MAGUFULI Akuta MADUDU Hospitali ya CHATO, ACHARUKA - "UTALIWA WEWE SIO HELA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • MAGUFULI Akuta MADUDU Hospitali ya CHATO, ACHARUKA - "UTALIWA WEWE SIO HELA"
    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuanza mara moja upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato kwa kuwa Serikali imeshatoa shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi huo..

    Mhe. Rais Magufuli ambaye hakufurahishwa na taarifa za viongozi wa halmashauri hiyo kupoteza muda mwingi wakibishana juu ya upanuzi huo licha ya fedha za ujenzi kutolewa tangu mwezi Julai 2019, ameonya kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona watu wakipata shida kwa uzembe wa viongozi wachache wa Halmashauri.
    Amemuagiza Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Bw. Eliud Mwaiteleke kuhakikisha ujenzi wa majengo hayo unafanyika na kwa gharama zinazostahili.
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 40

  • @ubuzimabuzimatv
    @ubuzimabuzimatv 4 ปีที่แล้ว +3

    MAGUFULI Anaweza Sana Raisi munyenyekevu

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 ปีที่แล้ว +7

    Mzeee baba Kenya wanakuelewa sana

  • @Wastara001
    @Wastara001 4 ปีที่แล้ว +9

    Napenda hii kauli: Hela ya watanzania hailiwi ataliwa yeye.

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola798 4 ปีที่แล้ว +6

    Duuu, Jamaaa katisha Sana.

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 ปีที่แล้ว +3

    Amina Amina

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli atabaki kwenye akili na Mioyo yetu

  • @kabetakanuda2639
    @kabetakanuda2639 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina amina kubwa

  • @andrewmlamba
    @andrewmlamba 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanamchezeya Magufuli,anajua gharama ya kila kitu.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 5 หลายเดือนก่อน

    MAKOSA yake yapasayo kutubu ni yapi maana hata Mfalme Saul alietiwa mafuta kwa chupa na Mfalme Daudi alietiwa mafuta kwa kujazwa pembe .hawakutubu kwaajili ya taifa ispokua watawaliwao ndio watubu kwa kukaa na viongozi pasipo kumuuliza Mungu kama imempendeza huyo kiongozi kuwepo ktk nafasi ama ameruhusu awepo lkn SI chaguo lake.maana WAFALME WAKIWA chaguo la Mungu INCHI hujaa NEEMA ispokua tu pale wanapoasi na kukaidi sauti ya Bwana ndipo MAPIGO yatawashukia au kumshukia yule kiongozi aliejikuza Sana. Ktk nyakati tulizonazo wapo hata watumishi wenye CHOYO.kumbuka YESU alionya WANAFUNZI kujihadhari na CHOYO maana uzima wa mtu haumo katika mali.mtu atajionyesha kwa watu na kutoa iitwayo zawadi ambayo kwa hakika haiwi zawadi Bali ni rushwa ambayo huupotoa ufahamu na baada ya hapo haki inapotea.sasa je kwa viongozi wa ulimwengu itakuaje.kwanini viongozi wasitubu wakati wa KAMPENI na wakati wa kutangaza matokeo kupitia nguvu ya dola.itokee toba mtu aombe msamaha nakuacha ubunge kama aliupata kwa hila.hio ngumu atubu mtumishi wa umma ALIESEMA nitawatumikia mkinipa kura lkn. Kumbe anawageuza kuwa WATUMWA wake...WATUMWA wamepanda punda lkn WAFALME wanakwenda kwa miguu juu ya inchi

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 3 ปีที่แล้ว

    Very good kijana. Ubarikiwe nawew pia.

  • @jumamohamedy2005
    @jumamohamedy2005 4 ปีที่แล้ว +3

    Baba lao dunia inakuelewa sana JPM ninani habahatishi anaokoa Muda kwenye maamuzi hao wagonjwa wanakuombea sana kwa utu wako.

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana magufuli hapa kaz tu

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana

  • @fabianaloyce7427
    @fabianaloyce7427 4 ปีที่แล้ว +2

    magufuli baba lao

  • @salimasalima7820
    @salimasalima7820 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba lao

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 3 ปีที่แล้ว

    Magege i miss u

  • @fabianaloyce7427
    @fabianaloyce7427 4 ปีที่แล้ว +1

    baba lao magufuli

  • @jamesmartine211
    @jamesmartine211 4 ปีที่แล้ว

    Huyo Ndie Magege

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 4 ปีที่แล้ว

      Eeemungu mjaalie babahuyu atembelee hata wilaya yachemba asikilize shida zetu tunakupenda sana muheshimiwa

    • @wardajoseph6909
      @wardajoseph6909 4 ปีที่แล้ว

      @@omanimujsa9756 allahumma Amiin

  • @mathlahamedkhalfaan956
    @mathlahamedkhalfaan956 4 ปีที่แล้ว

    Doooo jomba hapo tuuuu nakupendea amri zako km zangu nathani ninaasili ya chato

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 3 ปีที่แล้ว

    Magege nimekumisi

  • @kentekaponya2316
    @kentekaponya2316 4 ปีที่แล้ว +1

    Magege

  • @mosesshagembe6402
    @mosesshagembe6402 3 ปีที่แล้ว

    Usalama
    Ukopoa

  • @salmaayub61
    @salmaayub61 4 ปีที่แล้ว

    MAGEGE UMETISHA UMEPATA NAFASI YA KUMUOMBEA RAISI

  • @mashamasha2854
    @mashamasha2854 3 ปีที่แล้ว

    tunαkukumвukα ѕαnα вαвα😭😭😭

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 4 ปีที่แล้ว

    .

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba lao

  • @linusmagezi8398
    @linusmagezi8398 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba lao