Una oja yoyote umetufanya sisi mbumbu na watu wako nyuma sababu za kijinga sana kumbuka kashfa izo eti viti vidogo taa zinamwanga mkali oja ya kuwadanganya watoto,tusimalize maneno mapema sana
Huyu muongeaji wa timu au mshabiki? Dah,, yanga akili zao duh!! Hawa yanga wote vichwa vibovu kweli... WACHAWI SANA JAMAA,,, WASHAMBA SANA JAMAA,, hana point jamaa anaropoka tu
Gamond ktk accounts zake amefuta kila kitu kinachohusu yanga,mbona hutuambiii, Gamondi anaondoka, na hili lipo halina muda mrefu utaliona, GUNDU la wachezaji WAZEE ndo limeanza kuwaumiza yanga.
Unawasema wenzako uwanja mbaya wakati ww huna hata huo mbaya aisee huyu kapanic vibaya😂😂Ahmed Ally Mungu azidi kukutunza semaji letu hata tufungwe huwa unaongea kistaarabu hakuna kupanic
Ila alikamwe sifa ya kuisemea club huna. Wewe ni huna lugha ya mpira. Hujui kuisemea club yako unatakiwa uisemeeje. Huna heshima Kwa AZAM COPLEX Hata kidogo. Zungumza, lkn punguza kuzungumzia vby uwanja ambao mtu amewekeza pesa zake nyingi. Huzungumzii club yako imejipangaje, na ilikosea wapi , hlunazungumza unadonoa donoa tuu.
Yap kijana jayant
Huna baya chukua 💚💛💚💛💯
Daaaah huyuuu jamaaa anajuaaaaa sanaaaa apeweeew mauwaaaa yakooooooo
Huyu jamaa hauchoki kumsikiliza anajua sana aly kamwe
Saaana
Anajuwanini ana faty anaongea michambotuu
Unaulizwa swali lamaana unajibu kifala
Hata niyie makolo mlitaka kumaliza viwanja mbona amsem
Dogo ali big up sanaaaaaa upo juuuu
Safi sana kamwe
uyu jamaaa anajua kuzungumza💯
Big up
Simba imehama viwanja mara 4 nashangaa kuona wanalalamika yanga wamehama vipi ,basi na wenyewe watueleze kwa nn walihahama sana
𝐈𝐥𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐮 𝐚𝐥𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐰𝐞 𝐬𝐢𝐨 𝐬𝐢𝐫𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐧𝐮𝐬𝐮
Mtahamia mpaka King Solomon Hall mwaka huu😂😂
Una oja yoyote umetufanya sisi mbumbu na watu wako nyuma sababu za kijinga sana kumbuka kashfa izo eti viti vidogo taa zinamwanga mkali oja ya kuwadanganya watoto,tusimalize maneno mapema sana
😂😂@@MethodJulius-fu9hf
Kabisa Ally
Tutapambana
Very very interesting❤
Amna chakufanya mtatufwata mpaka mkomee hii nimaana alisi ya kukosa kazi mtafungwa sanaa mwaka huuu ubaya ubwela
Leo kamwe umeamuwa jenny lako ilo uloaza nae sio ulonae 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Kuna dada .uandishi ana sauti kali na nzuri mashallah the ukiacha jenny yupo mwengine
Tunachojua Ni Mwanamke huondoka kwao kumfata Mume Wakee 😅
Tumemfuata demu wetu
Na ndiyo maana simba wakitema wachezaji yanga inaokota akili za chura fc 🐸🐸🐸 wanasijuwa wenyewe😂😂😂
Mbona mkifungwa mnahasira hivi shida nn au mazoea yanatabu 😂😂😂😂😂
Nyerere munajifaliji munajitekenya munacheka weyewe
*ingelikuwa niyanga ndio wamefuatwa wao wangeliongea ahaaaaaaa hasira za vipigo*
Tume mmis my wetu tumemfata huko huko 😂😂😂😂💚💪
My wenu yuko Tabora😂
@@MethodJulius-fu9hfduh kumbe my we2 danga
Shida habadiliki
Mmefungwa na bado tabora uwanja wao wanyumbani utakuwa palepale
Huyu muongeaji wa timu au mshabiki?
Dah,, yanga akili zao duh!!
Hawa yanga wote vichwa vibovu kweli...
