STORI ZA WANYABI (Ep4) | Oka Martin & Carpoza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 525

  • @emmanueljuma7823
    @emmanueljuma7823 4 ปีที่แล้ว +28

    This mnyabi thing 😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 iko vizuri sana trust me. Inachekesha kinoma noma #comedytotheworld

  • @dicksonwanzagi4490
    @dicksonwanzagi4490 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyie jamaa kwa Bongo land nyie ni next level asee! Duuh sijawahi ona watu wanatumia akili nyingi kwenye vichekesho kama nyie.
    May God bless

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 4 ปีที่แล้ว +12

    Hahahhahahahhahah haki hawa majamaaa ni zaidi ya nomaaaa 😂😂😂😂
    Nami nilikua sijui kazi kwa kingereza kama ni jobu,
    Itavyuuu ndio nini atiii uwiiiii mbavu zangu

  • @zachaa_tz
    @zachaa_tz 4 ปีที่แล้ว +32

    HAHAHAHA SAFIII TUNAWATEGEMEA WANYABI IMEKUJA TOFAUTI SANA.. WAKAZIENI

  • @sabrikisuda8652
    @sabrikisuda8652 4 ปีที่แล้ว +42

    Today I'm first two watch this video I'm happy

  • @papywabarega253
    @papywabarega253 4 ปีที่แล้ว +16

    Baba mwenyew amesha wai kufukuzwa 👉😂yaan tumerisi

  • @chrisskibaking3943
    @chrisskibaking3943 4 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂😂
    CARPOZA- Mnyabiii Kumbe kazi kwa kiingeleza inaitwa Job
    OKA-Haaaaaaa Umenifumbuaaaaaa
    CARPOZA-Eeeh kila siku Mimi ndo nakufungua ipo siku nitakufunga

  • @dicxonjohn8476
    @dicxonjohn8476 4 ปีที่แล้ว +82

    Mnyabi kumbe kazi kwakingeleza inaitwa job 😂😂😂

  • @annachuwa5050
    @annachuwa5050 4 ปีที่แล้ว +4

    Najua bas!! I like that when he respond

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi 4 ปีที่แล้ว +2

    😃😃😃😄😃😄😃 Mnetisha sana wanyambi 😄😄😃

  • @KimbaloEt-Ohms
    @KimbaloEt-Ohms 4 ปีที่แล้ว +28

    I do not understand swahili language sema inasound good

  • @willymashaka648
    @willymashaka648 4 ปีที่แล้ว

    safi sana nyie jamaa mnatuongezea sana cku za kuishi mnajua me nawakubari sana daa mnajua kunifulaisha

  • @SIMULIZIZONE
    @SIMULIZIZONE 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama unapenda simulizi za kihistoria, subscribe kwenye channel yetu

  • @Rogasiandesmond6
    @Rogasiandesmond6 4 ปีที่แล้ว +3

    Mntabiiiii, mambo ni moto sana. Keep doing men

  • @samsonmbangula2944
    @samsonmbangula2944 4 ปีที่แล้ว +11

    Sema inasound gud 😁😁

  • @thissvans
    @thissvans 4 ปีที่แล้ว +128

    NIMEWAKUBALI WANYABI
    SEMA INASOUND GOOD😂
    ⬇️

  • @nafisashaikh4374
    @nafisashaikh4374 4 ปีที่แล้ว +4

    Nikamwambia naitwa mnyabi kandaile ulule😂
    Wat fofeshno hahahahah mbav zangu mie😂😂😂

  • @faustinomkongwa7558
    @faustinomkongwa7558 4 ปีที่แล้ว +4

    dah nyie majamaaaaa mnanimalizia mb zangu yaan mnanifurahisha

  • @iii3news
    @iii3news 4 ปีที่แล้ว +18

    Sema ina Sound Good 👍

  • @adamrenatus4235
    @adamrenatus4235 4 ปีที่แล้ว +1

    wAnyAmBi mko vizuri sanaa nawakubalii,👐🏾👐🙌👏

  • @jamesmacha7468
    @jamesmacha7468 4 ปีที่แล้ว +2

    good wanyabiiiiiiiiiii...Nawakubaliiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaa

