Mama tasha njoo uone mwanao aozeshwa ndoa ya mkeka araka uku kai nae ungempeleka tasha ukawq shaidi mbona ukamuacha akaenda pekeake mwakosa raha uku ndoa ya mkeka yafugwa ila baba zatiti shukrani kwa kukubali tasha kuo zatiti like kwa baba zatiti 🎉🎉🎉🎉🎉
Kibendu umeweza msela,afu msela akipenda anapenda kweli,,ambae hujawahi pendwa na msela huwezi jua maumivu ya kibendu,,tabia zao tuu ndio Huwa zinatufanya tuwachukie
Mmmmh yani wana busati sijui mnakwama wapi huyu jasmini wapili mbona sjamuelewa nibolatu mngefanya ameuwawa na watekaji ndungejua moja lakini hapa mmebugi sanaaa😊😊😮
@@Bintnailah Ao ninao waongelea wamexhilikixhwa kwny hauxe garl namuona baba joan humu namuona chiko nae kaxhiliki kule kwa baba joan xax apo kibaya kipi dadaang mbn mnapenda kuweka matabaka wakati wote ni watanzania
Kwani amfutiliagi hii movie vzr ndio muelewe jmn, jasmin ameenda kuendelea na masomo kama jinsi wana busati walivyo tuambia, huyu ame mreplace jasmine 😏😏😏😏
Karibu katika group la mashabiki wa house Girl Bonyeza link kujiunga 👇
chat.whatsapp.com/FO70mhi1wWF9xNBRUPBDT8
Tunataka jasmine mwenyewe huyu hafurahishi ata kidogo😢😢
Yupo hp
Harusi tunayo au hakuna🎉🎉🎉
nzuri
Mwenyewe cjapenda namkubali jasmine alaf nyie mmempoteza
Bab zatit ni mtu WA kuogopwa tulio furahia bab zatit kukubali ndoa tujuan hapo chin
❤❤❤❤❤ᴍᴍ ʜᴘᴀ ɴsᴋɪᴀ ʀᴀʜᴀ xɴᴀ🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jasmine huyu mpya hata hachangamki na hata hajui kusema mpumbavu mwenzangu waturudishie Jasmine wa zamani wanao ungana nami weka like
Mm mwenyewe nimejichanganya vp xx waokutubangaranisha na jasmine kaenda wapi jmn😢😢😢😢 au washateta
Kwakwel tunamtaka Jasmin wa zaman so huyu
JAMANI wamrudishe jasmine yawakitambo
@@maskiniHanamshirikamnayemtaka kaenda shule so tuishie tu hyu ambaye ajachangamka
Kabisa huyu apana hajaendana na mpumbavu mwenznagu
Habari za kwenu wapendwa manaofuatilia house girl kutokea EP 1 season 1,
Leo mwenzenu nimewahi mnipatie like nyingi❤❤❤❤
Kangekuwa ka Jasmine kale kengne ingenoga hatar,
Umeonaee
Alienda wapi
@@eversweedakemoAlienda kusoma jasmine
@@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj ooh poa
Sanaaaa
Napenda zatiti akifungishwa ndoa namimba iingie akiludi mjini chiko amuone nimama kijacho😅😅😅
😂😂😂ndio awache ujinga
Allah ataleta kheri inshaaaaallah
Makofi👏👏👏😂😂😂
Apo umenena😂
Bora tu uondoke nae maana Hana hata sifa ya kuendana na jasmine
😂😂😂 yaani umesema nilichotaka kusema aondoke tu
Yani hawaendan kwa chochote na jasmini 😠