WACHAWI SANA JAMAA,,,
WASHAMBA SANA JAMAA,,
hana point jamaa anaropoka tu
Simba tumewabemenda mara 4 mna chakuongea tutawatia mpaka
Leo mnaukashifu hadi uwanja wa azam! Tatizo mnaamini sana ushirikina, unataka kutuaribia brand ya azam!
Huyuu jamaaa shogaaa Sana naongea usengeeee
Lipa madeni ya watu kwanza
𝐀𝐩𝐨 𝐬𝐚𝐬𝐚
Yanga wajenge uwanja
Umeacha kupiga vita azam 😂😂😂😂😂pole
Tueleleze na yale masindano
Wewe bwege kweli
Acha dharau ww,huo uwanja ulisema mwenyewe uitwe yanga complex leo imekuaje kumbuka usitukane mamba kabla haujavuka mto
Mukifungwa tena michezo miwili mfululizo mtahama tena ama kweli msemo wa manara imetimia kwamba yanga wazima ni wawili 2u 🐸🐸🐸🐸
Mwanamke ndio anaenda kwa mwanaume, na ndio utaratibu
Jamani eti gamond wamemfukuza
Jmn tumemc my wetu😂😂😂😂
Ungeshnda hayo tusingeyajua, shkamo Tabora
Mlikuwa mbakie Azam complex tu
Sura yake na anachokiongea havishabiliani anaonekana misuri ya sura inaongea kitu 😂😂
Mmekuja wenyewe tutawatomb. ...
Yanga hawana maajabu kwa sas..
Watu wanashindwa kujiulza maswali tofaut kuhus sjuii masindano sjuii figisu mpk kuhama uwanja
DAH NIMECHEKA SANAAA DAH
Wangalieni marefa
Huyu jamaa hana cha kuzungumza kabisa ahmedy ally amemuacha mbali sana habadiki kwa maneno huo ndio ukweli
umeamia geto
Mm nashangaa hivi kama azamu tumekimbia uchawi hapa ndo hawatulogi
Ongea Ally madunduka yamezidi kuongea yame vidonge vyao
Mwaka huu mpka vyuraa vyote vitakapochanganykiwa😅
Dadekiii😂
Kwahyo uwanja wa Azam ulikuwa umeinamia Tabora
Ali kamwe ni mrembo
Gamond ktk accounts zake amefuta kila kitu kinachohusu yanga,mbona hutuambiii, Gamondi anaondoka, na hili lipo halina muda mrefu utaliona, GUNDU la wachezaji WAZEE ndo limeanza kuwaumiza yanga.
Huyo jamaa wa oyooooo😂😂
Mchawi kamuona mchawi mwenzie eti azizi ki aliona jiwe 😂😂😂
popote tunapotaka kucheza tunacheza akuna pakukupangia 🔰🔰🔰🔰
Waambie tyu ukweli.. 🐝🐝🐝🐝🐝 kilichowatoa azam
Tuambie wewe unayejua
Umesikiliza au unatype tuuu si kasema kila kitu wazi kabisa
Hakimbiwi mtu wakati umekimbia azam kamakweli wanaume nendeni aly hasany mwinyi muwakute nyuki
Unazingua kicha anachelewa kufanya sab kibwana hamchezeshi eti mkane tutakula vyuma mwishoe aondoke
Ally Wachezaji wanashinda Bar, wanastarehe na Mai Wao inahusianaje na kulogqa?
Ally kamwe hana lakusema, hizo ni propaganda tu sio maneno halisi,jibu swali kisomi, my wetu my wetu ndo nini, kuna kitu kimekutoeni azam husemi.