  • @josephtula5525
    @josephtula5525 4 ปีที่แล้ว +3

    Akanikumbatia kwa nyuma nimebebwa juu juu hadi nje, kazi tumepata 😁😁😁😁

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 ปีที่แล้ว

      Nakuomba usubscribe chanel yangu tafadhali 👉 th-cam.com/channels/6NPwS0aUVVlp3AAToVUAIw.html

  • @JAY-ww3jh
    @JAY-ww3jh 4 ปีที่แล้ว +3

    Inasound good nouma saaanaa

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 ปีที่แล้ว

      Nakuomba usubscribe chanel yangu tafadhali 👉 th-cam.com/channels/6NPwS0aUVVlp3AAToVUAIw.html

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu5718 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha 😂😂😂 ahsante mungu kwakunipa afya tele, hawa viumbe wako nishiiidah, wallahi 😂😂😂🤣🤣

  • @saddyamiry3099
    @saddyamiry3099 4 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂Nakubali inasound gudi😂😂😂

  • @procazorla2027
    @procazorla2027 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe leo unafanyiwa tavyuuu...
    :-[:-)

  • @hancendaniel333
    @hancendaniel333 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah mnyambi ilochen Kama mnyololo wa mbwaa nikaz 😁😁😁😁

  • @abuujuma3593
    @abuujuma3593 4 ปีที่แล้ว +85

    wa Kwanzaa leo like ata kumi wanyabii

  • @ndombafadhili4879
    @ndombafadhili4879 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwelii inasound guud

  • @godfreymahavile4688
    @godfreymahavile4688 4 ปีที่แล้ว +17

    carpoza kwa kumuongopea mwenzio 😁😁😁😁😁😂🤣

  • @frankmussa4093
    @frankmussa4093 4 ปีที่แล้ว +8

    Wanyabi mmelisi toka kwa baba zenu😂😂😂

    • @psalm2346
      @psalm2346 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂🤣

  • @mohammedsalum5311
    @mohammedsalum5311 4 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂🤣🤣 Saluti kwa Wanyabi wote

  • @zuewaley8249
    @zuewaley8249 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😅😂😅.. yan aya majamaa mapumbavu sana 😂😅😅😅

  • @chizobaddest6556
    @chizobaddest6556 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuchikuchi tumpase sijui aheeee!!! 😂😂😂😂 wanyabi mnanikomba kweL

  • @mohamedmatalaulaya9081
    @mohamedmatalaulaya9081 4 ปีที่แล้ว

    nawakubali sana hawa jamaa kila siku wanajaribu kutuletea ubunifu mpya

  • @oscarkidudaru8870
    @oscarkidudaru8870 4 ปีที่แล้ว

    Duh wanyambi mnazingua Sana duh 😀😁😁😂🤣😃😄😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 sema anasaundi Kali Sana huyo

  • @shanihassan1831
    @shanihassan1831 4 ปีที่แล้ว +56

    Ata like mbili tyu zinitosha

  • @Bongo1Media
    @Bongo1Media 4 ปีที่แล้ว +1

    #HIGHTECHTZ

  • @Alivinfx
    @Alivinfx 4 ปีที่แล้ว +4

    Sema ina sound good

  • @ubaohunter6945
    @ubaohunter6945 4 ปีที่แล้ว +8

    Mnyabi🔥🔥🔥nakubali 😂😂😂😂

  • @musaabuebker1750
    @musaabuebker1750 4 ปีที่แล้ว +1

    HAHAHAHAHAHA NYIE WANYABI NI MACHIZI,DAH AISEEE MPO GUDI BIG UP KWENU WANYABI

  • @josephtula5525
    @josephtula5525 4 ปีที่แล้ว +17

    Leo unafanyiwa tavyuuu 😂😂😂😂😂😂

  • @marcelinammasa3114
    @marcelinammasa3114 4 ปีที่แล้ว +4

    “Baba zetu awana akili”tumerithiii😂😂😂😂knaaa

  • @فاطمهمم-د5ذ
    @فاطمهمم-د5ذ 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwachekesha sanaa wallay

