JPM KAMWAMBIA GWAJIMA "KALIAMSHE DUDE, ALIYEONGOZA KURA KAWE NI MTOTO WA DADA YANGU ILA NILIMKATA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2020

ความคิดเห็น • 79

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 3 ปีที่แล้ว +17

    Nikweli mwaka huu halima mwaka huuu chali

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥Dr Gwajima Oyeee

  • @abdallahjuma5475
    @abdallahjuma5475 3 ปีที่แล้ว +9

    Hawa watu ni matajiri wakubwa tunaomba tujue Siri ya kutaka kuwa wabunge?

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 3 ปีที่แล้ว +3

      Kwa hiyo ulikua unataka mtu maskini ili akajilipe kupitia uongozi?

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwa sababu hawawezi kutuibia kama kweli ni matajiri.

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 2 ปีที่แล้ว +1

    kweli ni mkweli sana. R.I.P MZEE WETU.

  • @estermpagama9664
    @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima namkubari kaliamshe kweli dude ili kawe yetu irudi ccm

  • @samsoniwakenya1404
    @samsoniwakenya1404 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapa ni ✌✌✌✌✌💪💪

  • @halisimediatz
    @halisimediatz 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest in Peace JPM

  • @emmanuelyraphaely3343
    @emmanuelyraphaely3343 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama na ww umegundua gwajima anahofu ana tetemeka Tujuane hapa 🤣🤣

  • @magunilakasubi4534
    @magunilakasubi4534 3 ปีที่แล้ว

    Nileteeni Gwajima×3 utatu mtakatifu

  • @gladysalbinus7646
    @gladysalbinus7646 3 ปีที่แล้ว +4

    Mh Apo ni Mdee tuu

  • @2ragosntondero303
    @2ragosntondero303 2 ปีที่แล้ว

    Machozi ya uliokata majina yao. Yasingeenda bule

  • @emanuelngweta1339
    @emanuelngweta1339 3 ปีที่แล้ว +2

    Safiiii

  • @ahmedelalawi6143
    @ahmedelalawi6143 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahhah ushasahau magu alivokuwa anakukandia .

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 3 ปีที่แล้ว +1

    Nomaaa magu😍

    • @w84m85
      @w84m85 3 ปีที่แล้ว

      Hey Sister Munira, habari samahani wewe ni blogger au unafanya vlogs?

  • @shos2624
    @shos2624 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapo kwenye kusema ukweli mzee umetudanganya nawewe hahaha,gwajiboy nimuongo balaa

  • @magejosia9026
    @magejosia9026 3 ปีที่แล้ว

    Kwakweli bora gwajima awe mbunge wa kawe tu cz tumemchoka halima mdee kila siku yeye ni kesi mahakamani tuuuuu sasa mbunge gani hana anachokifanya zaidi ya makesi kesi kila siku akaaa mie kura yangu nampa gwajima bn

  • @thomasndomba7587
    @thomasndomba7587 3 ปีที่แล้ว +4

    Jambaz 2

  • @derickthobias6393
    @derickthobias6393 3 ปีที่แล้ว +1

    2020 October 28 ✔✔✔

  • @seningusa6726
    @seningusa6726 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya

  • @magongwematinde5773
    @magongwematinde5773 3 ปีที่แล้ว

    Sasa hiyo ndo shida ya kuleta chaguo la mkubwa badala ya chaguo la wananchi.
    Alieshinda kwa uhitaji wa wananchi ni mwingine alieletwa ni mwingine hapo sijui huwa ni demokrasia ipi inayotumikaga

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kawe imelala barabara za mitaa mbaya yaani pako ovyo sana

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 3 ปีที่แล้ว

    GWAJIMA ATAISHIA PABAYA HATAPATA HATUMPI TUMUHUZUNISHA NDANI YA HIZI WIKI MBILI ZILIZOBAKI ATAISOMA NAMBA, MDEE OYEEE

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 ปีที่แล้ว

    Uyo gwajima takataka uyo

  • @allymalenga9598
    @allymalenga9598 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima ananyoosha mikono🔥🔥

    • @Gamba177
      @Gamba177 3 ปีที่แล้ว +1

      Gwajima mwenyewe msenge anafirwa na makufuli

  • @emmanuelmaduhushilingi8936
    @emmanuelmaduhushilingi8936 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe mange kimambi anaongeaga ukwel afu uyuu gwajima alisemaga hataki ubunge Wala urais ni kujidhalilisha pia uyu magu kasema jimbo la kawe limelala Kuna jamaaa uku anasemaga maendeleo hayana Chama cjui mkweli Nan