Ndio ubaya ubaya uchawiuchawi
Wewe ushuzi umekubana,
Umemfuatamume ndivyo maana umesafisha uwanja sawa nakusafisha chumba na kutandika kitanda
Mume mwenyewe nani😂😂😂😂😂 kila msimu goli uwe na heshima basi
🤣 HAHAHA ETI MACHONI KAMA WATU MOYONI HAWANA UTU 😂 1 tu cha Uchungu
😂😂tumemmfwata my wetu
Makolo watakimbilia uwanja wa jkt siku si nyingi
HIVI AFISA WA HABARI WA BARCELONA ANAITWA NANI AU HUWA HAWAONGEI
Naon kawaka😂😂😂😂😂bado kulia2😂😂😂
Semaji kama semaji unajua saana mbana pua akasome
Ukiamini ushirikina matokeo yake hayo sasa vipigo sio upweke
Wakubwa mmetiwa na walamba nyuki. 😅😅😅😅
Walifungwa na tabora ila sio simba yani hilo litawaumiza sana
@BetsonMhanze Wametupaisha lakini tupo kileleni 😅😅
Leo ali kamwe anaongea kishabiki kuliko kiufundi😅
Asee ali wape ukwel chap tupitee
Unamapya Hally kamwe
Acha usenge hamujapiga kelele akati hadi mumehama uwanja ubwa nyie😂😂😂
Maneno makali sio mazuri ila kwenye hiii nchi timu zote zinauhuru wakucheza popote
Mbwa mwenyewe nyoko wewe
Mpe mkundu huo ujue .km msenge
Unaulizwa swali unajibu utumbo
Kajamaa kamekonda
Wachezaji wanashinda Bar, wanastarehe na Mayi wao, inahusianaje na Kulogwa? Huna usajili wa Defenders wa msaada wakipata jenga, huo ni uchawi?
Aljununu fununu😂😂
Mbona huyu jamaa anaongea kwa kiburi sana
Sio kiburi. Unatakiwa hata kama umefanya vibaya ni kujiamini tu kwamba hata ukianguka bado una nafasi ya kuinuka. Ni mpira tu😂
We Hauna akili man cku ukiwa mkubwa utaacha ujinga
Hakuna msemaji hapo ni ujinga mtupu
Sio siri huwezi kaa mbali na mumeo mume ni mume lazima umfuate. Kudanga sio sawa
Kipigo cha nyuki hakija kutosha
Yanga mazuzu nyie
Kufungwa Mechi 2 tuu ushazeeka,na bado.
Unawasema wenzako uwanja mbaya wakati ww huna hata huo mbaya aisee huyu kapanic vibaya😂😂Ahmed Ally Mungu azidi kukutunza semaji letu hata tufungwe huwa unaongea kistaarabu hakuna kupanic
Labda wewe mgeni
Fuatilia Ahmed Ally akuongea kuama Azam na fuatilia kuhama Morogoro ndio utajua nani anaongea point na pointless
Kipimo cha msemaji bora nipale timu inapokua inapoteza point Ali kamwe hatokua msemaj bora.
@@MethodJulius-fu9hfpoleeee😅😅😅😅😅meza dawa
@@NurjanSilanda nyie vyakula vya sukarsukar vinawaponza sana
@@rosemahenge9071 ss ka.a nyie mnao mbona hamutumii kipi kimewapeleka KMC si mngebaki bunju
Wewe ushuzi umekubana bila shaka,kanye huko ukalale,bwege wewe.
WAKATI MNASHINDA CHAMANZI HAYO YOTE HAYAKUWEPO😂😂😂
Cha ajabu mmefungwa na Tabora vita anatangaziwa mwingine
Machon kama watu moyon hawana utu 😂😂 umemkimbia mmeo Azam rud Sasa akakunyowe
Nikweli kufungwa Mechi 2 tu Uzee umemsogelea
Wengi tutaongea kishabiki
Mdomo umekuponza mpaka sauti imekwama
Vp mbon sauti imekata
Anafikiri kila match watachezea hapo KMC?😂😂😂 Tabora mkikutana nao tena wapelekeni AZAM COMPLEX tena tunachowaomba KMC fungeni CAMERAS hapo zakutosha
Kujifariji kupo siku zote kaka polen sana mpira ni dakika 90 brother hata mhamie Kenya kipigo kiko pale pale
Si mlikuwa Mhamie Burundi 🤣🤣🤣 au hamkutuma wazee wenu wale. Kweli kuishi kwingi sio kuwa na Busara. Wakaita kabisa na Press 😂😂😂
Y
@yusufm😂😂😂😂1
My ni mama yako unapigwa tuu
Ila alikamwe sifa ya kuisemea club huna. Wewe ni huna lugha ya mpira. Hujui kuisemea club yako unatakiwa uisemeeje. Huna heshima Kwa AZAM COPLEX Hata kidogo. Zungumza, lkn punguza kuzungumzia vby uwanja ambao mtu amewekeza pesa zake nyingi. Huzungumzii club yako imejipangaje, na ilikosea wapi , hlunazungumza unadonoa donoa tuu.
Usiongee sana bodi inajua sababu za msingi za wao kuhama na hawaja weka public. Ni swala biashara sio hisia tu
Nenda kaisemee ww
@NadyaSamson ndo tumeanza hapa 😁