INATAKIWA TUKAE KWENYE NAFASI ZETU TULIZO PEWA NA ALLAH / SHEIKH KIPOZEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2021
  • INATAKIWA TUKAE KWENYE NAFASI ZETU TULIZO PEWA NA ALLAH SIO KUJIFANANISHA NA VIUMBE WENGINE
    MAWAIDHA YALIOTOLEWA NA SHEIKH KIPOZEO KWENYE MAULID YA SHEIKH YUSUPH KIDAGO YALIOFANYIKA HEDARU 2021
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.

ความคิดเห็น • 20

  • @mohamudmohamed7245
    @mohamudmohamed7245 2 ปีที่แล้ว +1

    Barakallah

  • @uwimanahamedi4698
    @uwimanahamedi4698 2 ปีที่แล้ว +1

    Punguza cakula sheikh wangu..wanenepa saaaana..na kupumuwa shida..mtihani Sheikh

  • @nordenconrad
    @nordenconrad 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe pumzi iliotulia

  • @daretowatch7214
    @daretowatch7214 ปีที่แล้ว +1

    Hata ukikasirika stahmili tu, ndio khaki ilivyo😂

  • @mabablaz123
    @mabablaz123 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wengine hata kama ni ikhram huyu wa kushika mic hafai aliharibu durus

  • @abdullahalmahrooqi8306
    @abdullahalmahrooqi8306 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalam Aleikum Sheikh wangu nakupenda sana swali langu mbona unapumua kwa kuhema una tatizo gani au hii video ya zamani? Allah akupe afya nzuri daima nakutakia kila la kheri daima unatupa nasiha za kila aina lakini naona wewe umejisahau.

    • @ogenylaurent7961
      @ogenylaurent7961 2 ปีที่แล้ว

      Huo ni unafiki unataka kujua anapumua kwa shida ili iweje mbona mnapenda kupelelezana

    • @abdullahalmahrooqi8306
      @abdullahalmahrooqi8306 2 ปีที่แล้ว

      @@ogenylaurent7961 Subhana Llah kumjulia hali mtu umekua unafiki nenda ukasome ujue nini maana ya unafik elimu yako ndogo unahitaji msaada usijibu kitu kama hujui maana yake usije ukabeba mzigo si wako.

    • @hassanmsingiri6216
      @hassanmsingiri6216 2 ปีที่แล้ว

      Hizi ndio husband zenyewe tunazo katwazwa nazo

    • @hassanmsingiri6216
      @hassanmsingiri6216 2 ปีที่แล้ว

      Hatutakiwi kumuuliza mtu mbona unanenepa sana mbona una konda sana mbona una pumua sana mbona unahema sana hii nikazi ya Daktari pindi unapo amua kuenda kwake kupima ndio ata kuambia punguza hiki na hiki kwa ajili ya hiki na hiki

    • @abdullahalmahrooqi8306
      @abdullahalmahrooqi8306 2 ปีที่แล้ว

      @@hassanmsingiri6216 Assalam Aleikum sijaelewa nini maana ya husband samahani elimu ni bahar.

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hakupaswa kwenda kumshikia maiki amefanya sheihk ameshindwa kurelax kuzungumza,halafu mtu anatakiwa kuonekana na watu akiongea