera sana mama kwa maneno ysko kuntu❤❤
Umeongea point sana dada Hongera nimekuelewa sana
Ndoa Ni kipaji kivipi !??? Sielewi hapo.. usisubiri kifo kwenye ndoa🏃🏃🏃🏃timua mbio.
Nakupenda Sana Bahati wangu Mtumishi wa Mungu. Barikiwa sana
Asante mama hillo nimelielewa na Mungu awafungue macho wanaokaa nawatoto wa watu wasipo msaada wakijivunia kuwa wanawapenda
Dar ndiko kwenye soko la mziki. Alafu amemjibu vzr sana
Bahati una kipawa kutoka kwa mola keep it up
Nampenda bahati bukuku siku zote.Bahati nakupenda bure.
Nimeipenda hiyo ubarikiwe mtumishi w mungu
pore sana mutumushi siwewe pekeako umepea taraka mungu anajyua sababu
Asante sana mama bahat bukuku kwa kunifungua, nimepata kitu kutoka kwako
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Well said, Mama umesema vyema
👍
Jamani nampenda huyu dda napenda kujuwa anawatto wangap.
Mungu azidi kukubariki dada Bahati ufike mbali zaidi
Uko vzur bahat
Safii Sana Bahati Bukuku umeongea vyema sana
Kenya tunakupenda mama..umetubariki siku zote
Pole .sana.mama.yangu.nakuombea.mungu akupe maisha malefu Mimi kama mkenya nakupenda Sana unaongea ukweli barikiwa sana
Lov uuu bahati
🤣🤣🤣i love you mpya , kanifurahisha sana
Nakupenda sana daa
Barikiwa sana mama bahati,unasema ukweli, mtu usilazimishe ndoa....
Napenda sn nyimbo zako ila.Tuombe Mungu kwa kila jambo ktk kufanya maamuzi Mungu atupe roho mtakatifu na kutufunulia mambo.Roho mtakatifu husema na watu wake.
Umeongea kiheshima sana pongezi
Nakupenda sana dadaangu Bahati Bukuku
Kweri msema kweri mpenzi wa mungu ubarikiwe Sana'a mungu atakupa wa kufanana nae
Mungeacha mda bukuku aongee zaidi pale pastor kamupigia simu pana story hapo 😂😂
Wanawake jifunzeni kitu hapa,uyu bahati ni zaidi ya wanasaikolojia,
Bukuku nakupendaga saana mama yangu
Hahahahahaha nimeipenda sana iyo Kipenz cha weng baati bukuku mung akujalie maisha marefu
Love bukuku...Mungu akuinue mara tena
Sauti yako dada naipenda bureeeeeeee
Umeongea vizuri Bahati Bukuku big up.
kiazi kitamuL
One of the few sober Tanzanian artists
Nakupenda xn dd❤🎉🎉❤❤
Nimecheka sana jamani pia nimejifunza kitu sasa
Nakupenda sana kipenz changu pacha wa mie hukuniliko watu wananifananisha na ww dada bahati
Elizabeth Respick hahaha tuma picha yako nasi tuone kam ni kweli
Napenda tu unavyio ongea dada
Safi sana dada nimefulahi unavyo jibu vizuli
Da Bahati Bukuku kweli umesema mambo ya ajabu. Kutengana kwa wanandoa hadi kifo kumkute umoja wao. Uzinifu wa umoja uonyesha kama mwenziwe kafariki tayari. Hiyo kweli.