Kwan wote wanaowana wanaenda wakatu mpangaji ni mung
Wanatuona wajinga San kwamba atumjui jasimn
Jamani walisema kuwa jasmini amerudi chuo ndio wakabadili huyo kucheza nafasi ya jasmin@@AidatAmadi
Mwenyekiti yu kama Bonge wa Mission Impossible😂😁😂
Kenya mnawatch mkiwa wapi,Mimi Niko kanairo
Jasmn huyuu hanogiii jmn hata kidogo hachangamkiii hat kidg wanaoungana na mem 😢😢
Ametoka kwa maumivu yakutekwa atachangamka jamani tumpe mda hiyo mpumbavu mwenzake
Ya habambi
We baba joan acha kiherehere hebu wacha kilamba abaki n jasmine hivi wasema utamuoa huyo dadako😊😊😊
Mama tasha njoo uone mwanao aozeshwa ndoa ya mkeka araka uku kai nae ungempeleka tasha ukawq shaidi mbona ukamuacha akaenda pekeake mwakosa raha uku ndoa ya mkeka yafugwa ila baba zatiti shukrani kwa kukubali tasha kuo zatiti like kwa baba zatiti 🎉🎉🎉🎉🎉
Mie wa Kwanza naombeni like Tatu peke
❤❤😍😍
Zuu mbona hubadilishi nguo nahali upo mke wabos 😂😂 jamani jasimini olijino kaenda wap alikuwa anapendezana nampumbavu mwenzie
Sema wwe mna mi naona hajachangamka kw mavazi atakiwa awe bibi wa Kai n sio nyanyake Kai 😂😂😂😂😂😂waribu samahani🙌
@@MaryamMaryam-vl8lm😂😂😂😂😂😂
@@bishakadhi9307 humu tu 😂😂😂😂
Ap sasa
Nimependa kusikia ndoa ya mkeka maana ingekua ya maandaliz ingetuchukua miez6 kusubr ndoa ipite tu❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Huyu. Jasmin. Jaman. Tumepigwa. Hata. Hanogi. 😢😢😢😢
Kweli 😢😢😢😢😢
Uliona wapi mugonjwa akawa akaongea akiwa na maumivu wachen chuki bana
Nimewahi leo like zangu kwa wana busati tv😊
❤❤❤😍😍😍
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mkiingiza comedy kwa mambo y serious haiendani na uhalisia ,Kilamba punguza comedy tafadhali
Mmetubadilishia mpumbavu mwenzetu kwani😢
Nimekuwa wa kwanza leo ❤ naomba like
Tasha utakoma kwenda sehemu uso ijua ndoa ya mkeka hio inakuja
😂😂😂😂 bora ipite2
Amna shida shereh mjini tukaselebuke 😂😂😂😂wapi sania na mimba ya mganga
Nimemuonea huruma kibendu jmn😭😭😭😭usiombe yakukute unaweza jipiga kwenye mwili wako na usisikie maumivu maana weeeeee mapenzi yanauma😢😢😢
Namchukia keina, kibendu ukij kukaa poa hat keina akaj vp usimkubal ww endelea na maish yako
Pole kibend 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Punguz mawazo
Kibendu umeweza msela,afu msela akipenda anapenda kweli,,ambae hujawahi pendwa na msela huwezi jua maumivu ya kibendu,,tabia zao tuu ndio Huwa zinatufanya tuwachukie
Baba Joan 😂 muashe mpumbuvu mwenzetu aongee na mpumbuvu mweenzie
Wa kwanza leo jaman nipeni likes zangu 😊😊
Kilamba mwenyewe hajamchangamkia coz hawaendani.
