😮 Amen, naitisha nguvu za ulimwengu wa roho kutoka mbinguni ikuje hapa duniani iniondolee madhabahu ya shetani na roho zake kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu milele moyoni milango yangu yote ifunguke niwe na maisha yangu yarudi vyema
Bwana yesu asifie pastor Mimi mina shida mingi sana minataka munikamatishe kuomba mungu abadirishe ayamaisha
Amen I received new vision in 20 25
GOD AS YOU BLESS ME WITH NEW YEAR 2025 GIVE ME A NEW VISION
Rukia Rashid kalama mungu nifungulie nyota ya ndoa
Lord I lost my vision,,, Plz my Father Lord show me the directions of success with my kids na wanjukuu wangu
I received a new vision
Amen
😮 Amen, naitisha nguvu za ulimwengu wa roho kutoka mbinguni ikuje hapa duniani iniondolee madhabahu ya shetani na roho zake kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu milele moyoni milango yangu yote ifunguke niwe na maisha yangu yarudi vyema
Love and light always have the right vision and direction
I receive a new vision 2025
Amen 🙏
Pastor nimeelewa maana ya kufukuzwa na nyoka kwa ndoto naomba uhai kwa jina la yesu
I receive a new vision in Jesus name 🙏
2025 hakuna magonjwa kwa mwili wangu naomba mungu anitimizie mahitaji ya moyo wangu yote
Nimebarikiwa sana na kufurahia kuona mtumishi akipiga picha ya mwisho wa mwaka.Barikiwa sana mtu wa Mungu.
I receive a new vision of 2025 in Jesus name
Amen 🙏🙏🙏 t
Naomba 2025 uwe ni mwaka wangu afya poa kazi mzuri nyota yangu kung'aa kwa fujo na neema kwa fujo
Najiungamanisha nipone
Mimi ni mpalikiwa 2025
Dad hiyo picha😂😂😂😂😂😂
Naomba maono mapya mwaka WA 2025 uwe WA baraka kwangu
2025 hakuna mikosi kwa maisha yangu
Paster. Natamani kufika Huko kupata Baraka tang Lakini Sijui Nifanyaje
😂😂😂😂😂
Amean hakika BABA yetu wakiroho you're so fanny