Allah amsamehe makosa yake sheikh Mohammed bin Ayub, aiweke nuru katika kaburi lake, amzidishie katika amali zake na amjaalie daraja ya juu katika Janna.
Allaah amrehemu mzee wetu mlezi wa roho zetu leo twaifahamu dini yetu kwasababu ya tabu na mashaka ambayo yote aliyakubali ili atufahamishe haqqi na tuwe watu bora na tusiwe borawatu namuomba Allaah amsamehe makosa yake na ayathibitishe mema yake
Allah twamuomba amsameh makosa yake amuhifadhi katika pepo yake kwa idhini yake Allah
TUNAMUOMBA ALLAH mtukufu amulipe kila la kheri kwa kutuletea kheri hizi zenye faida mno kwa dini yetu
Aamiin Yaa Rabb
Mashallah shkeh mohd ayub katusomeshea mashekhe wengi wawakati huu bahari ya elmu yake inaendelea mpk leo Allah akurehemu akupe pepo ya juu
Hakika ya Allah humpa amtakae na humnyima amtakae, Allah akulipe pepo iliyo yajuu dhidi ya taaluma yk kwetu amen..
اللهم اغفر له و ارحمه واسكنه فسيح جناتك يارب العالمين
Mwenyezi Mungu, Ampe yote Yaliyo Mema Inshaallah!
Baaraka.llah
Mashallaah Habib mabwana wakubwa hao wote mola Awarahamu huko Akhera sheikh muhd BAKARI na sheikh muhd Ayoub
Aamiin Yaa Rabb
Mashaallah imetulia
Zidi kutuma tafsir na mawaidha ya maulid ya sheikh muhamad BAKARI
Inshaallah mwl
Allah
Masha Allah, Mungu afanye kaburi lako liwe moja ya viwanja vya pepo.Akusmehe makosa y'ako,na madhambi amina.
Jabbal min jibball illm
Maaxhaa allah allah mpe pepo ya juu pamoj na mtukufu wadaraja bwana mtume mohmad وسلم علي وصلي الله
Mashallah
Allah amsamehe makosa yake sheikh Mohammed bin Ayub, aiweke nuru katika kaburi lake, amzidishie katika amali zake na amjaalie daraja ya juu katika Janna.
MashaAllah barakallah fik
Alhamdulillaah
Allaah amrehemu mzee wetu mlezi wa roho zetu leo twaifahamu dini yetu kwasababu ya tabu na mashaka ambayo yote aliyakubali ili atufahamishe haqqi na tuwe watu bora na tusiwe borawatu namuomba Allaah amsamehe makosa yake na ayathibitishe mema yake
Masha Allah
Allah amlipe kher kwa yote mazur aliyoya chuma inshallah 🙏
Ma Shaa Allah Alhamdulilah kwaelmu yenyekuendelea Allah AWAJALIE muwe katika nuru nalwe nikatika mabustani yapeponi Ameen🤲
الله يرحمه
ALLAH AMRAHAMU KIGOGO WETU
mwalimu WAEZA KUNIRUSHIA HII KWA WHASP??
Ustadh hizi tuekee nyingi ili tupate kustafidi
Tafsir
Kama kuna muendelezo tunaomba link
Tuwekee vitu Kama hivi twadhani Kama tupo na Bwana makubwa huyu
Alhabib hii tafsir inawezakua niya mwaka gani Allah Akbar Allah akulipe kheir kwakutuletea Mabwana hawa