  • @chibyfinest9279
    @chibyfinest9279 4 ปีที่แล้ว +8

    Sema ...... INASOUND GUD🤣🤣🤣

  • @dativagabriel672
    @dativagabriel672 4 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂😂najua basi!!!?inasound good mie hoiii

  • @michaelnassoro5669
    @michaelnassoro5669 4 ปีที่แล้ว +5

    Taviyuuu, profishno........wanyabi😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @bernardchibwana9411
    @bernardchibwana9411 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema inasound guuuud

  • @chidyabdl8226
    @chidyabdl8226 4 ปีที่แล้ว

    Uyu mnyambi carpoza Ivo viatu nakubali

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanangu saana... Wanyaabii nawakubaalii saaana

  • @godifreyntinika9211
    @godifreyntinika9211 4 ปีที่แล้ว +2

    Hua mnachekesha sana

  • @tonymufasa3324
    @tonymufasa3324 4 ปีที่แล้ว

    Kali sana tatizo mnatukawiza sana kutowa vitu

  • @juliusdaniel3185
    @juliusdaniel3185 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha eti we mshenzi zaidi jiheshimu mnatisha wanyabi

  • @dianalincynnaji1123
    @dianalincynnaji1123 4 ปีที่แล้ว +2

    Unafanyiwa tavyu leo😂🤣🤣🤣ndio nini?"Najua basi😂😂🙌

  • @emelanmbogoro6307
    @emelanmbogoro6307 4 ปีที่แล้ว +1

    Iyo inasaundi gudii

  • @Bina_Kay
    @Bina_Kay 4 ปีที่แล้ว +19

    254🇰🇪🇰🇪 representing 😂😂

  • @ngumijinzwanilo153
    @ngumijinzwanilo153 4 ปีที่แล้ว +3

    Sema inasoud good😂😂😂

  • @saidomar9987
    @saidomar9987 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuhhh awa jamaaa noma💥

  • @omarykomba4302
    @omarykomba4302 4 ปีที่แล้ว +1

    Najua basii!!!!!!

  • @emmanueljonathan7178
    @emmanueljonathan7178 4 ปีที่แล้ว

    sema nyie wasenge ni wabunifu sana, hongereni sana

  • @mrschoty1632
    @mrschoty1632 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnyab kanrusha kazn leo nyie n 🔥🔥

  • @bakarisaid6973
    @bakarisaid6973 4 ปีที่แล้ว +4

    Sema inasound GOOD! 😂😂😂

  • @sadcommpalestina4530
    @sadcommpalestina4530 4 ปีที่แล้ว

    Mnajua sana mazeee nyie ndo bora kwasasa tz

  • @capitainrogers4990
    @capitainrogers4990 4 ปีที่แล้ว +29

    Sema Ina Sound Gudi😂🤣😂🤣

  • @omaryteddy7237
    @omaryteddy7237 3 ปีที่แล้ว

    Good good wanybi na mimi ni mnyabi 👊

  • @ombenimwampaxhe4375
    @ombenimwampaxhe4375 4 ปีที่แล้ว

    Very very wanyabi mnaweza😀😀😀 sana

  • @plexino1
    @plexino1 4 ปีที่แล้ว +6

    Seme Insaound Goody

  • @saidifereji4369
    @saidifereji4369 4 ปีที่แล้ว +2

    Una saund gud kweli hawa ndio wanyab

  • @manjaruujr146
    @manjaruujr146 4 ปีที่แล้ว

    sema ina sound good😆😆😆😅😅😅mkalimani snitch sanaa

  • @najatijafari9107
    @najatijafari9107 4 ปีที่แล้ว

    Sawa wanyambi nawakubali mno

  • @mussasanga6927
    @mussasanga6927 4 ปีที่แล้ว +20

    "Viatu vimenchoshaaa"

