🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @thomasnachenga795
    @thomasnachenga795 2 หลายเดือนก่อน +2

    TANOOOO 🖐🏽 Oya INAUMA IO

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 2 หลายเดือนก่อน +2

    Good achana nao wacha wajaze uwanja sie tunajaza makombe

  • @emmanuelbirore7679
    @emmanuelbirore7679 2 หลายเดือนก่อน

    God hajawai kujua kuongea huwa anapiga kelele tu

  • @estherjoseph229
    @estherjoseph229 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona kelele huyo yanga

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa kujaza uwanja ndio hojaa?
    Kwani game ya Alhal si mlisema tiket sold out mechi inaendelea mapengo matupu.
    Hahahaaa!

  • @estherjoseph229
    @estherjoseph229 2 หลายเดือนก่อน

    Mnalazimisha nyir utopolo chura wa jangwani😊

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu apa😂

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 หลายเดือนก่อน

    Ila binamu unakera daah tanoooo

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 หลายเดือนก่อน

    Wache wajaze watu sisi tujaze makombe 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki wa yanga mnapatashida yanini kubishana mashabiki wa Simba hao wasiojielewa hapo hatakadi ya Simba hana

  • @MassoudAlly-c9e
    @MassoudAlly-c9e 2 หลายเดือนก่อน

    Kuisha kwa tiketi ni kununua mtu alafu na yeye akalangua msitake kudanganya watu hapa, wananchi tulio wengi hali zetu tunazijua sisi wenyewe mitaani. Maana mashabiki wa simba baazi tuna waungisha mitaani wanunue jezi mpaka tiketi tuna waungia ili wanunue

  • @felixisoler2938
    @felixisoler2938 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli tano inauma😂

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu wewe umeshakula 6 ujue uto

  • @MariamKilimba
    @MariamKilimba 2 หลายเดือนก่อน

    ni halali tiket ziishe maana tiketi 5000 maana watu wengi wa simba hawana kz sasa watapata wapi pesa madunduka bhna

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน

    utoporo wanalazimisha watu wao mitaani mbona mlisema hamuwezi kuingia Mitaani?

  • @ibrahimurichard377
    @ibrahimurichard377 2 หลายเดือนก่อน

    this is worst interview you have ever done,next time kuwa serious na bando letu,usituletee tena haya makelele uliotuletea leo