MCHOME MAPOVU APAGAWA NA CHAMA/KAZALIWA UPYA SIO MZEE/YANGA BINGWA MPYA/WATAIFILISI SERIKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
  • #azizki #alikamwe #hersisaid #live_ #mayele #yangaleo #yangatv #yanga #msuva #yangasc

ความคิดเห็น • 97

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 2 หลายเดือนก่อน +62

    Anaemfagilia mchome na madini yake like apa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 หลายเดือนก่อน +25

    Mlisema mzeee Leo kakomesha saaana hallo Yale magori katisha aise

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 หลายเดือนก่อน +15

    Chama wa Moto kongole kwake🎉🎉🎉🎉

  • @RAJABUALLYCHANDEALLYCHANDE-n4i
    @RAJABUALLYCHANDEALLYCHANDE-n4i 2 หลายเดือนก่อน +18

    Jamaa Yuko vizuri sana

  • @ZuhuraNhumbi
    @ZuhuraNhumbi 2 หลายเดือนก่อน +11

    Hongera Kaka mchome ulikuwa unashangilia

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 หลายเดือนก่อน

      Nikajua nimemuona peke yangu

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 หลายเดือนก่อน +18

    Chama yupo. Vizuri sana bado simba wakikutana na yanga lax chama apige bao

  • @iddfundikira2817
    @iddfundikira2817 2 หลายเดือนก่อน +45

    Chama asist 4 Goli 1 mpigieni makofi kwa like nyingi hapo!!!!

  • @HalfanStanley
    @HalfanStanley 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dube yupo vizuri sana

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 2 หลายเดือนก่อน +10

    Asante chama umewaziba mdomo

  • @emmanuelsamwel6220
    @emmanuelsamwel6220 2 หลายเดือนก่อน +10

    Naomba namba ya mchome mapovu huyu ni mwamba kweli kweli siyo mnafiki nipeni namba za simu za mwamba huyu

  • @KeresaWerema
    @KeresaWerema 2 หลายเดือนก่อน +10

    huyu mchome atawakera sana na bado mpaka waseme tu.

  • @emmymshomi8893
    @emmymshomi8893 2 หลายเดือนก่อน +5

    Lakini kwann mchome kafurahia sana goli la penat . Kashangilia kwa nguvu nimemuonaaa😂😂😂😂

  • @LeticiaBukuku
    @LeticiaBukuku 2 หลายเดือนก่อน +13

    Naomba namba ya huyu mchome nampenda huyu mkaka nyie anavo ongea to mashallaa

    • @AfroMakonde
      @AfroMakonde 2 หลายเดือนก่อน

      Boa noite querida.

  • @Mariejo123-g2x
    @Mariejo123-g2x 2 หลายเดือนก่อน +3

    Chama is man of the match 💚💚💛💛🇹🇿🌻

  • @DominaFidelis
    @DominaFidelis 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asantee Mchome🙌

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaha!wazee wa ubaya ubwela tafteni wadogo wadogo zaidi yaani under 15waje wamkabe chama,na mkienda na ulimbukeni msimu ujao mnaenda kusajili wazee watupu!!Siri niwaibie nyie makolo kuwa na timu Bora ni kuwa na uongozi Bora unaojuwa mpira Wala siyo umri wa mchezaji,mkiwa na mentality ya umri wa wachezaji mtakuwa mnabadili wachezaji mnabaki pale pale,Leo ronardo ana miaka 40kasoro miezi isiyo zidi 8 ila uwanjani ana balaa hata kijana wa miaka 20 hamfikii

  • @KarangwaDavid-nr8cm
    @KarangwaDavid-nr8cm 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mchomi nakukubali sana

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 หลายเดือนก่อน

      Umekua Bambo kaka😂😂😂

  • @user-gs7yo3tj1t
    @user-gs7yo3tj1t 2 หลายเดือนก่อน +5

    Bado hamjasema yaan badooooo mpaka mseme 😂😂

  • @nkwajevipodozishop6012
    @nkwajevipodozishop6012 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi juu yakazi

  • @mariaerenest5632
    @mariaerenest5632 2 หลายเดือนก่อน +8

    Waambie

  • @ImaniAndrea-y1k
    @ImaniAndrea-y1k 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubali

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 2 หลายเดือนก่อน +3

    Chama aliongerewa Sana eti ni mzee leo hii kawafunga mdomo

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 2 หลายเดือนก่อน +2

    Totofei ana mikosi mkata miuno

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Gonga like za mchome hapa jamaa anajua boli sana hana unafiki

  • @MariaFrancis-dt1ht
    @MariaFrancis-dt1ht 2 หลายเดือนก่อน

    Ki ukweli nampenda Alli kamwe yaani anavyoengea tu kwa kweli he is good hongera kijana wetu

  • @blacknighttv7148
    @blacknighttv7148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kelvin musonda au kenedy musonda?

