Mimi ni machozi tuu,yananitoka naishiwa maneno yakuifariji hii familia ila najua Mungu anabaki kuwa Mungu ananjia ya kuiponya hii familia poleni sana .
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Qur nafsi zaikatil umaut,kila nafsi itaonja Umauti tuwe na Subira ndugu zangu tumshukuru sana MwenyeziMungu kwani yeye ndiyo muamulu wa yote haya.
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun, MwenyeziMungu awape faraja familia kwa kuondokewa na wapendwa wenu. Hakika sote tutarejea kwa Allah. Allah atupe mwisho mwema.
😢😢😢😢 ilo ni janga linalo shangaza dunia nzima watu wa mtu mmoja kufa pamoja daah sijuwi ni maumivu gani mnayo mungu awa simamie ndugu zetu kwa huo msiba mzito ambao watù awatakuja kusaau
Pole sana Bro kwa pigo kubwa lkn tumshukuru sana Mungu kwa kila jambo na kifo ni njia ya wote kikubwa tuseme Asante Mungu.
Alhamdulilah Sote wa mungu nakwake marejeo
Anaishukuru kwanza serikali sio Mungu
Pole saana babang Mungu akupe kauli dhabiti na akugange katka kipind hiki kigumu mnachopitia ndugu zangu.
Pole sana baba mungu ndiye ajuae mwisho wa kila mwanadamu .mungu akubariki sana baba endelea kumtumaini mungu.
Polee sanaaa familia MUNGU Awatie nguvu na awape faraja katika kipindi ichi kigumu Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa jina lake Lihimidiwe 🙏
Pole sana baba na hongera kwa kutujuza ukweli MUNGU azidi kukufariji baba
Pole sana baba mungu azidi kukutia nguvu wote safari yetu ni Moja TU
Poleni sana ndg zetu mungu awape subira
Pole sana Baba Mama Bridget na Neema Mungu awatie Nguvu
Poleni sn family hatuna jinsi tuseme Alhamdullah mungu awatie nguvu kwenye kipindi hichi kigumu awalaze pema peponi ndugu zetu Ameen
Pole sana kaka mungu atakupambania kipindi hik
Mungu akuzidishie zaidi, Kama alivyofanya kwa mtumishi wake Ayoub,na zaidi ya yote Faraja na Amani🤲🧎
Pole Sana Kwa misiba ya watoto wako wawili Mwenyezi Mungu akupe subra
Asante kwa ujasiri mkuu:
Pole sana baba angu mungu akupe faraja ya kweli ,sisi tunakuombea sana wewe na mama ,tumeumia kiukweli poleni
Pole sana baba Mungu akutie nguvu akushindie ktk hili
Poleni sana wanafamilia. Mungu awape faraja katika hiki kipindi kigumu cha kuondokewa na wapendwa wenu.
Pole Sanaa inaumiza kwa kweli Mungu awafariji maana sisi hatuwezi kuwafariji ipasavyo
Poleni.Yamekwisha,tumshukuru Mungu kwa yote.
Mungu akupe zaidi kama ayubu. Pole sana
Pole sana kaka mungu awatiye nguvu awape faraja kipindi hichi kigumu pole sanaa
Pole sana,na ashukiriwe Mungu kwa kufanikiwa kumpata mtoto wako japo akiwa amekufa Mungu awaited nguvu
Poleni sana baba na mama mungu awapunguzie majozi
Pole San Sana saaana Kaka yangu baba Brigeta,hili gumu Mungu ndiye atakayekufariji,,,Mungubana kusudi juu ya pito hili,
Poleni sana ndugu zetu,misiba hiyo ni mizito sana mungu awape faraja
Pole sana familia ....mungu awatie nguvu
Pole Sanaa ndgu yangu Mungu atutie nguvu
Pole sana Baba Briget... Mwenyenzi Mungu Azidi kuwa Faraja kwako na Familia!!!!!
Mimi ni machozi tuu,yananitoka naishiwa maneno yakuifariji hii familia ila najua Mungu anabaki kuwa Mungu ananjia ya kuiponya hii familia poleni sana .
Pole sana Mungu wafariji
Pole sana baba Mungu awatie nguvu, Marehemu apumzike kwa amani
Poleni sana Wafiwa mungu awape mioyo ya subraa n huzuni kwa kweli 😢😢😢😢😢
Mwenyezi Mungu awajalie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu🙏
Pole sana baba. Mungu wa mbinguni akufariji misiba miwili hii mizito sana.