Barikiwa sana
Mungu ni mwema kwake
Hahahaaaa Bahati umenichekesha eti anakwambia asante kwa kushiriki
Mwanamke mwenye hekima asante yesu kristo
God bless you amen 🙏😃🤩🚗
Ahsante kwa kushiriki kigugumizi kidg
😀😀😀👍,zinaa nayo inatenganisha kweli ukisubili kifo dah,hatariii😂😂
🤣😂😂😂🙌🏻bahati ety jamaa kagoma kufa😂😂
Kweli
Bahati bukuku ubarikiwe sana
I love u mpy jamani mama ume nichakesha sana😂😂😂😂😂😂
mmmmh Inaonekana dada ndoa ilikuumiza Sana, but wonderful enough unaimba about ndoa wakati ww mwenyewe ilikushinda,
Mungu akusaidie
Ilimshinda ndo mana anahusia watu kuhusu ndoa ili yasiwakute yaliyo mkuta kilamtu na jaribu lakempendwa
Ni kweli kila mtu na jaribu lake
you are so judgemental
Mafunzo mema yanatoka kwa wenye waliopitia
Mama Bahati your so wise...watching from Kenya
😘
Majibu mazuri sana Dada barikiwa
Ilove you mpya 😂😂😂😂😂😂 like kama umesikia iyo
Nakupenda mamaetu
Hahaaa umenipa raha, umeongea ukweli mtupu😃😂😆😅😄
Duh...!!!
Kwenye mahusiano... Kaongea kwa hisia na uchungu kweli kweli.....😭😭😭ee MUNGU kumbuka ndoa zetu....🙏🙏🙏
Dada Bahati bwana umenifurahisha
waaah bukuku unaongea kwa undani saanaaa unajibu Kila swali
God bless you Dada bahati
Amina mtumishi ubarikiwe sana.
Hahaha😂😂😂 ahsante Mama, umejibu vzr
Unamajibu mazriii njoo uptee peps brdiii
Your very fun my dear Bukuku. God bless you
so true,,,she is so fun
Nakubali bahati,love you bureee.mwaaaa
Nakupenda sana dada Bahati 😘
Ana sauti ya kibabe😅😅
Nakupenda dada yetu home mbeya
Bahati you're so funny 😂😂😂😂😂 nimekupenda
🤣
Sio pastor bibilia
nice
Well said Dada Bahati Bukuku
I love you mpya I love it.
😂
Napenda nyimbo zako uwa zinanibariki Sana na uwa natamani kutoa wimbo na ww
hongera sna mtumish nimekupenda bule
Nimukuelewa sana Bahati.
Barikiwa sana mama.
Amesemaje "I love you mpya"😂😂😂😂haki Bahati una mambo nimecheka Sana
Hahaahahaha asante kwa kushiriki
Ubarikiwe sana mtumishi Mungu akuinuwe Kwa kila jambo ....
Mpaka kifo kitutenganishe ni katika utakatifu si katika dhambi. Kama tunakuwa katika dhambi hata tukiishi na ndoa mpaka mwisho wa maisha ni jehanam tu. Ndoa zinaharibika kwa sababu ya uovu ktk maisha yetu, tujitakase sana wakati wote ili hilo pepo la mafarakano lisiwe na nafasi. Suala hapa siyo kuogopa kutengana bali ni kuogopa dhambi.
Inspired 🥰💜✝️
Wengi uvunja ndoa kwa sababu ya uzinzi,lakini wengine ndoa uvunjika kwa ajili ya kuachwa na kutengwa hasa wanapofanikiwa,mungu anaona kila kitu,
dahhh pointi Sana
Bukuku. Ubarikiwe ZAIDI
nakupenda dada na mbingu znatambua hilo😍
Dada bahatiiiiiii! Asante
Nmeipenda snaa, ubarkiwe
Nimekupenda bahati bukuku
Haha haha haha nimekupenda bure Mnyakyisa wangu Mungu akubariki
Ujui pingu ya maisha wwe,km kwel unamtumikia mungu hakuna ndoa nyingine labda mmoja awe amefariki,vinginevyo kaa mwenyewe au msuluhishwe
Asate mama nibahati wakristo wanaume wanazaniwatukoseyetunya maze
Hapa kuna tati.. Hebu..
Nakupenda sana yani
Hongera bahati
Bahati Bukuku mpedwa wa MUNGU napenda nyimbo zako 💃💃💃💃💃💃💃
Kumbe unamafuno mazuri sister