  • @dismanManota
    @dismanManota 2 หลายเดือนก่อน +11

    Wambia wajue

  • @crystopherjoenas
    @crystopherjoenas 2 หลายเดือนก่อน

    @scope hebu angalieni quality ya video zenu tafadhali

  • @emmanuelsamwel6220
    @emmanuelsamwel6220 2 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba mamba ya mchome huyu ni mamba kweli kweli siyo mnafiki

  • @HamidaMohamedi-s2r
    @HamidaMohamedi-s2r 2 หลายเดือนก่อน

    Mchome mapovu uko vizuri sana

  • @mlangaliromwenda6945
    @mlangaliromwenda6945 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchome umeongea ukweli.

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin 2 หลายเดือนก่อน +2

    CHAMA NI MTU NA NUSU HANA MSHINDANI KWA UPANDE WAKE❤

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน +1

    Triple C🎉🎉

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd 2 หลายเดือนก่อน

    Kachez na team gan

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 2 หลายเดือนก่อน

      Amecheza na Simba game ya kwanza kashinda 5, game ya 2 kashinda 2 game ya tatu kashinda 1 😂😂😂😂😂😂😂

  • @amnicketv730
    @amnicketv730 2 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chama ni mzuri,waliomuita mzee.wapowapi ,ubaya ubwege mpo,mwamtaka tena eeeee

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chama katupa Raha sanaaaa

  • @Dadu-i6v
    @Dadu-i6v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dube. Chama. Huezipeana wachezaji wako kwa team bora kisha nawewe utake kuwa bora. Yanga wanatumia mbinu ya Bayern munich na Barcelona. Wananunua wachezaji wazuri kutoka kwa timu za ndani ya nchi sababu watakua mbele kwa uzoefu tayari kuadopt.

  • @HamicRashid
    @HamicRashid 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mwamba pembeni ndio bodgudy naona yuko makini hatari😂😂😂

  • @azmedmtwana8135
    @azmedmtwana8135 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mchomi ananifurahisha 😂😂

  • @haidarysalehe9056
    @haidarysalehe9056 2 หลายเดือนก่อน

    AZAM VIUNO VYA FEI VINAWALA HADI LEO😂😂😂😂😂😂

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chama amepamba moto.

  • @amiridaudi9233
    @amiridaudi9233 2 หลายเดือนก่อน

    aisee mbona sauti haiko poa kwenu

  • @josephjila957
    @josephjila957 2 หลายเดือนก่อน

    Chama lazima angae vitalo O walikuwa pungufu ya wachezaji wawili

  • @abuumapozi
    @abuumapozi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu wanapenda mchezaji nasio timu

  • @haidarysalehe9056
    @haidarysalehe9056 2 หลายเดือนก่อน

    AZAM miuno😂😂

  • @abdillahmchia8557
    @abdillahmchia8557 2 หลายเดือนก่อน

    Tumuombe msamaha chama Jaman wote waliomtukan na kumbeza

  • @FrancisiElias
    @FrancisiElias 2 หลายเดือนก่อน

    😂kaka machine unajua bori

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig
    @JosephBWAGIZO-fs5ig 2 หลายเดือนก่อน +3

    Azam wanaboa sana

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo kelvin musonda ni wa team gani??😂😂😂

  • @AmanaAmos-hv3yz
    @AmanaAmos-hv3yz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Azam anazingua kweli

  • @Amaniolodi-c6f
    @Amaniolodi-c6f 2 หลายเดือนก่อน

    Anaitwa kened msonda sio kelvin msonda😂😂😂😂

  • @AlexRichad
    @AlexRichad 2 หลายเดือนก่อน +4

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @SettyRukoloto
    @SettyRukoloto 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mchome uko sahihi

  • @jeedymasoud4269
    @jeedymasoud4269 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchomeeeeeee

  • @ShafiiKikopa
    @ShafiiKikopa 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ww unaweled na mpira

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kenedy msonda na sio Kelvin musonda nyie sio watu wa mpira

  • @CharlesSylvester-r3r
    @CharlesSylvester-r3r หลายเดือนก่อน

    Hahahahah 😂😂

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 2 หลายเดือนก่อน +1

    Et Kelvin musonda🤣🤣🤣

  • @Bulationlinetv
    @Bulationlinetv 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka umekua makini sana kwa kuangalia mpira. Sasa nachokushauri vua hiyo jezi ya simba tupa mbali

  • @MrMatikiti_kudondoka
    @MrMatikiti_kudondoka 2 หลายเดือนก่อน +2

    ila azam....

