MADHARA YA ROHO YA UASHERATI NA UZINZI || Pastor Ibrahim Amasi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @EliyaJames-fn3dz
    @EliyaJames-fn3dz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Baba kiukweli wewe ni moja ya wachungaji adimu Sana kwa kizazi cha Leo namaanisha ninachokisema Mungu akulinde

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 14 วันที่ผ่านมา

    Thank you man of God 🎉

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Roho ya uzinzi niliishinda tangu nilipogundua kuwa mwili wangu nihekalu la Roho Mtakatifu,na nilipoamua kuutoa mwili wangu kuwa dhabihu safi mbele za Mungu wangu,nakamuomba Mungu anisaidie kuyajua mapenzi yake,na anisaidie niyaishi mapenzi yake,Mungu akaanza kujifunua kwangu,maana nilikuwa natatizo la majini mahaba,niliombewa sana nakuomba sana lakini sikufunguliwa,hadi Mungu aliponifunulia mlango wa hizo roho za majini mahaba,nilipoufunga nilifunguliwa hadi leo nihuru,naninastawi kila eneo, mlango mkubwa wa hizo roho ni vipodozi,mapambo kwa ujumla wake,namavazi,

  • @priscakissa1142
    @priscakissa1142 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @johnjohn2080
    @johnjohn2080 ปีที่แล้ว

    Ni watumishi wachache huwa wanahubiri hili swala,Mungu akubariki

  • @samsonkazimili2221
    @samsonkazimili2221 ปีที่แล้ว

    Powerful

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 7 หลายเดือนก่อน

    Wachungaji wasaidieni wanawake katika eneo la mapambo navipodozi, hawatafunguliwa, wanaogopa kurudi kuombewa tena natena,ila bado wapo chini ya umiliki wa majini mahaba, wavue mapambo,kwaujumla wake,kamwe mvaa mapambo na anaeacha kichwa wazi asalipo nabaadhi yamaumbile yake,mavazi yasiyo yastaa, hataingia mbinguni,jukumu lakuponya kundi nila mchungaji mwenye kundi,ndie atakaedaiwa

  • @MohammedAlsalamah-cz1gt
    @MohammedAlsalamah-cz1gt 21 วันที่ผ่านมา

    Pastor niko na swali sasa kama umekuwa na spiritual husband na ujaexpose kwz mtu ukiona mtu unakuwa na feeling naye naweza fanyaaje na maybe huyu mtu unakuwa naye feeling ni rafiki yako utafaaje ili uendelea kufanya mambo yenu pamoja na hii tambia isitokea kwenu

    • @livingwordjesus1936
      @livingwordjesus1936  21 วันที่ผ่านมา

      @@MohammedAlsalamah-cz1gt
      Nitumie Audio kwa njia ya WhatsApp, sijaelewa maelezo yako
      0763706469

  • @helleneliakim8371
    @helleneliakim8371 ปีที่แล้ว

    Thank-you man of God 🎉