Uwiii mawigi ndo kabisaa yanakata nywele alaf watu wengi wanaovaa mawigi huwa wanasahau kabisa kutunza nywele za ndani unakuta zimedhoofika na kukatika lakini wanapambana na mawigi tu hata nywele za crochet pia zinakata Sana nywele za mbele mana zinavutwa mnoo. Umeongea ukweli mtupu Asante kwa kushare nasi
Dada nisaidie mimi nilikuwa na nywele nyingi kwasa ninakipara kabisa katikati nahazioti tatizo ninini ila nilikuwa navaa mawigi sana lakini ninakipara kabisa sasa nafanyaje nisaidie ziote
@@barikikaroli6088 mm nili paka dawa nyelele zangu zika katika zote mbele na nyuma Sasa nifanye nn Dada na Sasa hiv azikuw Tena kwa ali ya dawa nisaidye IL niweze kurud Isha mwenye zangu

Ni kweli dear Mimi Siku hizi nakuwa nasuka au kuvaa wig wakati wa baridi ila summer naacha nywele zangu wazi
@@barikikaroli6088 na mimi nitafanya hivyo kipindi cha summer naacha kusuka suka nywele zipumue na kutakuwa na joto
Ahsateee sister Kwa elim nzulii
thanks dadaa
Asante sana Dada Bariki.Hii inawasumbua wengi sana,ila kupitia video hii watanufaika mno.asante Saba
Asante grace 💕
Asante sana
Nakupenda sana bariki❤️❤️
Thanks a lot my sister let me start
Asante kwa ushauri tutalifanyia kazi
Sawa dear 💕
Shukran dada kW masomo
I love that
Leo nimewahi jamani 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kweli leo umewahi 😂💕 Asante dear
Jamani nywele zangu zinakatika sio mbele2 niki chana zatoka furushi nitumie nini zisikatike
Thank you
Asante kwa tips
Asantee ntajaribu hayo virgin
Asante kwa ushaur wako
Dada Bariki huwa nakukubari sana
Uko vizuri sana mdada
💕💕
Mm mtandio unanikatia nywele...yaan zimekatika kweli...
Ni kweli dear mtandio unakata nywele pia
Mbona umenenepa sana
❤
Mafuta ya mzaituni nayapata wapi
I like it
Sante my
Nzurii❤
Asante
Somo zuri sana, mimi nataka kubadili nywele yangu ya dawa kuwa ya asili, je naziganyaje?
Unanyoa za juu ambazo zina dawa alafu. Unaanza kufanya kama nilivyoelekeza
mm nimezbadilisha kwa kuoshea coca cola soda zmetoka dawa zpo natural
@@wittyraha1176 kwel cocacol inasaidia ngoj nkatafute
@@magrethemanuel561 hata bia n kiboko hapo hapo majibu unayaona
Dada nisaidie mimi nilikuwa na nywele nyingi kwasa ninakipara kabisa katikati nahazioti tatizo ninini ila nilikuwa navaa mawigi sana lakini ninakipara kabisa sasa nafanyaje nisaidie ziote
Pole muda mwingine ni mabadiliko ya mwili kama ukizaa nywele zinakatika
Wewe zifanyie treatment kama ya kuweka mask zipo nyingi kwenye channel yangu 💕
Mimi nywele zangu zambele nifup za nyuma nindefu😕
Jaribu kutumia mafuta ambayo nimetaja yatakusaidia
@@barikikaroli6088 nitayatafuta hayo nijaribu dier
@@barikikaroli6088 mm nili paka dawa nyelele zangu zika katika zote mbele na nyuma Sasa nifanye nn Dada na Sasa hiv azikuw Tena kwa ali ya dawa nisaidye IL niweze kurud Isha mwenye zangu
@@zainabufaidhi4799 uliwekw dawa gani?
Umependeza sana nauliza hayo mafuta ya virgin hair fertilizer yanapatikana ulaya? Mimi niko italy
Kwli
Ey dada naomba nijue jinsi unavyotumia simu yako kwa ajili ya youtube
Kwa tunaonyonyesha je tutumie mafuta gan?
Ningepata number yako ya simu tafadhali
Jamani Mii nywele azikui
Chukua mafuta ya nazi changanya na karafuu
Dada mm nasuka nywele zote ....naomba kaz
Lakini mwanzoni nikikuwaga napaka vijin
Hello naomba picha ya hiyo dawa
Mimi ni muhanga wa hili tatizo pia zinakatika na sijui ttzo nn
duh had nakupenda bure mamy coz we ni mkwel
Asante dear
Na kwa wenye dread my
Asnte kw elim yko nzur
Let u provide more xkills and ur matual art 🙏🙏
💞💞🇧🇮
Mimi mbele ndefu ila nyuma kipara, je yatanisaidia hayo mafuta
Yajaribu
Dada unajua kutengeneza mafuta ya mnyonyo kma wajua naomba kunifunza
Sijui dear
Asante napenda kazi ako.but kuna mtu alinshow ukpaka mafuta ya virgin ukinyoa nywele zako hazimei tena
Kila Mtu ni tofauti dear
iyo mafuta ya Virginie ina patikana sverige ??sababu na mimi naichi sverige
Ndiyo angalia kwenye maduka ya kiafrica
Yani me nywele za kisogoni hapana hazikui
Unasuka?
@@barikikaroli6088 ndio
Hapo kwny kubanwa usemi n mm kabsa🤣🤣🤣🤣🤣
Basi punguza my dear
Kipara katikati dawa ni nn?
dada Umependeza ila aliyekusuka pia ajajuwa vizuri nitafute nikusuke 0659428940
Me nimepk na bado fup
Endelea
Sawa
Mawasiliano
Asante sana