  • @princeragy7700
    @princeragy7700 3 ปีที่แล้ว

    To hell with this party

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima hana issue aisee

  • @mossesraphael1073
    @mossesraphael1073 3 ปีที่แล้ว

    Hawezi kushindana wakati amemshinda kwa kura au atashindana vipi

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 3 ปีที่แล้ว

    Ccm sera zao zote ni matope matupu

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 3 ปีที่แล้ว

    Anaefanya miradi ya maendeleo kwenye nchi sio mbunge ni Serekali
    inayokusanya kodi. Watanzania lazima muwe waelewa. Tatizo la CCM tangia
    waingie madarakani walitangaza kuwa hawatapeleka miradi ya maendeleo kwa
    wapinzani na hata hotuba zao za Kampeni wanasema hivyo. Watu wa aina
    hii tusiwakubali maana wanagawa Watanzania. Kama unakusanya kodi kwa
    Watanzania wote bila kujali vyama kwa nini uwe na mtoto wa tumboni na
    mgongoni. CCM sio wa kuwakabidhi nchi maana kuna nini au kuna siri gani
    wanataka kuifanya. Mwenyekiti wa kijiji CCM, Diwani CCM, Katibu Kata
    CCM, Mbunge CCM,Mkurugenzi awe CCM. Kwa akili finyu tu kuna hila
    inatengenezwa na msishangae Tanzania kuwa koloni la CCM maana
    wanapokezana vijiti katika uongozi wao. Mtu anaishi Bara inakuwaje
    apelekwe Zanzibar kugombea Urais tena kanchi kadogo kenye watu 1.5m
    uchaguzi siku mbili. Mimi sikai Kawe lakini ningekuwa naishi pale
    ningempa kura Halima Mdee kukwepa kutengeneza Taifa la watu
    wanaodharaulika. Hivi mtu mwenye akili timamu unapangiwa mpaka mda kwa
    kwenda choo.

  • @fayshoshonganya7042
    @fayshoshonganya7042 3 ปีที่แล้ว

    Kweli watanzania tunapoelekea pabaya,

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 3 ปีที่แล้ว +4

    CHAGUA JPM 2020-2025 Tunaleta fly over zingine kwenye maeneo yafuatayo:-
    ■Chang'ombe-mataa
    ■Kamata-mataa
    ■Magomeni-mataa
    ■Mwenge-mataa
    ■Tabata
    ■Fire-magomeni
    ■Morocco
    ■Makutano ya barabara ya alhassan mwinyi na united nation
    ■Makutano ya alhassan mwinyi na kinondoni
    Ref:Ukurasa WA 76 ilani ya uchaguzi ya CCM 2020

    • @samsoniwakenya1404
      @samsoniwakenya1404 3 ปีที่แล้ว +1

      Mimi wakijijini sijaelewa kitu.

    • @Gamba177
      @Gamba177 3 ปีที่แล้ว +1

      Fly over ya mama yako

    • @timothmziray4709
      @timothmziray4709 3 ปีที่แล้ว

      zitanisaidia nini mm wa mkoanii..barabara sio ombi ni lazima zijengwe

    • @dutchsafari7562
      @dutchsafari7562 3 ปีที่แล้ว

      @@timothmziray4709 soma kwenye ilani umeorodhesha miradi mbali mbali kila mkoa una miradi yake inayotekelezwa hapo nimeongelea mkoa nao tokea mm ukipata muda na ww kapitie uone miradi iliyopangwa kutekelezwa kwenye mkoa wako sio unakuja na mentality yakupinga pinga tu boss ww ni raia na naamini unajielewa na unajua haki zako na wajibu wako kwa taifa na una uhuru wa kuchagua na kuamua nani akuongoze sio lazma CCM niliyo itaja hapo kama unaona hakiko kwenye misimamo yako chagua chama chako unachoona kitakuletea hayo maendeleo

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 3 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

    • @wilsonkimaro6375
      @wilsonkimaro6375 3 ปีที่แล้ว

      HIZO AKILI ZAKO ZAKUSHIKIWA HUYO ALOKUSHIA AKICHOKA MIKONO UTA-RUN MENTAL, HUJITAMBUI HALAFU HUJUI HATA KATIBA INASEMAJE ATAWALE MILELE ILI IWEJE, UKIJATAMBUA UKANUSHE USEMI WAKO

