Eenye vipaji ni kweli huwa mafukara lkn InshaAllah watafanikiwa La mcngi Serikali nayo iwaangalie Kwn hao ndio wanaumuhimu zaidi ya wengi walokuweko madarakani
Yaan mtangazaji hujui kuhoji kabisa lazima utuambie Ivan ni nani anaish wap mtaa gani na elimu yake ipoje yaan atupatie historia yake kidogo kabla ya kuanza na mambo mengine sasa ww unaanza na kumuliza mahusiano
Kweli wenye vipaji Wengi mafukara Genius
Eenye vipaji ni kweli huwa mafukara lkn InshaAllah watafanikiwa
La mcngi Serikali nayo iwaangalie
Kwn hao ndio wanaumuhimu zaidi ya wengi walokuweko madarakani
jina GENIUS lenyewe inanguvu kama Lumumba, jpm,sakara,Nyerere hiyo sio lakuzarau majina haya
Namuona mwanafunzi wangu,,,,
La mécanique générale est forte/la Fraternité dans le monde entier😅😅😅😊
Kijana engineer anaitaji msaada jamani katisha 🌹🌷
Ivan apewe support
Support zetuu sasa
ila we ndo mtangazaji wangu camp keep going bruh
Yuko vizur hongera
MDOGO WANGU KWELI GENIUS BINAFSI NIMUOMBEE KWA MUNGU UJUZI WAKE UZID KUWA UP KILA KUKICHA 📖🙏🙏🙏💙💙💙💙
Amiin yaeabi
MashaAllah Aiman Genious kbsa
Awe mfano kw wtt wetu
IVAN GENIEUS
Wow that was awesome
Nakubalii sn 💪💪
Mungu azidi kumsaidia kwenye ndoto zake , ili afanikiwe zaidi 🙏🙏🙏
Uyo dg ni fundi
Mtangazaji anataka kumuhiga millard Ayo kweli 😂😂😂😂
Fundi sana
good job add hope
go on
Kazi nzuri
Serkari inaitaji watu kama awa wabunifu wa tanzania mungu azidi kumpa vipaji vingi
Wabongo bwana
Huhu mtoto anakipaji cha kuwa lngineer
apelekwe shuleni 👍
Dhaaaa niatar
watu kam hawa ni wakuenderezwa lkn serikali yetu inaweza kwenda kumkamata kwa7bu hn kibari
Dah dogo anahitaji msaada kwani jamani ata serkali hamuwaoni watoto hawa tuwasaidieni ili vipaji vyao visipotee✅✅✔🙏🙏🙏🙏
Dongo anaitaji kupelekwa kwenye Shule ya mafundi
Keep Going young Genius
wow
Mungu ampe maisha malefu yenye mafanikio ya juuu .
Vizuri sana
Aajiriwe tu
Hongera sana mungu akupe ubunifu zaidi
Daaah brother kipaji unacho
Good
Show show
Namkubali sana ivan genieus
Vp uyo jama ahana simu Au naitaji namba zake
👍👍👍👍👍👍
Fresh sana
Dah pambana ndugu yangu iko kipaji chako
Jaman ammojawapo wa hao vijana wanaoingia vyuo vya ufundi itakuwa njema
Hakuna jipya hapo alicho buni vyote vilisha buniwa na wazungu acheni kupotoshana
Yaan mtangazaji hujui kuhoji kabisa lazima utuambie Ivan ni nani anaish wap mtaa gani na elimu yake ipoje yaan atupatie historia yake kidogo kabla ya kuanza na mambo mengine sasa ww unaanza na kumuliza mahusiano
Dogo akilinyingi kama ulaya saivi tajili mpaka familia yake lakini tz miyayusho tu
Eow kali
Sivizuri kumuuliza azarani uandaaji wake sopoa
Namba yake ya sim iko wapi
☠️
Umemuiga Millard ayo 😂😂
Hakuna jipya chini ya jua 😮😊
@@lovelyakvee 😂😂
kipaj
Inaitwa reli na sio treni
Muwe muna tuhandikiya Namba zake
Do you I vann genies
Asiwaz tuta msapoti
Amebuni nn hapo wakati vyote vilisha buniwa na wazungu semeni Ame copy
Africa ambavyo hatuna baada bahati dogo kipaji kitaishia mwilini ichoo
Uyu dogo nita mtafuta
𝐌𝐦𝐦𝐦𝐦𝐡.