Asante miraji make makolo na wachambuzi uchwala wengi wanakimbilia tu takwimu za Msimu huu kongole kwako sisi mashabiki wako tumelizika kwa maelezo yako🎉🎉🎉
Ushindi waliokua wanaupata Utopolo hii inaonyesha sio ujuzi wa kocha, ni jitihada za Viongozi wa Utopolo za kuwaonga marefa, na kuzidhamini baadhi ya timu pindi wanapokutana nazo waeze kulegeza, hilo Viongozi wa Utopolo wanalijua ndio maana hawajafikiria juu ya swala la kumfukuza Gamondi
Azam akitaka apite katikat ya yanga na simba nayy asimamishe utawala wake atimue uongoz wote alete watu wa nje ambao sio mashabiki wa simba wala yanga atatoboa lkn hao mashabiki wa simba na yanga hao atapata sana hasara
Lakini leo nimegundua kitu tulivyo kuwa tunasema timu inacheza vibaya miraji ulikataa na ukutaka kuamini leo unakuja ni sawa twende ivyo ivyo familia yangu mpaka wapotee kabisa si wanakusikiliza sisi tuaangalia mpira kiufund Sana kka
KUNA WATU WATASEMA MIRAJI AMEPEWA HELA ILI AIONGELEE YANGA VIZURI. SEMENI UKWELI, MIRAJI ANAJUA SANA KUCHABUA MPIRA MBALI NA USHABIKI🎉
miraj anawapa moyo tu msilie
Nakuelewa Sana miraji
Asante miraji make makolo na wachambuzi uchwala wengi wanakimbilia tu takwimu za Msimu huu kongole kwako sisi mashabiki wako tumelizika kwa maelezo yako🎉🎉🎉
Leo wa kwaaza apaaaa
Mara moja hunaga baya🎉🎉
Familia chukueni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mmetisha sana 🙏🙏🙏❤❤❤❤
Miraji kocha kama kocha 🙌
Miraji mtu wa mpira nakukubali sana
💥
Miraji chawa tu namkubali #Kisugu
Miraji uko vizuriiii😂😂
Nakuombea Saana upate Ajira Mwamba, Wewe unachambua mpira na Sio Ushabiki
Mzee said tunamtka
Uyu yanga chawa mmoja2
Ushindi waliokua wanaupata Utopolo hii inaonyesha sio ujuzi wa kocha, ni jitihada za Viongozi wa Utopolo za kuwaonga marefa, na kuzidhamini baadhi ya timu pindi wanapokutana nazo waeze kulegeza, hilo Viongozi wa Utopolo wanalijua ndio maana hawajafikiria juu ya swala la kumfukuza Gamondi
Pama kama pama. Mzee miraji leo umetokelezea kama bwana shamba😂😂
uyu alishawahi tuambia kapombe aliuza gem
Mimi nitakuwa mtu mwisho kabisa kumwamini huyu kocha mpya wa Yanga. Mi naona huwezo.
Wewe pegkine hunaziguwa
Miraj mpira unaujua
Azam akitaka apite katikat ya yanga na simba nayy asimamishe utawala wake atimue uongoz wote alete watu wa nje ambao sio mashabiki wa simba wala yanga atatoboa lkn hao mashabiki wa simba na yanga hao atapata sana hasara
Simba wamefurahi saana this is a mistake young watajutia hili .
Mimi ni shabiki wa Yanga Saana, Lakini Namkubali Saana Miraji, Anaongea mpira tupu. Miraji unafaa upate Kazi ya uchambuzi Crown Media Kaka
Mi nawapenda nyie vijana mnauzalendo was kweli
Uyu nae chawa aliochangamka 😅😅 nandomaan kapata ufupi angekua mrefu angezidi kutusumbua
Lakini leo nimegundua kitu tulivyo kuwa tunasema timu inacheza vibaya miraji ulikataa na ukutaka kuamini leo unakuja ni sawa twende ivyo ivyo familia yangu mpaka wapotee kabisa si wanakusikiliza sisi tuaangalia mpira kiufund Sana kka
Miraji mtu wa mpira xana japo mimi ni shabeki wa yanga namkubali xana anazungumza mpira halisi
Kuwapiga makolo mara4mfululizooooo
wananchi hatutaki uvumilivu
Nahsi hata klabu bigwa out,
kwamba furaha na kocha wao imekata ghafla baada ya msimu kuanza?
Sina lakusema mmi
ata huyo atafukuzwa tusubiri
Naanza kukushusha mdo mdo,
Huyu Bwana Miraji ni Chawa km chawa wengine,
Waambie Yanga wameyumba, waulize Simba kuhusu Benchikha mpaka waje wajipate ligi inaanza kukata
Subutuuuu😂😂😂
Nilikuwa na subili milaji na mchome tuuuu
Chagamba wapi dosa leo
Walikua wakifunga kwaajili ya misindano na uchawi Hadi gamondi alikua mwanga tutaona Sasa
Unavizibitisho ?
Nidhamuuu
Ila makocha wana kazi ngumu hawakawii kufukuzwa kazi 😂
Cjui italuwaje,!"ila tungoje tu itavokuwa,""GAMOND is another level bro""Mungu isaidie Yanga yetu
Ndio miraji hata docter alifuluzwa na akasema kama gamondi ndo alisema kama hamutaki gamondi tu ni shida aende kibwana wetu arejee
🥰
UBAYA UBWELAA
Miraji unamuonaje kocha mpya wa yanga mjerumani huyo yanga atatoboa tunao muamini kocha huyu ni bora nipeni like ❤ zangu
Ndo nn sasa😂😂😂
Miraji anapenda sifa kwa watu wa yanga anataka na umaarufu pia
Toka tabora iifunge leo ndio nimepata nguvu kuja kukoment kwa chagamba