ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Chadema WAZUNGUMZA kukamatwa kwa kiongozi wa BAVICHA "Haijulikani alipo"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2022
  • Baraza la Vijana Cha Chadema(BAVICHA) wameiomba Serikali kusaidia kupatikana kwa Katibu Mwenezi wa BAVICHA Twaha Mwaipaya ambaye amepotea kwa zaidi ya masaa 48 mpaka sasa na bado haijulikani wapi alipo
    Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi julai 2, 2022 jijini Dodoma Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chama Chadema (BAVICHA) John Pambalu amesema mpaka sasa taarifa kutoka kwa wanandugu na majirani zinadai amepelekwa jijini Dar es salaam kwaajili ya upekuzi.

ความคิดเห็น • 30