Homilia Jubilei ya Padre Dkt Faustine Kamugisha / Padre Mutalemwa: Tusiwe wanafiki / "Tupendane"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Homilia ya Padre Jonathan Mutalemwa wa Jimbo Katoliki Tanga, katika Adhimisho la Misa takatifu ya Daraja takatifu ya Upadre kwa Padre Dkt Faustine Kamugisha wa Jimbo Katoliki Bukoba.
    Misa takatifu iliadhimishwa na Padre Dkt Faustine Kamugisha, nyumbani kwao Kijiji cha Kyamlaire Bukoba Vijijini Jimbo Katoliki Buoba.
    www.radiombiu.co.tz
    #RmSautiYaFaraja

ความคิดเห็น • 3

  • @liberatusmpaka3847
    @liberatusmpaka3847 วันที่ผ่านมา +1

    Asantee sn baba kwa maubiri mazuri , ama kweli tunajionea na tunamshukuru mungu kwa zawadi ya upadre wa Padre dkt. Kamugisha kwa utume uliotukuka

  • @ElishaKasambo-yu5jt
    @ElishaKasambo-yu5jt 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Abarikiwe Pd. Kamugisha

  • @edwardedwardbuberwa3701
    @edwardedwardbuberwa3701 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni Parokia gani hilo lilikoadhimishwa?