🛑FRIJI BOVU : CV YA KOCHA WA YANGA SEAD RAMOVIC HAIRIDHISHI ANABURUZA MKIA SOUTH, ATAIWEZA YANGA ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @AshaShariff-lr6ry
    @AshaShariff-lr6ry 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiyo timu aliyetoka huyo coach si ndio timu ilikuwa kwenye kombe la toyota na ndio walikuwa vibonde

  • @NyangilaMwessanyangila
    @NyangilaMwessanyangila 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe muongo sana kocha Alisha iacha timu baada ya kuwa wachezaji wake wazuri wanauzwa, na timu ya Tx garacx sela yake ni kuuza wachezaji.

  • @mc-omoro2366
    @mc-omoro2366 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aache uongo Simba walishakuwa na Coach ambae alishakuwa Goal Keeper nae ni James Sianga kutoka Kenya.

  • @KulwaDeogratiusKunda
    @KulwaDeogratiusKunda 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mmmmh 😅😅ninacheka ila hapo utopolo wameyakanyaga😂😂

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      panya road subiri muda ufike usiwe na haraka

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachambuzi acheni bendera fata upepo yanga bingwa tena na tena tabu iko palepale daima mbele 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmeyakanyaga hakuna kitu hapo, mfa maji haachi kutapa tapa.

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona anatubeba apo

  • @SweetbethKagoma
    @SweetbethKagoma 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Duuh utopolo ad huruma sio kwa kutapatapa ka mfa maji😂😂

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Panya road subirini muda ufike mtupe points zetu 3 kama kawaida

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sawa alimuwa anabuluza mkia ila wewe friji bovu na Enginia nani mwenye akili na plani ya timu yanga?

    • @JuliusMbikilwa
      @JuliusMbikilwa 34 นาทีที่ผ่านมา

      Friji ana akili ya mpira zaidi ya injinia