Tusimchukie Jasmin Bali tumpe mda maana kuvaa kiatu ambacho SI chako ni kazi kubwa sana tumpe mda wadau huenda akafanya vzuri zaidi
Aaahh Jasmin changamka mama yani angekuwa yule mpumbavu angechangamkia mpumbavu mwenziye akaacha kakake, ila huyu duuh! Lakini tutamzoea tu 😀😀
Huyuu jasmini hata hajachangamka angekuo jasm og hapoo wangerukianaa hatariii
😭😭
Mpumbavu mwenzetu kaenda wapi Kai?@@busatitv
Leo nimefika mapema angalau love from Kenya ❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naombe like jaman
Mi nafuraha naomba ndoa ya zatiti na Tasha ipite hata iwe ya mkeka bora ndoa❤
Nice 👍 video
❤
Ndoa tunay harun Janna woooooooooo vigelegele kwa tash n zatit
Shemej unakirang unamtukan aje mume mbele ya mkeo jaman mbn unaaibisha jamn😊
Lisaa limoja comment 313
Asanteni team Busati TV n'a WA fans Wa Busati TV nawapenda sana ❤❤❤
Jamani Mr. Tasha pole nimeskia vibaya Ila ndo ujue zatiti ni mtoto alielelelwa kimaadili hivyo usjiskie vibaya
Hatimay furah imerejea kwa Familia ya Akina mpumbavu jamn
Mmmmh yani wana busati sijui mnakwama wapi huyu jasmini wapili mbona sjamuelewa nibolatu mngefanya ameuwawa na watekaji ndungejua moja lakini hapa mmebugi sanaaa😊😊😮
Mmm ni muoga ila zuuu namba moja😂😂😂😂yaani hatakama mtu akiongea kwa ukali yy anashtuka😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Waooo nawapenda
Tunawapenda kuliko mnavyotupenda ❤
Chiko naomba jina a iyo nyumba nimenogewa kwa uyo mpenzi
Baba Karobo Nampenda Sana Uwa Yupo Siriac Kwa Kazii Zake Zoteee
Kein mapenz n watu wawili wakikubalian maisha aende
Leo nmewah❤❤❤❤❤❤❤wa kwanza🎉🎉🎉🎉
❤❤
Huyu sio mke wa kibamba bnana😮
Pengo la Jasmine linaonekana huyo amepoa sana haendani na mpumbavu mwenzie.
Mredisheni jasmine wetu jamani huyu hachangamki .though napenda hii thamthilia ❤ 🔥
Muhuni kapenda mpaka anihis kuchanganyikiwa, ila uyu mpumbavu mwenzetu hapana walitupa tu moyo hajachangamka hata kidogo
Jaman kibend uchiz unakuj kisa kein jamn tumpemachoz yake kweny comment jamn😢😢😢😢😢
Mhuni akipenda kumbe anamaanisha aisee
At least nimewahi kidogo wakunipa like jamani?❤❤❤ Nawapendaa tuu.
Kwa mke wa kilamba hapo mmefeli angeludi Jasmin ingenoga
Ndoa ya mukeka😂😂😂😂
I love you busati...naomba like plz
Mbona huyo mke wa kiramba si yule wa kwanza❤❤❤❤
Msimnange Sana Jasmin mpya hili ni game Jasmin og akirudi mtasema mmemzoea huyu wapenzi wa busati jamn tulieni tuenjoy
🤣🤣
Ongeza sauti mama😂😂😂😂😂😂😂 hawajaskia 😅😅
Mr Genius umeenda kukutana n nini mwaya usijal mamazi yupo kwa ajili yko nawapenda snaa, kuna kapart fulan mmmm hakajapdndeza ila n swa
Jaman mie nimechukia sana kumtoa JASMINI 😭😭😭 Maana alikuwa anaendana na Mr. Kilamba
Tunayofurah Jasmin kuamka jaman 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣
🎉🎉😂😂
Hatumtaki huyu hajapendeza,,amepoa sana
Asosikia la mkuu huvunjika guu kibedu mamaako alikwambia usiende n panga hukumsikia ndio natokeo yake unatk kuwa chiz wa mapenz
🎉🎉🎉mau kwa baba zatiti .nilikua naona atakataa ndoa 😢🎉🎉🎉munipeelike wadau
Kimbendu jameni ulikua umeanza kuchange ghai mama kimbendu saidia kimbendu
Tasha tasha tasha lewo utakoma na kwambiya🎉🎉🎉🎉
Finally mpumbavu atapikiwa mihongo tena😂😂