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 3 ปีที่แล้ว +1

    Huruma duu askofu kuku

  • @stvenkiwili6630
    @stvenkiwili6630 3 ปีที่แล้ว

    Gwaji midomo Kama amekula tapeli ilo piga supana

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 ปีที่แล้ว

    Tapeli mkubwa kabisa gwajima

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 3 ปีที่แล้ว

    Mabadiliko anza kwako mkuu

  • @charzwilson9494
    @charzwilson9494 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima nimkweli Yani wewe nimweee

  • @marydavid9337
    @marydavid9337 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh mchungaji umekonda ghafla 😂😂😂we subiri sadaka tu

    • @hapi6113
      @hapi6113 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eeeh 🤣🤣

  • @pagarekhan7311
    @pagarekhan7311 3 ปีที่แล้ว

    Otea pole pole ameenda kumnong'oneza nn gwajima?

  • @togethers1997
    @togethers1997 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakuomba ujiombee mwenyewe huyo bishopu hafai kuwa mbunge hatumpi kula

  • @iddimapesa3670
    @iddimapesa3670 3 ปีที่แล้ว

    uyoo mla kondoo

  • @kalebimlam1817
    @kalebimlam1817 3 ปีที่แล้ว

    Hupati ngooo

    • @thomasngomuo2959
      @thomasngomuo2959 3 ปีที่แล้ว

      Waislamu dini ya mashetani huyu ni msema kweli eti

  • @josephatnzunguwapi1879
    @josephatnzunguwapi1879 3 ปีที่แล้ว

    Itv

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 ปีที่แล้ว

    Nani atampa kula uyo mpuuzi kabisa

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima ni muongo alisema ubunge na urais ni vyeo vidogo sana hawez kugombea,kweli iko wapi mheshimiwa ?

    • @omarigenene689
      @omarigenene689 3 ปีที่แล้ว

      Siasa hizo watu wanasemaga nimetendwa sioi au siolewi Tena lkn hata siku aipiti anasema huyu was mwisho

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว

      Uongozi unaombwa uongoze sio ujipeleke kizuri chajiuza

    • @eskotikimaro2858
      @eskotikimaro2858 3 ปีที่แล้ว

      Temkeza matako

  • @madpeoplezzzz5121
    @madpeoplezzzz5121 3 ปีที่แล้ว

    Ya kaisari mpeni kaisari na ya Mungu mpeni Mungu.

  • @tutisadiq5583
    @tutisadiq5583 3 ปีที่แล้ว +1

    Mdee ndio Kiboko ya maccm kawe

  • @solemba595
    @solemba595 3 ปีที่แล้ว

    Mmesha jikaanga Kawe mtapoteza tena kama ilivyo kawaida

  • @Gamba177
    @Gamba177 3 ปีที่แล้ว +1

    Makufuli anamfira Gwajima mara kwa mara ndiyo maana anamfanyia kampeni wanafirana hao wawili

    • @ahmadarashid1533
      @ahmadarashid1533 3 ปีที่แล้ว

      SIO kweli...upuuzi mtupu

    • @hajjighanji5667
      @hajjighanji5667 3 ปีที่แล้ว

      KUBWA JINGA WW HUNA SHUKURANI MPINGA MAENDELEO.MITUC YOTE YA NN?MDOMO KAMA KUMA IMEZUNGUKWA NA MAVUZI HUNA WAZEE KWENU? KWAHIYO WW UNAWEZA KUMFIRA BABA YAKO.JIHESHIMU.MTUMZIMA HOVYO.

    • @amoucierpoul904
      @amoucierpoul904 3 ปีที่แล้ว

      @@hajjighanji5667 😁😁😁

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 ปีที่แล้ว

    Kashaacha kuuza unga ???!!!

  • @tutisadiq5583
    @tutisadiq5583 3 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima hatumpi...hafai .....

  • @ndeletwaswai3530
    @ndeletwaswai3530 3 ปีที่แล้ว

    Ccm mnajua kuchagua wala kondooo hahahahha

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 3 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu hapo usanii mtupu

  • @patrickmapinduzi268
    @patrickmapinduzi268 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee huyo mchungaji ni msanii alisema kazi ya ubunge au uwaziri atajidhalilisha sio saizi yake angalia asije akakutia aibu ni sawa na mtu ukidhamini maasai, atakuachia shuka mzee🤪🤪

  • @adorakisamo8071
    @adorakisamo8071 3 ปีที่แล้ว

    Kawe ni Mdee tu gwajima akagwaji na kondoo wake