🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA PHILIPO SEHEMU YA 2 - MACH 19 /2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuxhukuru xan da Vero maaana unatupa somo kila iitwapo leo mungu akubariki xan 🙏🙏

  • @roseurio4983
    @roseurio4983 9 หลายเดือนก่อน +3

    Naitwa Rose ni kmr dada Vero unasimlia vizr sana jamni barikiwa ...kwenye uduma hizi Kuna vita sana mungu akushindie Filipo

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hii madhabahu alioalikwa filipho kwenda kufundisha watumishi haikua madhabahu ya mungu ninavoona ilikua na makandokando hapakua na mungu🙊🙊

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 9 หลายเดือนก่อน +4

    YAJAYO YANAUDHUNISHA😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @gracesuguta
    @gracesuguta 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani VERO nahisi Philipo anaingizwa kwa mchungaji wa ROSE 😂😂😂😂😂😂

  • @RosharioSemwija
    @RosharioSemwija 9 หลายเดือนก่อน

    Jamna philipho ajawahi pana hata nafuu kidg kweny maisha yake ,,,Mungu amtie nguvu philipho

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 9 หลายเดือนก่อน

    Dada Vero mimi naitwa Angel mimi msikilizaji sana wasimulizi napenda unavyosimulia unasauti nzuri sana tena sana

  • @QueenFelex-x5y
    @QueenFelex-x5y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila da veronica jmn uku hoi mm khaaaa eti.k cm changu kimechakaa duuuuh unajuwa unjuwa tena na tena ❤

  • @SalaAntony
    @SalaAntony 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman mbona majang😂

  • @alexassey2968
    @alexassey2968 9 หลายเดือนก่อน +2

    Na kupata

  • @MajaliwaElias-ho1et
    @MajaliwaElias-ho1et 9 หลายเดือนก่อน

    I love you Efm

  • @stellamwapinga6944
    @stellamwapinga6944 9 หลายเดือนก่อน

    Hao wapo sana philipo Mimi nakuelewa ni maneno ya kichawi

  • @AshaAlfred
    @AshaAlfred 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kama nimewahii kumsikia anasimulia ila sjuiii ngoja tuendelee

  • @stellamwapinga6944
    @stellamwapinga6944 9 หลายเดือนก่อน +1

    Utupu wa kiroho ni hatarii mno

  • @lizymwakyusa8798
    @lizymwakyusa8798 9 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Evi rickyson mziray baba vero kanisa la kaka filipo lipo wapi.

  • @NasraRama
    @NasraRama 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nataman n mimi siku n mim niletehee simuliz kwenu

  • @jacklinemassawe9028
    @jacklinemassawe9028 9 หลายเดือนก่อน

    Hii story inataka kafanana na moja da vero alitusimuliga yule kaka alitoka gerezani akawa mtumishi akatumiwa nauli kwenda dar kumbe ni kwenda kusafirisha madawa ya kulevya 😂😂😂

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 9 หลายเดือนก่อน +4

    Aisee tunakoelekea ataingizwa kwa shetani asante kwa simulizi

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu 9 หลายเดือนก่อน

    eehe filipo unaenda kudondokea kwa fire masoni jamani maisha haya mungu akutangulie

  • @ochudady
    @ochudady 9 หลายเดือนก่อน

    Dada Veronica naomba niulizie na vip wanavyo tuambia wanatoa misukure ivi nikweli

  • @banguha
    @banguha 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila watumish tulio nao siku hiz Mungu atusaidie sijui tunaponaje

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo inatisha hata kumjua aliye WA Mungu kweli

    • @banguha
      @banguha 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@MsAggie5 ndugu mm hata nachoka najiuliza cjui niache kwenda kanisan nisali nyumbani? Mm hata sielew hasa jij letu la dar limechafuka sana kila mtumish anataka mafanikio ya haraka Yan kwa dalili ninazoona sion hata huduma iliyo sahihi wengi ni mazingaombwe Mungu wa Mbingun atusaidie jmni

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@banguhamimi Ninasali home nashukuru Mungu kwa kila jambo

    • @vickysteven1172
      @vickysteven1172 9 หลายเดือนก่อน

      ​@dayana5513story😅

    • @banguha
      @banguha 9 หลายเดือนก่อน

      @@dayana5513story ila Mungu amesema rukusanyike bado tunatakiwa kusikiliza mafundisho amesema wakusanyikapo wawil watatu yeye yupo mm naona cha msingi tulud magotin kumuuliza Mungu tusitawaliwe na hisia na miujiza

  • @janemalongo5417
    @janemalongo5417 9 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @YacntaJohn-i7c
    @YacntaJohn-i7c 9 หลายเดือนก่อน

    Mazabau za nguvu za giza

  • @Gracesamwel-w9w
    @Gracesamwel-w9w 9 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI
    @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