Othman Maalim - Talaka (Khutba Ya Ijumaa)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @abdallahmunga362
    @abdallahmunga362 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akupa umri mrefu uzid kutufikishia Inshaallah

  • @shabaniadam7015
    @shabaniadam7015 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah akupe umr mrefu shekh othoman maalim

  • @azizaali6259
    @azizaali6259 2 ปีที่แล้ว

    Asslma alkm shekh natokea kenya mume akiandika talaka tatu Kwa mpigo akisema weka sahii ndo nitakua nimekuacha au ukae kwako ubadilike tabia je talaka inasainiwa ndo iswee

  • @abdulwaheed5004
    @abdulwaheed5004 4 ปีที่แล้ว +2

    Mola atuhifadh jamia wana ndoa ktk mitihan namna hii ya kutoa talaka kwa kuonja onja....

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 4 ปีที่แล้ว +1

    JazzakaAllah kheri Allah akuzidishie kila KHERI katika maish yako in shaa Allah, akubarikie watot wako, wake zak wazaz wako na ndugu,, akupe pepo ya juu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻firidaus🤝🤝

  • @husseinh9
    @husseinh9 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran jazakkallahu kheir
    Khutba nzuri sana

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallha darasa zuri Sana'a mungu akupe afia ameen thuma ameen

  • @aminaabdu1640
    @aminaabdu1640 3 ปีที่แล้ว

    allah akulipe mema kila jema uongealo kweli matatizo ya ndoa yapo kila nyumba ila kuna kuzidiana

  • @shuhaidaomar3347
    @shuhaidaomar3347 4 ปีที่แล้ว +1

    masha allh shekhe letu hatutaki elewa tu bt unavo elezea toshaaa

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 4 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Jazzakah llah Kheir

  • @hamizami7120
    @hamizami7120 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka Allah kheir sheikh Osman maalim 🍏🍎

  • @nailanajim4221
    @nailanajim4221 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah ustadh Allah akulipe ujira wako akupe umbri akupe kila jema hapa na Kesho akhera yarabi. Umrnifunza mengi sana tena sana alhamdulilah jazakallah kher

  • @sheikhmvanokiloba3228
    @sheikhmvanokiloba3228 4 ปีที่แล้ว

    Allah akufariji nakupenda sana rafiki usie nijua!!

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakahllahu kheir sheikh othman

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtihan hilo janga ni zito kwa ulimwengu wa sasa

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheikh wetu Al Aliim. Jazakka Allah kheir.

  • @habibahmatano1815
    @habibahmatano1815 4 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah jazaka llah kheri

  • @ndayishimiyeabdulkabir9793
    @ndayishimiyeabdulkabir9793 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran baba

  • @neemagambere9987
    @neemagambere9987 4 ปีที่แล้ว +1

    shukuran

  • @aminaabdu1640
    @aminaabdu1640 3 ปีที่แล้ว

    shekh maalim othman

  • @rahimhussein4508
    @rahimhussein4508 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo hapo sheikh talaka tatu za pamoja mke ndiyo umludii tena mtihan jaman huu

    • @salehkhamis2602
      @salehkhamis2602 3 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo talaka 3 hujacha mke kwa pamoja

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @vimkhamis2794
    @vimkhamis2794 4 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheri

  • @salehchani879
    @salehchani879 3 ปีที่แล้ว

    mashallah mawaidha mazuri

  • @rahmahassan8341
    @rahmahassan8341 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe umr mrefu shekh othman maalim....may Allah guide ad protect you.....i rily want to ask you this question can you get marrd without you mum ad dad permssn....if you are marrd agn...may mum ad dad does not want me to get marrd when i know the more im single the more i committed sin i have nice guy who we undstnd each other ad we are in love but my mum ad dad say that is not perfect for me coz he belong to another culture what can i do

  • @mahadiamasanga6409
    @mahadiamasanga6409 4 ปีที่แล้ว

    Asalaam Aleikum....na mke akikaa mbali na mme wake kea muda wa miezi kadhaa je talaqa imepita...

  • @hassanal6283
    @hassanal6283 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @bukursalma6103
    @bukursalma6103 4 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar

  • @sayyidathmanabdulrahmanhh1467
    @sayyidathmanabdulrahmanhh1467 4 ปีที่แล้ว

    Mashallh

  • @vanlago7580
    @vanlago7580 4 ปีที่แล้ว +1

    Salam alykum mie naishi dar nauliza swali mume akikuambia kuanzia Leo wewe sio mke wangu tena Mara kwa Mara je hiyo ni talaka naombeni jibu.