  • @malackhassan6383
    @malackhassan6383 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mchome km mchome jembe langu sanaaaaa

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa anaitika kama alikuwa hasikii vile

  • @Emanuelsilas-b8s
    @Emanuelsilas-b8s 2 หลายเดือนก่อน +1

    mchome unatisha bro

  • @RaphaelMlaga
    @RaphaelMlaga 2 หลายเดือนก่อน

    mwangu mchome wewe ni mtu na nusu haupo kama machawa akina GB64 na kisugu, hawa hawaajielewi na hawaufahamu mpira wanaongea ki uchawa wewe naa mzee saidi ni watu wa mpira kweli.

  • @MariaBalkisi
    @MariaBalkisi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafki tuu ww shabiki wa yanga tunakujua

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mtu akisema ukweli eti huyu yanga😃😃

  • @StellaPendaeli
    @StellaPendaeli 2 หลายเดือนก่อน

    Natafuta comment ya makolo😂

  • @sylivestermwasile4203
    @sylivestermwasile4203 2 หลายเดือนก่อน

    Sio kelvin ni kennerd msonda

  • @OmaryBabere
    @OmaryBabere 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poaw kaka

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 หลายเดือนก่อน

    Mchome acha kuwasifia hao utopolo unaowapa vichwa

    • @KennedyJohn-p1i
      @KennedyJohn-p1i 2 หลายเดือนก่อน

      Hay simba bora apo je umepat nn

  • @jacksonenock5231
    @jacksonenock5231 2 หลายเดือนก่อน

    Mchome anaujua mpira

  • @paulinkisirani2227
    @paulinkisirani2227 2 หลายเดือนก่อน +3

    Azam nikama psg

  • @siliviasimon7970
    @siliviasimon7970 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂🔰🔰💚💚💚

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo maa dube alipaona mapema akasepa Azam utoto mwingi sana

    • @BerthaSimon-bn7oc
      @BerthaSimon-bn7oc 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂uhakika,,APR wamejipigia huko

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 หลายเดือนก่อน

      Yule jamaa akate tena mauno😅😅

    • @BerthaSimon-bn7oc
      @BerthaSimon-bn7oc 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@mamboshepea8888 atakata mauno huko mtaani kwao akiwa anazungusha juice za ukwaju mana mashindano ndo bye bye 🤣🤣🤣🤣

    • @MajaliwaMadua
      @MajaliwaMadua 2 หลายเดือนก่อน

      Ukitaka kujua kama mchome ni Simba angalia Simba ya miaka nne ndio utajua alikua sana kindakindaki wa Simba.

  • @jeedymasoud4269
    @jeedymasoud4269 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona midekooo

  • @GoldenLwila
    @GoldenLwila 2 หลายเดือนก่อน

    Kevin musonda,????

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mideko FC

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 2 หลายเดือนก่อน

    Anaitwa Kennedy musonda sio Kelvin nyie washamba

  • @ZephaniaKirway
    @ZephaniaKirway 2 หลายเดือนก่อน

    Azam vp mbn wana mambo ya ajabu

  • @AlphonceJuma-c8t
    @AlphonceJuma-c8t 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamb nimeambia kuwa ww unapenda kusema ukwel

  • @abdallahmillanzi8305
    @abdallahmillanzi8305 2 หลายเดือนก่อน

    Mbn haitoi saut

  • @salvatoryoscar823
    @salvatoryoscar823 2 หลายเดือนก่อน

    Kutumia chelsoo kwenye mgomba

    • @halson827
      @halson827 2 หลายเดือนก่อน

      Chainsaw sio chelso.....

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@halson827😂😂😂😂

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 2 หลายเดือนก่อน

    Tulieni bado inanyesha tujue panapo vuja,

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa anaitika kama alikuwa hasikii vile