Kama unaamin nyumba ya mama kendy ndo limefanywa kanixa la mchungaji chiko kwenye movie ya baba yangu kipofu gonga like hapa❤❤
Wacha kiherehere wewe tuko kwa house girl
@@Bintnailah
Ao ninao waongelea wamexhilikixhwa kwny hauxe garl namuona baba joan humu namuona chiko nae kaxhiliki kule kwa baba joan xax apo kibaya kipi dadaang mbn mnapenda kuweka matabaka wakati wote ni watanzania
Oyooooooo📢📢📢 zatiti akitoka saba ana mimba😂😂😂😂 chiko kwisha habari yako👌 mr.tasha mke tunae na tunatamba nae♥️♥️♥️ asante baba zatiti😘😘😘
Ondokaaa naeee tuuu maana tunaonaaa uhusikaaa wa jasminii hauweziiiii❤❤❤❤❤❤
Baba karobo ndani ya mjengo wa busati nafrahi kukuona uku 👏👏👏👏👏❤
Who else waiting to watch 22 when is happy😅😅❤❤
Wa kwanza leo nipeni like zangu
🔥🔥
Hingoreni San Wahusik wote
Jasmine Bana untafutaw mnene kidogo aendane na Yale wa mwanzo ila ni rizki yake karibu jasmine
Hapo kwa jasmine walai mmetucheza😂
Ila dazu unatuayibisha jitahidi ubadilishe gauni
Sasa kigauni gani hicho jamani anakaa kaa bibi mzee
@@JudithSimiyu-ps7eeyaaan jmn siiend iyo gaun kama fuko la korosho
@@zamlatmwenda laudhii mnoo
Jmn ana mimba, mwachen avae hvyo
Huyu jasmin hajachangamka
Mbona huyo site Yule mupumbavu mwezako
baba nimekupenda bure wafungishe ndoa
Tunawapendaa jmn kaz nzuriii 😂
Kijambo kipoo na tunatamba nachooo ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mbona jasmine sio yeye
Kaenda shule hiyo mwingine mbadala wake
Kwani amfutiliagi hii movie vzr ndio muelewe jmn, jasmin ameenda kuendelea na masomo kama jinsi wana busati walivyo tuambia, huyu ame mreplace jasmine 😏😏😏😏
Jamn ndoa tunay zatit na Tasha jaman 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
🤣🤣
🎉🎉🎉😂😂😂
Ndoa tunayo na tunatamba nayo woyoooooooooooooo
Busati oyeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Oyeeeeeeeeeee 🎉🎉❤
Kwa nn bibi ya kiramba amekaa kama mumempatilisha cio Yule wa mwanzo ama n macho yangu
Jasmine kaenda kusoma,mbadala wa jasmin mpumbavu ndio huyo
Kumenoga nikiwa Mombasa mshomoroni uku
Kay mnatuona Sisi vipifu ju tumewapenda sana uyo siyo jasmini mpumbavu mwenzangu
Ilove you busati
Kapowa sana achangamke
Mbona yupo tofauti na jasmini yule jamani mbona munatuacha njia panda
Nafasi ya yule jasmini huyu haiwezi yaani bado ila aendelee kujitaidi
Nawapenda San jaman ❤❤❤
Mimi nishaanza kummiss jasmin wa kwanza huyu wa xx kwakweli anaboo mwambieni aongeze mashamsham😂❤
Busati tv muna ziguwa bwana uyu sie mke wa kilamba jamani
Kuelewa inakuaga ngumu eeee😏😏😏😏😏😏😏😏
Lkn walitoa taarifa mapema Jasmin alirudi chuo jamani
Twaombaa mke wa kilambaa yule wa mwanzooo plzzz😢😢😢😢😢 huyu wa sssa amepoaaa
Kwani hamuelewi sio
Mbona mke wa kiramba kawa tofaut
Lakini kwa utulivu. Huu Wa muchongo. Anaweza. Kidogo. Tumupe nguvu. Ataweza
Jmn tasha anapata mitihan kakimbia kutekwa kaja kwenye ndowa yamkek
Baba joan wew ni mgeni acha kumfokea kilamba wetu
Pole zatiti Na mpendwa wako Mr Tasha kwani mliona nikazi rahic kumbe moto huku nako .ilanakikumbusha ukirudi ucsahau kurudi kumjengea babamkwe ubati baraka🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mvumilivu hula mbivu❤❤❤❤❤