Peter Gona | Jesu Msenangu (Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @aminakatana8721
    @aminakatana8721 2 หลายเดือนก่อน

    Bado hazijakamilika hizi nyimbo tupe mkaza lutu ,dzaenda kesi na staluu bado ziko nyingi hujatuekea hebu achilia vitu❤

  • @williamkazungu2662
    @williamkazungu2662 5 หลายเดือนก่อน

    My favorite songs,Ubarike sana man of God.

  • @thomasbaraka9829
    @thomasbaraka9829 3 หลายเดือนก่อน

    Nimetafuta sana nyimbo zako bro. Hongera 🎉

  • @kelvinfondo-up5tl
    @kelvinfondo-up5tl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Oya oya oya big up broo ubarikiwesana mtumishi wa bwana kwa kutuletea vitu hivyo. Umenikumbusha mbali kweli. Hizi zaitwa zilizo vuma na bado zavuma na zitavuma. Unajua vitu vizuri huwa kwa kawaida havifichiki. Mimi napenda sana mziki wako unajenga unainua unabariki. Endelea broo endelea usirudi nyuma. Mungu akutie nguvu akupe hekima na marifa uzidi kutunga nyimbo za kumsifu. Watubariki sana.❤❤❤
    😂😂😂

  • @erickchivatsi4099
    @erickchivatsi4099 3 หลายเดือนก่อน

    MkazaLUTU ifike

    • @petergonamusic
      @petergonamusic  3 หลายเดือนก่อน

      Itafika kwa nguvu za Mungu 🙏