    • @aliyusufyusuf3573
      @aliyusufyusuf3573 4 ปีที่แล้ว

      Mm pia nataka kujua hilo

    • @mohammedseif3653
      @mohammedseif3653 4 ปีที่แล้ว +2

      Dhana ya Talaka
      Maana: ni utaratibu wa kuvunja mkataba wa ndoa baina ya mume na mke mbele ya mashahidi wawili kwa kuzingatia sheria ya Kiislamu.
      - Talaka katika Uislamu si jambo linalopendeza bali linaruhusiwa tu pale inapobidi.
      Ibn Umar (r.a) amesimulia kuwa, Mtume (s.a.w) amesema:
      “Katika halali inayochukiza mbele ya Allah ni talaka” (Abu Daud)
      - Hekima ya talaka ni kuwapa wawili wanaoachana fursa ya kwenda kuanzisha na kuendeleza maisha mengine ya familia kwa furaha na amani ili kufikia lengo.
      Suluhu kati ya Mume na Mke Kabla ya Kutolewa Talaka
      Ikitokea mume na mke wamegombana kabla ya kufikia hatua ya talaka, suluhu itafanyika kwa utaratibu ufuatao;
      i. Mume na mke wafanye subra na kusuluhishana kwa kutakana radhi na kusameheana baina yao.
      Rejea Qur’an (24:22), (42:40), (41:28)
      ii. Mume na mke kuonyana na kukumbushana kurejea kwa Allah (s.w) na Mtume wake (s.a.w).
      iii. Mume na mke watatengana kimalazi kwa kipindi kisichopungua miezi minne.
      Rejea Qur’an (2:226-227)
      iv. Jamaa kwa upande wa mume na mke wakutane ili kuwasuluhisha.
      Rejea Qur’an (4:35)
      Haki za Kutaliki
      - Katika Uislamu haki ya kutaliki iko kwa mume na mke au mahakama ya Kiislam.
      - Mume humtamkia au kumwandikia mkewe “nimekuacha” na mke hudai talaka.
      a) Haki ya mume kutoa talaka
      - Mume amepewa nafasi ya kutaliki kwani ndiye anayetoa mahari, posa na ndiye kiongozi wa familia.
      b) Haki ya mke kumuacha mumewe
      - Kama tangu mwanzo, mume alikubaliana na mkewe kuwa huru kuvunja ndoa iwapo atamfanyia jambo lililo kinyume na sheria au asilolipenda.
      - Kwa msingi huu, mke atadai talaka ya “Khul’u” au kwenda kwa Kadhi.
      c) Kuvunja ndoa kwa makubaliano ya mume na mke
      - Ikitokea mume na mke wakaamua kuachana kwa wema kwa talaka ya
      “Mubaarat” itafaa kama haitavunja sheria au kupoteza haki ya mwingine.
      d) Haki ya Mahakama ya Kiislamu kuvunja ndoa
      - Wakati mwingine hata bila yak makubaliano ya mume na mke, mahakama ya Kiislamu ina haki ya kuvunja ndoa. Mfano wa talaka hii ni “Li’aan”.
      Aina za Talaka
      Kuna aina kuu mbili za talaka
      a) Talaka rejea
      b) Talaka isiyo rejewa
      a) Aina za Talaka Rejea
      - Ni aina ya talaka inayompa mume fursa ya kumrejea mkewe baada ya kumpa talaka katika kipindi cha twahara.
      i. Talaka moja
      Ni aina ya talaka ambapo mume humtamkia au kumuandikia mkewe
      “nimekuacha” kwa talaka moja akiwa twahara.
      ii. Talaka mbili
      Ni aina ya talaka ambapo mume humuacha mara ya pili baada ya kumuacha kwa talaka moja kisha akamrejea katika twahara mbili tofauti.
      Rejea Qur’an (2:229)
      iii. Talaka ya ‘Ilaa
      Ni aina ya talaka ambapo mume humtenga mkewe kwa zaidi ya miezi mine.
      Rejea Qur’an (2:226)
      iv. Talaka ya Zihaar
      Ni aina ya talaka ambapo mume humsusa mkewe kwa kumfananisha na mama yake mzazi au maharim wake.
      Kama hatatubia kabla ya kuisha miezi minne, mkewe atakuwa ameachika.
      Rejea Qur’an (58:3-4)
      v. Talaka ya Khul’u
      Hii hupatikana kwa mke kudai talaka au kujivua katika ndoa kutokana na makubaliano tangu mwanzo katika mkataba wa ndoa.
      Mke anayedai talaka, atalazimika kumrejeshea mume mahari aliyompa ili ajikomboe.
      Rejea Qur’an (2:229)
      vi. Talaka ya Mubaarat
      Ni aina ya talaka ambapo mume na mke hukubaliana kuachana kwa wema baada ya kutofikia lengo la ndoa.
      vii. Talaka kabla ya Jimai
      Ni kuvunja mkataba wa ndoa kabla ya kufanya tendo la jimai (ndoa).
      Talaka hii ina taratibu zifuatazo;
      - Hapana kukaa eda kwa mwanamke aliyeachwa kabla ya tendoa la jimai.
      - Kama mume ndiye aliyemuacha na ameshatoa mahari, hatadai chochote.
      - Mume atalazimika kumpa mkewe kitoka nyumba kama ndiye aliyeamua kumuacha.
      - Ikiwa mume alikuwa hajatoa mahari, atalazimika kutoa nusu ya mahari.
      - Kama mke ndiye aliyedai talaka atamrudishia mumewe mahari aliyompa
      Rejea Qur’an (2:236-237)
      b) Aina ya Talaka Zisizorejewa
      - Ni aina ya isiyompa mume fursa ya kumrejea mkewe baada ya kumuacha kwa talaka mbili ila mpaka aolewe na mume mwingine kisha aachike kisheria.
      i. Talaka tatu (Tahliil)
      Ni talaka ambayo mume humuacha mkewe baada ya kumrejea kutoka talaka mbili alizomuacha na kumrejea hapo awali.
      Rejea Qur’an (2:230), (65:1)
      ii. Talaka ya Li’aan
      Ni talaka inayopatikana baada ya mume au mke kumshika ugoni mwenzake bila ya kuwa na mashahidi wanne.
      Kila mmoja ataishuhudilia nafsi yake kwa kula kiapo mara tano mbele ya kadhi na baada ya hapo ndoa itavunjika na kutorejeana tena.
      Rejea Qur’an (24:6-9)
      Taratibu na Sharti za Kutaliki Kiislamu
      i. Talaka hutolewa kwa matamshi au maandishi kuwa “nimekuacha” au maneno yenye maana mfano wake.
      ii. Talaka itamkwe au itolewe mke akiwa katika kipindi cha twahara na wasiwe wamefanywa tendo la ndoa ndani ya twahara hiyo.
      iii. Utoaji wa talaka ushuhudiwe na mashahidi wawili waadilifu.
      iv. Mke aliyetalikiwa hukaa nyumbani kwa mumewe mpaka eda iishe ambapo hutengana tu kimalazi.
      v. Kama mume na mke wataamua kurejeana kabla ya eda kwisha, watarejeana kwa wema kwa kumuahidi Allah (s.w) kuwa wataishi kwa wema.
      vi. Baada ya eda kwisha, mume na mke watalazimika kuachana kwa wema kama anavyoamrisha Allah (s.w).
      vii. Si halali kwa mume aliyetoa talaka kuchukua au kudai chochote katika vile alivyompa mkewe.
      viii. Mume aliyemuacha mkewe, analazimika kumpa mtaliki wake kitoka nyumba.
      Rejea Qur’an (2:236)
      ix. Mke aliyeomba talaka anawajibika kujikomboa kwa kumrudishia mtalaka wake mahari aliyompa, na mume akisamehe hapana ubaya.

