Mie umri wa Mercy nilikuwa na ratua wavlana makofi. usimubufu tuu kidogo nilikuwa nasema ngoja naja, namfata ma mwiko namgonga kichwa paaaa..hasira kali inawaka..mpaka nikamaliza chuo kikuu nilikuwa sitaki mchezo kabisa mie
Safi sana hivyo ndivyo inavyo takiwa sio kuendekeza matamanio ya kuana unapendwa. Vijana wakorofi sana na mwisho WA siku anaye haribikiwa ni msichana wao wanaendelea na masomo na maisha yao
Mercy pole sana, huyo kijana sio mstaarabu na kama ukiendelea kumuendekeza utaishia pabaya. Hili ndo tatizo kubwa la watoto wa kike. Mzee anajua hamna cha birthday hapo.
Yaani nasikia uchungu kama ni mtoto wangu, kijana mwenyewe Yuko rude sijui anaishi geto? Iweje wakalale usiku mzima kama na yeye ana wazazi responsible?
Nan mwengine anackiliz simuliz uku anasom coment kujua kilichojir kabla ajamaliz simuliz tujuan hapa😂😂😂😂
Ww peke ako😂mm spend spoilers
Dada Veronica Wewew Ni Mrembo 🔥🙌💯✅
Mmmmh jmn mes kimelamba😅ila nivyo kuwa Bint nilikuwa muoga sn juu ya vijana nikiitwa mi mbio😅
Yani mwanaume asiye kuwa na uwoga na familia yangu heshima na familia yangu atakama iweje siwezi kuwa na mahusiano na mtu wanamna iyo 😂😂😂😂
😢ndio mm naangaika na kabint kangu jamani 😢😢natamani mungu akafunue akili yake niuzuni kwakweli
Hatari Mercy usichezee shilingi chooni
Mbuzi wa masikini
Aisee shetani anapawa sana umefikia usichana titi saa.6 kisimi kinawasha unahitaji umjue M/MUNGU ilikuepuka majaribu pole sana mesi
Nimechk kama namuona mgonjwa watumbo😅😅😅
Hi dada Veronica,nakusikiliza kutoka Iringa
You look beautiful dada Veronica as usual
Dada veronica nakupenda sana
Yani napenda sauti yako jamani da Veronica! Hasa ukicheka.
Kivumbi leo jaman
Veronika you look so beautyfull oh
Daah hii ninauma
😂😂masikio makubwa jaman
Ng’ombe wa masikini hazai😮
'😂😂kivumbi leo
Mbona jaman siiielewi hi simuliz
😂😂😂😂 Mercy kivumbi leo
Mie umri wa Mercy nilikuwa na ratua wavlana makofi. usimubufu tuu kidogo nilikuwa nasema ngoja naja, namfata ma mwiko namgonga kichwa paaaa..hasira kali inawaka..mpaka nikamaliza chuo kikuu nilikuwa sitaki mchezo kabisa mie
Safi sana hivyo ndivyo inavyo takiwa sio kuendekeza matamanio ya kuana unapendwa. Vijana wakorofi sana na mwisho WA siku anaye haribikiwa ni msichana wao wanaendelea na masomo na maisha yao
hicho ndonilikuwa nakiangalia kisha hasira inawaka kweli@@MsAggie5 maana akikupa mimba humsiki ngoo..basi hiyo taswira ikinijia ndonagonga kwanguvu kweli..
miaka 6 na 5 wavlana@@complex7582
Mercy pole sana, huyo kijana sio mstaarabu na kama ukiendelea kumuendekeza utaishia pabaya. Hili ndo tatizo kubwa la watoto wa kike. Mzee anajua hamna cha birthday hapo.
Duuuh hii hataree sasa
Age ya mercy imenikumbusha mbali 😅ukishauliwa unaona kama unatukanwa😅😂
Mmh yaani nimecheka,haya mambo sio kabisa,ujana maji ya moto
Eti Why Sifuatwi😂
Njooniii kunkucha hkuu kwnza na sinahajq na likes zenuu😅😅😅😅
Cku za mwizi ni 50😅😅😅😅birthday iko wapi upelekwee
Jamn😂😂
😂😂😂
@@dayana5513story kimemrambaa😁😁
mercy
Mie natamani nirudishe umri nyuma usichana unatabu
Ng'ome wa maskin hazai mercy anakuja kujiaharibia maisha kuendekeza ujinga
Hahahhha kimeumana 😂😂😂😂
Mercy kaatimba jmn
Yaani kama bado atakuwa na huyo kijana sitamuelewa
Hahaha 😂🤣🤣
😂😂😂😂Baba ameshitukia mchezo
Utu uzima dawa, ameona picha siku mbili hata wiki bado Leo birthday lol! Na yeye kapitia huko anajua michezo ya vijana
Kabisa😂😂😂😂
Hadi nakifikirisha isijekuwa huyu baba jini jmn maana mmh
DAAAH 🙆KWELI MEC ATATOBOA NAUYO KIJANA MBONA NAON KABISAA KM NDOTO YAKE INAKWENDA KUPOTEA💔💔💔💔
Yaani nasikia uchungu kama ni mtoto wangu, kijana mwenyewe Yuko rude sijui anaishi geto? Iweje wakalale usiku mzima kama na yeye ana wazazi responsible?
@@MsAggie5Mimi utumbo umenibanaa utasema nimemkunya leba answa nikiangaria alikotoka💔💔💔💔💔
@@JanethJaneth-b5f we acha tu 😭😭😭
Foolish age 😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😅😅
Jaman mbona inaanzia sehm yapil yakwanza twaipatia wap?
Ya kwanza ilikuwa Jumatatu
njooo uku
😂😂😂😂
😂