Wanaume watabaki kuwa wanaume tu wanajikaza mno mama hapo sijui anahali gani
😢😢😢misuli ya imani yako ikawe mfaraji wako ngumu sana pigo zito sana😢😢😢
Pole sna 😢M/mungu awatie nguvu wafuwa wote ni janga la Taifa zina sote tumeumia sna
😭😭😭😭😭poleni sna zaidi yasana mungu awape subra amiiiiin
Kaka pole sana utapita Mungu ni mwema
Pole sana baba,. Mungu Awatie nguvu
polen sana familia Mungu awatie nguvu inauma sana ila hatuna jinsi sote njia moja Mungu awaweke mahali pema ndugu zetu wote waliotangulia😭🙏
Poleni sana family mungu akupeni nguvu kipindi hiki kigumu
Poleni sana wanafamilia kwamsiba mzito sanaaaaa mungu awafunge makand na utaamilivu mkubwa sana
Pole sana Mungu awatie Nguvu
Pole sana baba mungu atakusmamia dah inaitaji subra ya haliya juusan
Pole sana kaka Mungu akawe mfariji wenu🙏🙏
Poleni sn, ni kipindi kigumu sn hiki kwa familia. Inauma sn Mungu awe faraja kwenu
Pole sana kaka angu mungu akutie nguvu
ALLAH AKUPE FARAJA BABA NI MAJONZI MAZITO HAYA
Bwana sana ndugu, Mungu Akutie nguvu
Pole sana mzee Mungu akutie nguvu
Mungu Akutangulie kwenye changamoto hizii
Pole sana mungu akutie nguvu
Pole sana baba mungu akutie nguvu
Pole sana Kwa kweli, ni magumu sana tena sana, Mungu akutie nguvu.
Amen baba mungu awape nguvu awape Imani ni tumtumaini mungu tu
Poleni sana hili nipigo kubwa ila hatuna bdi kumshuru mungu kwakila jambo sisi niwamungu nakwake tutarejea innalillah wainna illaah rajiuna
Polen san famiy ndug na majirn Allah awape subra kwa hakik yy ndo mueza wa kila jambo ,lilobak ni kushkur na kusema Alhamdullillah
Pole sana Mungu azidi kuwatia nguvu ila Roho ya Mungu imo ndani yako zidi kumtegemea Mungu kwenye kipindi kigumu
Pole sana na honger kwa ujasir aliokupa mwenyez Mungu
Pole kaka yetu mungu tu ndo awe faraja kwako pole san
jamani mwchozi ya huzuni yana nitoka mungu akutie nguvu sana😭😭😭
Pole sana baba mungu ampe punziko jema
Maskini pole sana Familia kwa kupoteza watoto 2 katika ajali iliyotokea Kariako Roho za Marehemu sipumzike kwa Amani Amina
Pole sana,Mungu akupe nguvu
Poleni sana,kifo ni njia ya SS sote kurud Kwa Mungu wetu aliyetuumba!! Mungu awape faraja wafiwa woteee ,ndugu jamaa na marafiki na taifa Kwa ujumla
Pole Sana baba mungu akutie nguvu kwa kipindi iki kigum😭
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Qur nafsi zaikatil umaut,kila nafsi itaonja Umauti tuwe na Subira ndugu zangu tumshukuru sana MwenyeziMungu kwani yeye ndiyo muamulu wa yote haya.
Baba angu pole mungu akutie nguvu sana
Huyu mwamba ana nguvu anaweza.kuzungumza na waandishi.iwounder
😭So sorry Baba Bridget, May God Almighty continue strengthening you and the familly 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🙏🙏
Pole. Sana. Baba. Mungu wa mbinguni aachilie faraja
Pole sana baba😭
Pole sana Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu mlichonacho 😢
Pole sana baba pole Mungu awatie nguv kuu😭😭😭😭🤲🙏🙏🙏💔
Msiba mzito subhanallah watu wawilii kwa siku moja
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun, MwenyeziMungu awape faraja familia kwa kuondokewa na wapendwa wenu. Hakika sote tutarejea kwa Allah. Allah atupe mwisho mwema.
😢poreni familia na MUNGU awatie NGUVU 💔
Poleni Sana wazazi
Pole sana kaka Mungu akutie nguvu kipindi hiki ambacho nikigumu sana kwako😢😢
Mmmmh!haujaharibika mwili???? Mungu mkubwa
8 days, mmmmm
Pole san baba najua unapitia wakat mgumu kwakweli mungu akutangulie
Mungu akulipe mara dufu,
😢😢😢😢 ilo ni janga linalo shangaza dunia nzima watu wa mtu mmoja kufa pamoja daah sijuwi ni maumivu gani mnayo mungu awa simamie ndugu zetu kwa huo msiba mzito ambao watù awatakuja kusaau
Pole Baba munge akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia
Pole sana,Mungu awatie nguvu kwa kweli
Poleni sana Mungu awatie nguvu kwenye wakati huu mgumu😢
Pole sana mzee mungu awatie nguvu😭😭😭
Pole Sana Baba mungu WA mbinguni afanyike faraja kwenuu😢😢😢
Pole sana kaka pigo kubwa sana
Pole sana bro inauma san
Poleni sana wapendwa🙏🙏🙏
Pole mzee ni pigo mabinti wawili kwa pamoja mungu akutie nguvu
Poleni family Mungu awatie nguvu katika hili🙏
Inaumiza sana, Mungu baba ututetee😭😭😭🙏
Poleni sana Wana familia wote 🙏🙏
Polen sana jaman mungu awatie nguvu
Inalilaih wainaillaih rajiuun..poleni sn wafiwa ...Mungu awatie nguvu
Mungu awatie nguvu kwa kipindi hichi kigumu.
Pole sana baba mungu akuvushe ktk kipind hik
Poleni Sana Sana, mfariji ni mwenyezi mungu pekee