    • @fatusheshaburn7430
      @fatusheshaburn7430 3 ปีที่แล้ว

      @@mohammedseif3653 assalam alyekum

    • @mohammedseif3653
      @mohammedseif3653 3 ปีที่แล้ว

      @@fatusheshaburn7430 Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh

    • @mohammedseif3653
      @mohammedseif3653 3 ปีที่แล้ว

      @@fatusheshaburn7430 In shaa Allah

  • @dokadoka9426
    @dokadoka9426 4 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏

  • @tatushomary9761
    @tatushomary9761 3 ปีที่แล้ว

    ostadh nashida na no.yako

  • @nyllamnshimirimana2996
    @nyllamnshimirimana2996 4 ปีที่แล้ว

    Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh
    Chh mme akikuacha uk mja mzito hakujali akimaliza mwaka mzima. Akirudi inaswihi kurudiana nae?

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama mwanaume kaslimu kuingia uwislam na anamuoa mwislam mwenye imani ye akawa hakuamini na aende kanisani je kunandoa hapo?

    • @halimaramadhan2975
      @halimaramadhan2975 4 ปีที่แล้ว +1

      Itakua hakuamin huyo alisilimu kwa ajil ya ndoa tu

    • @yusirhamdan1483
      @yusirhamdan1483 4 ปีที่แล้ว

      Mung akulipe kher Ustadh,Akupe Umri Mrefu Na wenye Manufaa

  • @الحقيقال-ع2ض
    @الحقيقال-ع2ض 3 ปีที่แล้ว

    Hukum ya talaka tatu
    th-cam.com/video/dwxR9uBDFq8/w-d-xo.html

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @adamSalum-z3d
    @adamSalum-z3d 8 หลายเดือนก่อน

    shukran