MAOMBI YA UAMSHO WA KUOMBA NA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU HAPO HAPO ULIPO .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 20

  • @zawadimgasha8593
    @zawadimgasha8593 4 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe unatusaidia sana kupitia yeye Mungu wetu Amen 🙏

  • @NyotaNyota-k3s
    @NyotaNyota-k3s 14 วันที่ผ่านมา

    Amina,baba nabarikiwa saaaaaana,kwa hii jioni n'a haya Maombi,wa mbinguni akuongezee,

  • @Lonaa-dm3nj
    @Lonaa-dm3nj 16 วันที่ผ่านมา

    N kweli kabisaa daddy Wacha mngu atupe wepesi Wa Kuomba n kusoma Neno Kwa damu ya yesu Kristo Aliye hai 🙏

  • @SalmaSa-f3x
    @SalmaSa-f3x 16 วันที่ผ่านมา

    Amen napokea nguvu ya maombi kwa jina la yesu

  • @JosphineMwasame
    @JosphineMwasame 16 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi wamungu amen 🙏

  • @Acc-ey6ie
    @Acc-ey6ie 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu nijaze maneno ya kuomba🙏

  • @MonicahMasanja
    @MonicahMasanja 16 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu nifundishe namna ya kuomba 🙏❤️

  • @LODRICKKAMBALE
    @LODRICKKAMBALE 15 วันที่ผ่านมา

    Amen pastor napokeya Nguvu aksante

  • @ChantalKanane
    @ChantalKanane 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu nirudishiye karama ya ndoto.

  • @LidyaWawuda
    @LidyaWawuda 16 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @REHEMASHAYO-i4l
    @REHEMASHAYO-i4l 11 วันที่ผ่านมา

    Amina Baba yangu nifunguliwe macho

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi 15 วันที่ผ่านมา

    amen

  • @KalthamAbdul
    @KalthamAbdul 16 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi

  • @MariamSindano-ty1lf
    @MariamSindano-ty1lf 16 วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @agnessamini8266
    @agnessamini8266 16 วันที่ผ่านมา

    Amene amene asante sana

  • @anitarafa
    @anitarafa 16 วันที่ผ่านมา

    Ukitamka kitu lazima kitatendeka. Because nimeona vitu vingi tu ...niko na imani kwako pastor ,,God bless you ❤

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 8 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu Kitabu cha Isaya 12 hakuna mstari wa 23. mwisho ni mstari wa 8.

  • @anitarafa
    @anitarafa 16 วันที่ผ่านมา

    Pastor tatizo ni bible kuelewa ndio shida kusoma nasoma vinzuri 2 uzito pia wakusoma.niombee kwa hilo Pastor

  • @linetokwena7807
    @linetokwena7807 16 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @ashuramuhammad8813
    @ashuramuhammad8813 16 วันที่ผ่านมา

    Amen