ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Beka anaakili sana nimeona interview zake nyingi anajua jinsi ya kujieleza na kutoa ushauri vzur
Unapomuhoji mtu mwachie kipaza sauti mbaka amalize kujibu then muulize swali jingine...
Tatizo kujijibu mwenyewe... Big up lakini
Iki Kijamaa Akijuwagi Kujieleza Kabisa
unajitahidi kufanya interview ila be smart ukiuliza wacha ajibu usiulize na ukajijibu mwenyewe
Baba LA baba wewe ninoooooooomaaaaaaa sana beka flavor
Umeeleweka broooh
mwambie becka kama anaitaji aunde kund asinisahau
Stop talking nonsense.. Huyo enock wherever ako na sauti hiyo peke yake duniani?! Anaweza badili sauti vile rhino anafanya... Learn to appriciate other ppo's work
Fact
waache kuiga kweli wawe wao ka wao an ipo waz wachane
mtangazaji unazingua bhana
Hawezi kurudi Mali uku analipwa milioni 4 kwoi mwezi atarudi 😀😀😀
Kipind mko kwenye kundi mlikua mnasema hamtavunja kund milele na hamtamchekea m2 atakae washawish mwondoke kwa fela
Abuu Ally binadam wanasahau sana mh
Beka mkali kwa majibu
Ndugu mtangazaji nimegundua huna uwezo
David Siame real hajui
David Siame hahahaha anachosha
sema ukwel ndo alikuwa mwalim wenu bhnaa
haumis kurudi kwenye kundu unavoona... mtangazaj umezingua
becka mimi ni bonge la shabiki yako
Ye
mtangazaji mpe nafasi mtu ajieleze usimjibie na kumkatisha, acha ushamba
bonyenza hapa kuisikiliza ngoma ya beka mpya th-cam.com/video/I3Pf9A6NVXs/w-d-xo.html
maswali ya raia wa Mali yanakujaje waandishi wetu lakini mbona mpo hivi
ujinga tu
😂😂😂😂😂
yule hajaiga sauti sema anakipaji chek alivochanch sauti pale wewe kwsn sauti ya bella anayo yy tu