ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

DIAMOND PLATNUMZ ASHINDWA KUJIZUIA KWA ZUCHU AMTAMBULISHA kama MKE WAKE/HUYU ZUCHU MUACHENI TU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 73

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 ปีที่แล้ว +20

    Allhamdullillah kwa caple hii Diamond na Zuchu kitu roho inapenda👍🙏🗣️🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️

    • @joanitajohn
      @joanitajohn ปีที่แล้ว

      Mbona zari anamchamba zuch eti yeye ni mke WA daimondi

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 ปีที่แล้ว +7

    Naipenda mno couple ya diamond na zuchu mpaka naumwa, chemistry zao zinaendana mno walai mungu ayalinde mapenzi! yao mpaka pumzi! zao za mwisho inshallah!

  • @juliejaphet2700
    @juliejaphet2700 ปีที่แล้ว +7

    Nampenda Zuchu sana Hana mashauzi so simple gal .

  • @lulu-xd7to
    @lulu-xd7to ปีที่แล้ว +16

    Hee mungu bless my favorite couple 💑

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 ปีที่แล้ว +13

    Jaman mtume kasema fichen uchumba tangazen ndooooaaa juma na dida mtasababisha mwenzenu asiolewe jaman atarogwa zuchu wangu jmn jmn jmn juuuuuuuuumaaaaaa dooooooomoooo ilooooooo uuuuuwiiiiii

  • @fridaisrael7672
    @fridaisrael7672 ปีที่แล้ว +11

    Diamond huyo mtoto wa watu ni binti mdogo sana tunakuomba usimharibie mtoto maisha yake utamchukiza Mungu

    • @raymsanii
      @raymsanii ปีที่แล้ว

      Mdogo wapi? Mwaka ujao Zuchu turns 30 years old!

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 ปีที่แล้ว

      Mtoto mdogo yupo kwa mama yake ananyonya. Zuchu mtuzima, mkubwa na azusa na mkubwa mwenziwe, eti mdogo kakojoe ukale wachie wakubwa wafanye mambo yao, huna macho vaa miwani. Huoni hata sauti huwezi kuifafånua

    • @amanimatata7891
      @amanimatata7891 ปีที่แล้ว

      Zuchu mtoto 😂😂😂😂

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @bonifaceetyang4453
    @bonifaceetyang4453 ปีที่แล้ว +5

    Wazanzibari hoyeeeee

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 ปีที่แล้ว +7

    Nimeipenda iyi couplé zuchu❤️diamond platnumz Simba

    • @lulusenzia4807
      @lulusenzia4807 ปีที่แล้ว

      Nawapenda nawaombea muoneni

    • @faymarobert6279
      @faymarobert6279 ปีที่แล้ว

      Jaman jump na dida mnanikela iyo midomo yen mnahalibu mamb khaaa

  • @kimah9461
    @kimah9461 ปีที่แล้ว +6

    Nice couple❤️❤️❤️❤️❤️❤️Mondi alikuwa chura na sasa atulie Zuhura

  • @japhetchristopher8209
    @japhetchristopher8209 ปีที่แล้ว +3

    Zuchu Nampenda

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 ปีที่แล้ว +10

    Yangu 👀 na nnawaombea dua🤲🙏mambo yawe safi tu isijekua mwisho kama wale wale

    • @yustayusuph9101
      @yustayusuph9101 ปีที่แล้ว +1

      Mwaka huu team zuchu tumejipanga👌afe kipa afe beki sisi tutabakia kuwa waamuzi 💪

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 ปีที่แล้ว +3

    Anafunga mchicha na mafuta yake ya Nazi 🤣🤣🤣🤣 mashallhhh daimondi anaswali zuchu Alla akulipe 🙏🥰🥰🥰

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว +9

    Jamani msituoneshe hayo tunataka harusi

  • @Honestly-Jenn61
    @Honestly-Jenn61 ปีที่แล้ว +11

    Beautiful couple 💑

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo unaswali na kumuomba mungu kesho unarudia kuvaa kichupi kwa hiyo mungu Kawa Babu yenu Mungu anakwambia usiache kuswali kwa ajili ya dhambi but acha dhambi Ili umrudie MUNGU

  • @aminaa3284
    @aminaa3284 ปีที่แล้ว +8

    Zuhura ♥️♥️

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว +1

    Allah awafanyie wepesi dai na zuchu wafunge ndoa i sha allah.maana dah kijanawetu anae peperusha bendera ya tz kwa mziki wake.kazinii kazizini jamani sasa imetosha owaa.

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 ปีที่แล้ว +7

    Nawapenda mond with zuchu❤️

  • @lailadaud5503
    @lailadaud5503 ปีที่แล้ว +4

    didaaaa haaaa nimeipenda iyooo

  • @christinaally5105
    @christinaally5105 11 หลายเดือนก่อน

    Wawooooo.wifiiy.❤nakupendaaaaaa.sana

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว +2

    kama niti zuchu ajentina na kama mchezaji daimondi ni mes.lazima achukue kombe zenji alilete bara.daimond shikilia baba allah kakupa utake nini dai donda ulie?kula raha owa baba wambea walekee kibla watubu.

  • @meggygitau4079
    @meggygitau4079 ปีที่แล้ว +4

    Diamond Alikuwa anamuita wema Mke wake!!!

