natamani siku moja utukufu wa Mungu uwe juu yangu ili niweze kuifanya kazi kama uifanyayo mtumishi wa Mungu. Mungu akutie nguvu mara dufu na Mungu anisaidie ndoto yangu ya kufanya hiyo kazi itimie na kipawa changu kifanye kazi namimi. Maana kila mwanadamu Mungu aliyemuumba amempa kipawa ila shetani anatufunga tusiweze kufanya kazi na vipawa vyetu. Tunaomba Mungu atusaidie ili mbingu iweze kufanya kazi na sisi pamoja na uumbaji wa Mungu utukubali katika Jina la Yesu
I'm a Muslim but I like to listen Rudisha TV , na penda mafundisho ya mch Gwajima.
ongera askofu natamn na mie ningekuwepo eneo hilo...... japo nakusikiliza maneno yk yameniingia san. mungu akubaliki san askofu gwajima...
Duuu Bwana yesu akubariki mtumishi wa mungu akuongezee upako mara dufu
Utukufu kwa mungu nimebarikiwa sana na mafundisho.Mimi maria Niko Dubai
wow GOD is greatest I am so blessing in name of GOD.
Amen...nimebarikiwa sana na mafundisho.
natamani siku moja utukufu wa Mungu uwe juu yangu ili niweze kuifanya kazi kama uifanyayo mtumishi wa Mungu. Mungu akutie nguvu mara dufu na Mungu anisaidie ndoto yangu ya kufanya hiyo kazi itimie na kipawa changu kifanye kazi namimi. Maana kila mwanadamu Mungu aliyemuumba amempa kipawa ila shetani anatufunga tusiweze kufanya kazi na vipawa vyetu. Tunaomba Mungu atusaidie ili mbingu iweze kufanya kazi na sisi pamoja na uumbaji wa Mungu utukubali katika Jina la Yesu
amina na mungu atakusaidia
Nimebarikiwa sana na neno hili. nimefunguliwa toka vifungo vya ukoo
Utukufu kwa Yesu! Nafurahia Sana
GWAJIMA, I conffess ur servant of GOD! continue ahaed for this nation we need salvation.
Jesus the reaction in that crowd
Is a sure presence of jesus christ
Thank you Jesus.Thank you man of God you are really a blessing to us
Cheda M Daisy
Amen power of Jesus be with you Askofu. you are bless my moyo.
Amen. Powerful prayes
Fire
songa mbele majeshi ya bwana.
Nimejikuta napiga makof tu.
glory to God. ..but I have a question. ..who are those people are following you..ad you are inside the church?
Bishop Gwajima BWANA anakutumia vizuri nitapataje mafundisho yako? Kwenye DVD,au nyia nyingine naomba nisaidiwe kupata
HO Mgode Ameandika vitabu vingi saana fika Ubungo upate kopi yako
NJOOOOOOOO
Naomba kujua nani ameimba uo wimbo plz.nione mema
Amen
vinavuja mahagano yote ya ukoo ambao wameweka juu yangu bila mm kujua nafunga na kupupia mbali ktk njina la damu ya kondoo