  • @itzbravotv2948
    @itzbravotv2948 4 ปีที่แล้ว

    Mnyabi mwanangu nimechoka kweli viatu vimenichoshaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 nimepapenda sana apaaa

  • @organizertz3109
    @organizertz3109 4 ปีที่แล้ว +4

    Nyieee wangeseeee kingeseeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @paulnyeusi9801
    @paulnyeusi9801 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanangu wanyabi

  • @fynmimo
    @fynmimo 4 ปีที่แล้ว +151

    nme like comments zte rudsha like twende sawa 1❤

  • @singeharuna5003
    @singeharuna5003 4 ปีที่แล้ว +3

    Wew una simu wew

  • @laurineurban4919
    @laurineurban4919 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂nakufa mm jmn Nawapenda .....ina sound gud😂😅😀😃

  • @officialhilstz
    @officialhilstz 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubali miaka buku

  • @paskokasumo4152
    @paskokasumo4152 4 ปีที่แล้ว

    Nmecheka sana yaan nyie wahun mnaweza

  • @shakilahamadi6349
    @shakilahamadi6349 4 ปีที่แล้ว +1

    viatu vimenichoosha 😂😂😂

  • @athury6084
    @athury6084 4 ปีที่แล้ว

    Pole mnyabi mana si kwa ilo ndula apo mguun lazma uchoke bana

  • @fundisuma3055
    @fundisuma3055 4 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha ... Ina sound gud

  • @yohanasteven6805
    @yohanasteven6805 4 ปีที่แล้ว +3

    Inasaundi gudi😂😂😂😂

  • @dee_photography
    @dee_photography 4 ปีที่แล้ว +2

    wanang wanyabii

  • @kidensaamduukidensa5977
    @kidensaamduukidensa5977 4 ปีที่แล้ว

    Safi san wanyabi sound very good

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 4 ปีที่แล้ว

    Inasound good tumerithi kwa bbzetu 😁😁😁😁😁🔥

  • @eddiedonald7483
    @eddiedonald7483 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema inasound good 😃😃

  • @geofreykitundu1326
    @geofreykitundu1326 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnyabiii😀😀😀

  • @doricelucky5003
    @doricelucky5003 4 ปีที่แล้ว +1

    myabiii sound good

  • @eliasmasali1824
    @eliasmasali1824 4 ปีที่แล้ว

    Wanyabia nawaelewa sanaa

  • @jonasmongi7811
    @jonasmongi7811 4 ปีที่แล้ว +47

    Taview ndo nn 😂

  • @wilsonsamora1883
    @wilsonsamora1883 4 ปีที่แล้ว +3

    Best comedian african and all over the world🔥🔥🔥🔥

  • @arubugastgervas3208
    @arubugastgervas3208 4 ปีที่แล้ว +4

    Sisi ndo wanyabiiiii!

  • @daudifabiani2240
    @daudifabiani2240 4 ปีที่แล้ว +5

    Viatu minenichoxhaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @raxystarboy1377
    @raxystarboy1377 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnatixha kk

  • @khanbaba8125
    @khanbaba8125 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha 😂 😂 😂 kila cku nakufunguaga ipo cku nitakufunga

  • @yusuphukidevu3012
    @yusuphukidevu3012 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubar kwel

  • @kiddmxat6046
    @kiddmxat6046 4 ปีที่แล้ว +15

    Mnyabi ilo cheni la n original or miyeyushoo㊗️😂😂😂😂

    • @victorsomba867
      @victorsomba867 4 ปีที่แล้ว

      Nyororo la kufungia mbwa wa police😂😂😂😂😂

    • @lucynguma1518
      @lucynguma1518 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha etii mbwa wa police

    • @kiddmxat6046
      @kiddmxat6046 4 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhh🤣🤣 wamenishinda tby wallah

  • @giftshery507
    @giftshery507 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnyabi umekula kyuti😁😁😁

  • @rebeccawikechi1974
    @rebeccawikechi1974 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda jamani nyie wabunifu yaani nimecheka kwanguvu😂😂😂😂