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 ปีที่แล้ว +5

    Jaman tunataka haruuuusiiiiiiiiii

  • @kassmuhaji6909
    @kassmuhaji6909 ปีที่แล้ว +4

    Mamaangu Adina kopa kma mnakumbuka dida na juma alisema Kia diamond anatafuta na ataupat sasa mjue mkiskia marashi ya karafuu mjue si karafuu Tu na mafusho

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 ปีที่แล้ว +3

    Juma lokole mjinga eti akija uku yoyoyoyeyooo lkn anafanya ibada daimomdi 🤣🤣🤣🤣

  • @emmymwakatobe3684
    @emmymwakatobe3684 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo juma

  • @leonidamachuru5960
    @leonidamachuru5960 11 หลายเดือนก่อน

    La heli

  • @rehemaayaga5959
    @rehemaayaga5959 ปีที่แล้ว +2

    Ata mimi ni mke wa diamond alaa 🤣🤣

  • @ericaanu6538
    @ericaanu6538 ปีที่แล้ว +1

    Wanamuogopa kuchambwa na mmama Michel jamani😂😂

  • @janetdama4923
    @janetdama4923 ปีที่แล้ว +2

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mesaicloud6452
    @mesaicloud6452 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀

  • @tato8979
    @tato8979 ปีที่แล้ว +2

    Siyo kiki hiyo

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 ปีที่แล้ว +1

    Wamefichaaaaaa sasa yamewashinda, kweli penzi ni kikohozi

  • @najmasaleh5536
    @najmasaleh5536 ปีที่แล้ว +1

    Anasali masha ache kurusha maziwa na kuvaa uchi

  • @shaisoho9033
    @shaisoho9033 ปีที่แล้ว +3

    Kijana alikuwa anaelekea uzeeni

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 ปีที่แล้ว +2

    Kila siku barua eti kesho mara mwakani🙄🙄🙄🙄

  • @mundelejudith3940
    @mundelejudith3940 ปีที่แล้ว +1

    Dida ???????🤣🤣🤣🥰🥰🥰

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว +1

    Kutufanyiya hayo montessori ni kudhalilisha familiya zenu

  • @thequ33en65
    @thequ33en65 ปีที่แล้ว

    Salaa gani jamani kwa nywele zile

  • @manirambonahawa3798
    @manirambonahawa3798 ปีที่แล้ว

    Anatowa ulimi kama nyoka kashezi hawk wana kusifiwa zuchu

  • @nyandatesther6045
    @nyandatesther6045 4 หลายเดือนก่อน

    Juma Lokole na umbea😂😂😂

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว

    tukubali tukatae kila shetani na buyule.daimond nishetan na buyule ni zuchu.mtakaa kupiga ombea mtasimama zuchu na daimond daimond na zuchu mpaka ndoani.allah akipanga lake keshalipanga.wakupangua hakunaaaa.kula raha mke ndio huyo dai shikilia babaaa.

  • @manirambonahawa3798
    @manirambonahawa3798 ปีที่แล้ว

    Mondi usisahawu aliye kuwa mbali vizuri amekuwa kuwa imeka hiyo umbeya wenu

  • @khamishafsi6468
    @khamishafsi6468 ปีที่แล้ว +3

    Kwaiyo juma nae wifi yake zuchu

  • @mwabiawahadi6247
    @mwabiawahadi6247 ปีที่แล้ว +4

    Nawpend Zuch Na Diamond

  • @doricedeluxe9486
    @doricedeluxe9486 ปีที่แล้ว

    Nyie nao anaswali anaswali mbona hawafungi ndoa wanazini? Dai anajua analotafuta hapo

  • @athuman7480
    @athuman7480 ปีที่แล้ว +2

    Tokeni zenu uko swala na rasta wapi

    • @shaisoho9033
      @shaisoho9033 ปีที่แล้ว

      Inawezekana,,,,,,rasta ni nywele yake OG,,,,udhu unaingia,,,,,,,rasta ambayo haiingi udhu ni ile ya kubandika,,,,,,,,kwa hiyo swala na rasta OG ni sawa,,,,,muhimu zinaingia maji,,,,,,binafsi nina rasta ndefuuu zina miaka 13 sasa,,,,naswali kila kipindi,,,Alhamdulilah

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      @@shaisoho9033 na hayo madenda mitandaoni? Siko kwenye dini bali maadili si Sawa ukizingatia wao ni vioo vya jamii.

    • @Ummu-Nauthar98
      @Ummu-Nauthar98 ปีที่แล้ว

      @@shaisoho9033 Kwa mwanamme haruhusiwi kusuka iwe Rasta au nini hio ni sawa na kujifananisha na Binti kwahio ni haramu udhu hauingii, na wanaume wanaoeka Rasta wanatumia sjui gel ambayo imehusishwa na alcohol katika utengenezaji kwaivo ushu hauingii na Binti ikiwa ni Rasta ya kuongeza haifai ikiwa ni ya nywele yake ndio sahihi

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 ปีที่แล้ว +1

    Haowi mtu

  • @ruznaabdullah2050
    @ruznaabdullah2050 ปีที่แล้ว

    TUNAEEEEEEEEEEH

    • @aisharamadhan8361
      @aisharamadhan8361 ปีที่แล้ว

      Same
      Naomben muwaliko t jaman kwa wifi yangu zuchu nawaomb niwep t maana nataman abadilika nasibu awe na zuchu t

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 ปีที่แล้ว

    Alisema Tanasha mke wake

  • @kidotanne429
    @kidotanne429 ปีที่แล้ว

    Dida😂😂Juma unaendaga south wewe

  • @josephinalubanguka1884
    @josephinalubanguka1884 ปีที่แล้ว

    Cha ajabu nini