Mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Getrude Lwakatare amekuwa kivutio bungeni baada ya kuanza kuchangia kwa mara ya kwanza tangu uteuzi wake
Hakika Kazi yako sio Bure mama yetu zaid Mungu atakulipa daima kwa uchaji wako kwake Mungu wetu , upendo wako kwa wanadamu na Mungu pia , unyenyekevu wako kwake Mungu hakik Jembe zaid ya Jembe la mfano wa kuigwa kwa wanawake siku zoteeee RIP daim ...
Sweet Mum .You have accomplished your assigned mission in this world.time is up as per the word of God ,70years.Shine on your way mama.We miss you mama! R.I.P Condolences from Kenya
Hongera mama mchungaji Rwakatare , kuwepo kwa watumishi wa Mungu ndani ya Bunge letu Hata Mungu anakuwa nasi kwa maamuzi yenye busara.
Hakika Kazi yako sio Bure mama yetu zaid Mungu atakulipa daima kwa uchaji wako kwake Mungu wetu , upendo wako kwa wanadamu na Mungu pia , unyenyekevu wako kwake Mungu hakik Jembe zaid ya Jembe la mfano wa kuigwa kwa wanawake siku zoteeee RIP daim ...
Sweet Mum .You have accomplished your assigned mission in this world.time is up as per the word of God ,70years.Shine on your way mama.We miss you mama! R.I.P
Condolences from Kenya
RIP rwakatare
Wonderful woman of God amesahau ako bungeni anahubiru RIP
Amina mama
Glory be to God , Rest In Paradise Mom, Woman and servant of living God
Bunge la Tz sehemu kubwa ni kupongezana sana.
Kama mijinga vile😏
You have gone mum.let us say Glory be to God. Amen
Abantu Baaaabi! RIP Bishop GETRUDE
Elen Sospeter imwe fyakwishiva lesa
haya mama tena cheche sasa unamwaga sifa sana
R.I.P mama
R. I.P mama mbele yako nyuma yetu
Rest in peace mama
God be with you mum Rip.
Wabunge wa ccm bana kaz kubwa wao nikusifia2 duu hakuna mtetez ndani ya ccm wote niwez
AMINA KUBWA!
r i p mm
labda kiama ndio mtakuwa na viwanda vya kutosha
R l P pumzika kwa aman
mbona hunenepi.
R.I.P Mama .
R.I.P pumzika kwa aman mama
MUNGU AKUPOKEE AKUREHEMU KIUMBE WAKE
Nenda salama Mama
R I p mchungaji mwenyez
Mungu akupumzishe pema pepon
wanaachwa watu wenye maarifa wanakodiwa watu waje kusifia tutafika wapi
jitafakari
Lala kwa amani.Matendo yako yatakufuata!
Mama umelala pumzika kwa amani
Kila mmoja anayo mawazo yake. Changia bila kutukana mtu. Busara itawale.
Balikiwa mama.
Asante sana mum hongera rest in peace
R.I.p. mama mungu aweke roho yako mahali pema peponi
Ingawa umelala Hekima yako haitalala
Kweli nimeamni abantu babi RIP mama
jiobee wewe kwanza
Ktk yote umeckia kuombea tuuuuu aaaah jamani seriously?????
Sikiliza huu wimbo utajifunza kitu>>>>th-cam.com/video/Dv4w5X_gxQI/w-d-xo.html
Maendeleo ni pamoja na kukosoana, kushauriana, kuonyana, na hata kutiana moyo.
Why so black heroes die so soon!???!!!... zion lion just flew away to her mystic resting place! R.I.P MUMY